Ladha ya Ugali ni mboga ...tumia akili sasa kama unakula ugali na maharage hayo ni mazoezi ya kuishi jela ...ugali una mboga zake na mapishi yake ya mboga asilimia 90 wa wanawake awajui kupika hata dagaa....hata samaki wa mitaa wa kukaanga awapo sawa wanakaangwa hovyo ...mfano kupika dagaa kuna hatua hizi za kuwaandaa ambazo wengi amfuatiNi mbaya ila ugali hauna hata ladha
Hawa bado ni vijana wanakaa kwa wazazi, hawajayajua maisha, wanaleta stor za vijiweni waonekane maisha wameyapatia.Hata mboga mboga kuchukuchu hazina ladha, kama ni swala la ladha, that is another issue, katika muktadha wa afya, ugali na wali upo kundi Moja!
Vijana mkishazoea chips za Dar es salaam ndo mnakuwa hivi!
Umemaliza mkuu ,uzi ufungweBabaako na mamaako walikula ugali ndio wakakuzaa na Kisha walikukuza kwa ugali na nguvu unazotumia hapo kuandika Uzi wako ni ugali. Usidharau ugali kwa vijisenti ulivyopata.
Chips Zina shida gannmkuu ? Mimi mwanaume wa dar nikishatinga pensi langu lililobana mapaja na earphone zangu na simu yang ya iphone macho matatu nasikiliza ngoma za zuchu , nalambalamba lips , naenda chimbo la chips YAI ya kushiba na mishkaki fresh tu si inakua unyama sanaHata mboga mboga kuchukuchu hazina ladha, kama ni swala la ladha, that is another issue, katika muktadha wa afya, ugali na wali upo kundi Moja!
Vijana mkishazoea chips za Dar es salaam ndo mnakuwa hivi!
Shekhe TUSIDANGANYANE hapa huyu kupata sumni na kupata muda wa kufungua thread ni tumilioni tu mbili ama tatu ...hakuna tajiri una balance inasoma 100+ million halaf upate muda wa kuandika thread..nyie wapuuzi na hizi mada zenu...mkumbuke mlikotoka kamwe msikitusi chakula kilichowalea.. tangu mababu na mabibi zako hadi wazazi wako na wewe leo hii miaka yote hiyo mlikula ugali na mlifurahia shibe yake..na wengine hadi mmekuwa watu wazima mlipata bahati kuwaona au kuishi na bibi na babu zenu na pengine wako hai mpaka sasa..hayo madhara mnayodai yapo kwenye ugali ni yapi ambayo hayakuwadhuru wao tangu utoto wao hadi leo wamezeeka na bado wapo imara.! Leo nyinyi mumepata Pesa nyingi za kuweza kula mnachokitamani au kwenye mahoteli ya maana basi ndio mnajiona meyapatia maisha ndio mnadharau hadi walichokula wazazi wenu..mmepata maisha mengine nje ya ugali basi mshukuruni mungu kwa neema hiyo aliyowapa na sio kufanya hizo kufuru zenu humu kwani kuna maisha baada ya leo pia pesa zinazowapa hizi dharau zitaisha maana hakuna ajuaye ya kesho yake..kwa dharau mnazoonyesha humu mungu anaweza kukupa pigo au dhiki kuu usipate chakula au ukalazimika kula hicho unachokitukana leo unachokiona hakina maana na kikakuokoa wakati wa njaa na uhitaji..tujichunge sana kuleta madharau kwa mambo yanayohusu Riziki..kibaya kwako basi ujue wengine kinawasitiri tuchunge mdomo kwenye riziki ya mola ipo siku utakuja kukihitaji unachokitukana leo na usikipate..ww kama umepata pesa nyingi unakula unachokitamani basi shukuru..na hizi kufuru zenu na kutaka sifa humu wacheni huwezi kuidhihaki riziki ukabaki salama ni suala la mda tu hizo dharau zitakuja kuwatokea puani kama sio masikioni tuwe na adabu.!
Another innocent neck , carrying a rotten pumpkin headKwa nini ule vyakula vya wanyama.
Kwa nini ule kitu ambacho kina nafasi kubww ya kukufanya uwe na mwili usio eleweka.
