Katazo la mifuko ya plastics limefika kikomo?

boufer

Member
May 9, 2014
45
40
Hivi katazo la mifuko ya plastics lishaisha mbona madukani bado inatumika kwa kasi? Hi ya bluu na mieupe maarufu km MNAZI, nani anazalisha au hi imeruhusiwa?

DSC_0214.JPG
 
Niliuliza nikaambiwa hiyo mifuko ni biodegradable ndo maana mitaani haionekani ila sina uhakika.
 
Tatizo la Tanzania ni Siasa
Serikali inaweza kuwa na mawazo mazuri ila wakitaka tekeleza, wanasiasa wanasema wananchi wanaonewa.

Yote haya ni sababu ya umasikini, uchaguzi
 
Back
Top Bottom