Kuna wakati binadamu anavyopata mwanamke bora na kuishi naye vizuri, anaona wenzake ni maboya sana hawajui kuchagua wanawake bora. Ukipata mwanamke bora mshukuru Mungu sana sio kwa uwezo wako ni Neema tu umepata. Tuendelee kumuomba Mungu aingilie kati suala la ndoa na Mahusiano.