Kwa nini ule kitu kinachoweza kukuleta high blood pressure na cancer
Kwanini ule kitu kisochokuwa na vitamin and mineral deficiencies,
Kwanini ule MATOFALI
Naungana na Dr Hayaland, ulaji wa ugali ni mateso, no wonder wenzetu wanalishia nguruwe na ng'ombe
Kwanza Mwili unakuwa hauweleki kabisa, watu wengi wameambulia kuwa vijeba kisa ya ugali au miili ilijitengeneza utafikiri scooby dooby doo. Ugali, haswa unapokobolewa, una index ya juu ya glycemic, kumaanisha kuwa inaweza kusababisha kuongezeka kwa kasi kwa viwango vya sukari kwenye damu...www.jamiiforums.com
Nina miaka mitano sijala UGALI
Kwa sasa nimetimiza miaka mitano bila kula chakula aina ya ugali. Kuhusu faida ni nyingi Sana mpaka sasa. Nitazielezea Ila faida kubwa ni kuwa na mwili ambao umejengeka vizuri bila hata kwenda Gym. "Niliwahidi tisheti nimeleta sijaleta "?www.jamiiforums.com
Chips Zina shida gannmkuu ? Mimi mwanaume wa dar nikishatinga pensi langu lililobana mapaja na earphone zangu na simu yang ya iphone macho matatu nasikiliza ngoma za zuchu , nalambalamba lips , naenda chimbo la chips YAI ya kushiba na mishkaki fresh tu si inakua unyama sana
Ugali ndio chakula cha taifa, ilitakiwa iwe kwenye katiba
View attachment 3388989
Inasikitisha Sana mkuu.nyie wapuuzi na hizi mada zenu...mkumbuke mlikotoka kamwe msikitusi chakula kilichowalea.. tangu mababu na mabibi zako hadi wazazi wako na wewe leo hii miaka yote hiyo mlikula ugali na mlifurahia shibe yake..na wengine hadi mmekuwa watu wazima mlipata bahati kuwaona au kuishi na bibi na babu zenu na pengine wako hai mpaka sasa..hayo madhara mnayodai yapo kwenye ugali ni yapi ambayo hayakuwadhuru wao tangu utoto wao hadi leo wamezeeka na bado wapo imara.! Leo nyinyi mumepata Pesa nyingi za kuweza kula mnachokitamani au kwenye mahoteli ya maana basi ndio mnajiona meyapatia maisha ndio mnadharau hadi walichokula wazazi wenu..mmepata maisha mengine nje ya ugali basi mshukuruni mungu kwa neema hiyo aliyowapa na sio kufanya hizo kufuru zenu humu kwani kuna maisha baada ya leo pia pesa zinazowapa hizi dharau zitaisha maana hakuna ajuaye ya kesho yake..kwa dharau mnazoonyesha humu mungu anaweza kukupa pigo au dhiki kuu usipate chakula au ukalazimika kula hicho unachokitukana leo unachokiona hakina maana na kikakuokoa wakati wa njaa na uhitaji..tujichunge sana kuleta madharau kwa mambo yanayohusu Riziki..kibaya kwako basi ujue wengine kinawasitiri tuchunge mdomo kwenye riziki ya mola ipo siku utakuja kukihitaji unachokitukana leo na usikipate..ww kama umepata pesa nyingi unakula unachokitamani basi shukuru..na hizi kufuru zenu na kutaka sifa humu wacheni huwezi kuidhihaki riziki ukabaki salama ni suala la mda tu hizo dharau zitakuja kuwatokea puani kama sio masikioni tuwe na adabu.!
wanafanya kitu kibaya sana hata kama wanafurahisha genge humu lakini wajue wanajichumia laana ya nafsi zao kwani dhihaka kwenye riziki ya mungu sio vema..wao kama wamebarikiwa fungu zuri washukuru lakini wasitoe kasoro riziki za wengine..Shekhe TUSIDANGANYANE hapa huyu kupata sumni na kupata muda wa kufungua thread ni tumilioni tu mbili ama tatu ...hakuna tajiri una balance inasoma 100+ million halaf upate muda wa kuandika thread..