Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,535
Leo wife si kaniamsha kibabe.
Eti "wee kunguru ebu amka huko unapenda kulala lala kama mwanamke ebu nenda katafute"? .
Basi mimi nikaenda zangu kutafuta nimerudi si akaja kunipokea rambo ile anafungua tu si akakuta mizoga.