Kataa ndoa wenzangu wamenitenga

Mkuu sina vyangu na wenyewe washasema maneno kidogo pesa mingi mingi 😀😀😀

Ila kikweli ukiwa hauna hela hata nguvu ya kutongoza hupotea sijui kwa nini 😅
Nina rafiki yang Anamilik saluni yeye anadili na mabek 3 tu, anasema hawana gharama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…