mimi nilishakula kiapo... Sitongozi tena mwanamke... Mimi nilitongoza kwa nia njema kabisa... Akasema "wewe ni kaka yangu, na tutaendelea kuwa kama kaka na dada" asee niliona aibu sijui ata ilitoka wapi... Lakin yule msichana anajiheshimu kwa kwel... Ila na mimi nimeapa sitanyanyua midomo yangu kutamka neno "fulani nakupenda" badala yake nikipenda nitajitahd kumfanya yeye ndio atamke... Kujipendekeza sio kuzuri kwakwel... amna kabisa aah...
Fresh nimekuelewa, ila Mzee unakata tamaa baada ya trial moja🤣 endelea kujaribu kwan unapungukiwa nn ila usiwe kama ng'ombe sasa unaendaenda kama zombie, watu tumekataliwa zaidi ya mara tano na tumekuja kukubaliwa zaidi ya mara kumi.
hahahah mkuu nimeingia kwenye game kwa mara ya kwanza nakutana na kisiki... Unafkir ntaendelea... Ila nimecheka kwenye kukataliwa mara 5 afu ukakubaliwa mara 10
hahahah mkuu nimeingia kwenye game kwa mara ya kwanza nakutana na kisiki... Unafkir ntaendelea... Ila nimecheka kwenye kukataliwa mara 5 afu ukakubaliwa mara 10