Kataa picha za ngono

Kwanini umetaja wanawake tu? Picha za ngono wanafanya wanawake tu?
Elewa wote wanao fanya wale wanawake ni shida tu zinapelekea , Hawapendi .
Angalia wanaume wanaficha sura idadi kubwa yake.
Alafu mwanamke wanafanywa kama tambara la deki kusafisha , tango la mwanaume kuanzia mdomoni mwake mpaka sehemu nyingine is not correct yeah Trust Me.. Wanawake ndio wanakuwa oppressed mnoo.
 
Rubish from mind Dump
 
Mtoa mada ana hoja ila hajui kujengea hoja ili aungwe mkono...
 
Wazee wa nyeto B29🀣🀣🀣
 
Sio kweli punyeto haina shida mnataka madogo wapate UKIMWI ni bora mtu afanye punyeto kuliko kupata UKIMWI na KAUSHA DAMU.
Mkuu min-me sikupingi ila kila kitu kwa tahadhari. Binafsi naona kuliko nyeto bora mtu ajitahidi kutumia kinga. Na kama hana mpenzi bora kununua. Kwenye kununua mtu unakuwa makini sio kawaida. Ila nunua ukiwa hujalewa.
 
Siongei kwa kuropoka
Ila nitafiti zimefanyika
Alafu ili swali wengi wanauliza kwa sababu wameona matokeo ( wamekuwa weak)

Google au tafuta YouTube: Porn make you gay
Kwenye kutazama porn kuna level zake pia. Mtu akishazoea atataka kutazama ngono isiyo ya kawaida kama zile za jinsia moja, za binadamu na wanyama na zingine ovu zaidi. Mwisho wa siku mtu anakuwa na fantasies za kipumbavu sana.
 
Kwanini umetaja wanawake tu? Picha za ngono wanafanya wanawake tu?
Wanaingizwa miguu na mikono ya watoto ile inamfanya awaonee huruma wanavyolia na kuugulia anaona km ni unyanyasaji, watu km hawa hawafahi kabisa kua madaktari ya kuwazalisha wakina mama
 
Ushapanda mnazi vya kutosha mpk jongoo halipandi mtungi, unaanza kulaumu wanawake!! 😹
Halafu unajua wanawake wengi sana wanawaza hivi ila kiuhalisia sio kweli yaan kuna uongo mwingi sana watu wanatunga
 
NAUZA NYUMBA INA APARTMENT MBILI DAR

Ninauza nyumba yangu hapa vikindu nyuma ya mtaa wa polisi mwenye uhitaji unipigie 0625784681. Au wasap 0673294681. Ni nyumba ina apartments 2 na vyoo ndani.

Bei tsh. 23,000,000.00

Nitapunguza kidogo.
Nicheki wasap kama unahitaji picha na detailed information. Kataa mawinga
 
Subiria nikishinda Jackpot ya Taifa nitakutafuta mkuu. Nakuahidi.
 
Kwenye kutazama porn kuna level zake pia. Mtu akishazoea atataka kutazama ngono isiyo ya kawaida kama zile za jinsia moja, za binadamu na wanyama na zingine ovu zaidi. Mwisho wa siku mtu anakuwa na fantasies za kipumbavu sana.
Salute kaka
Unajua kinachoendelea

Ila vinyoka vinapiga punyeto mara moja kwa mwaka wanaona wanajua kila kitu,
Ila wakiingia deep, Ni wamekwisha.

Heri ufe teja kuliko nyeto na porn - maana unaishi kuzimu ukiwa bado duniani
 
Salute kaka
Unajua kinachoendelea

Ila vinyoka vinapiga punyeto mara moja kwa mwaka wanaona wanajua kila kitu,
Ila wakiingia deep, Ni wamekwisha.

Heri ufe teja kuliko nyeto na porn - maana unaishi kuzimu ukiwa bado duniani
Ninamshukuru Mungu niliweza kuepuka uraibu wa porn. Kwa mara ya kwanza mwaka 2000 nilitazama porn kwenye internet cafe fulani pale Moshi nikiwa mdogo.. wakati wa likizo nikawa natazama kwenye cafes za Arusha zinatazamana na stand ndogo. Nilikuja kuacha nikiwa form 5 baada ya kufeli vibaya sana kwenye mtihani huku kukiwa na tishio feki kuwa division 4 imefutwa. ZERO ni kitu naogopa balaa.. πŸ˜ƒ πŸ˜€ ... ilibidi niache kabisa na kuamua kusoma.
 
Nna miaka 30 napiga nyeto na sijawahi kupatwa na shida yoyote ile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…