ukitaka kujua faida/hasara za ndoa ni hadi upate changamoto kubwa hasa maradhi. au mtembelee mjane mzee hlf awe anaishi pekeake bila watoto wa kuzaa yy mwenyewe
ukitaka kujua faida/hasara za ndoa ni hadi upate changamoto kubwa hasa mariachi. au mtembelee mjane mzee hlf awe anaishi pekeake bila watoto wa kuzaa yy mwenyewe
Mara nyingi mwanamke tajiri, huangalia sana utamu-offer nini kabla hajajiingiza kwenye mahusiano na wewe, Pili hakuna kitu kibaya katika uzoefu wangu wa mapenzi kama MWANAMKE akuzidi KIPATO.