Kubwa la Maadui
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 7,983
- 15,787
Kwani nakuuzi?Ila una gubuuu!! Si ujitangaze tu ili ukipate unachokitafuta!!!
Wewe na Simba hamna tofauti....Imefikia mahali hadi nakosa raha kabisa yani watu niliwaamini kama ndugu zangu humu jf Leo wananitenga nakunipakizia kashfa mbaya mbaya na chafu, mm kama kijana nilikua stak kuoa nikuwa kijana lengo langu lilikua ni kuchakata mbususu hadi ntapofika umri wa miaka 70- 80+ ndo nitimize nusu ya dini( kama nngefka umri huu).
Sasa toka jana nilivopost kwamba ntaoa nikiwa na umri huo, kataa ndoa maarufu humu jf( wanajulikana) wameniandama hawanipi ushirikiano tena kama sku zote na kunitishia kunitia kwenye kampeni hyo.
Sasa imefikia muda nawaza nipeleke tu mahari kwa huyo mtoto ninaeishi nae(nkpata boom la mwez wa 5) lakn moyo unaniambia kijana bak na msimamo wako wanawake hawaaminik ni kama wamasai tu hawana dhamana.
Ushauri: nifanyaje nskilize moyo au nipeleke mahari
Mm swez kua koloWewe na Simba hamna tofauti....
Ukianza kuisoma namba usije humu kutulilia
Hakuna muoaji hapo.Acha ujinga
Unaoa ili ugundue nn
Kataa ndoa
Apostoooooo
Kama ni mwanayanga basi unatuaibishaMm swez kua kolo
Hajielewi huyu😁😁boom la mwezi wa tano aiseee:
Tarehe za kusaini bado kidogo kama ww upo jiran na kile chuo Cha pale mabibo sokoni bas kweny tar 7
Kama ni vyuo vingn jiandae mwezi wa tano mwishoni umpelekee baba mkwe 524k
Tarehe 9 kwetu😁😁boom la mwezi wa tano aiseee:
Tarehe za kusaini bado kidogo kama ww upo jiran na kile chuo Cha pale mabibo sokoni bas kweny tar 7
Kama ni vyuo vingn jiandae mwezi wa tano mwishoni umpelekee baba mkwe 524k
Kvp cjielewHajielewi huyu
KvpKama ni mwanayanga basi unatuaibisha
Kama ni mwanayanga basi unatuaibisha
Sasa kama nakaa nae nashndwaje kuoaHakuna muoaji hapo.
Ushamba tu unamsumbuaHajielewi huyu
Unaoaje Ili kuwakomoa watu!?Kvp cjielew