Kataa ndoa: Ni nani aliyewaroga?

Kataa ndoa: Ni nani aliyewaroga?

Si nasemaga nyie wanaume mnalia lia sana umeona sasa 😅😅
Mm huwa najiuliza vitu vingi humu mpaka nacheka

Mbona hawajiulizi what if.... mwanamke aumwe seriously inakuaje?? Huyo mumewe atamuhudumia??

Mbn wanawake wasipoolewa hawawazi uzeeni itakuaje tofauti na sisi ??
 
Nyie hua mnajiona kama kundi maalumu hiyo ndio shida hua mnadhani mnastahili zaidi
 
Nyie hua mnajiona kama kundi maalumu hiyo ndio shida hua mnadhani mnastahili zaidi
Siamini naamini katika ustawi wa kila mmoja kwenye kitu chochote kikubwa tuu hasa ikiwa ni ndoa mume na mke kila mmoja asimame kwenye nafasi yake basi,,

Mwanamke sio mtumwa wa ndoa ingawa jamii umekwisha muweka katika kundi hilo......

Hivyo akiukataa utumwa ama mwanaume wake akawa hayupo kwenye kumfanya mkewe mtumwa jamii itaona mwanamke ndiye mwenye sauti sjui mamlaka kwann iwe hivi na sio kama tulivyo amini

Mwanamke naye ni binadamu ana hisia za furaha, huzuni, kulia kuchoma.... na mambo mengi hivyo naye asikilizwe

Ndiyo maana tunasema waende shule, wafanye kazi, wawe na kujitambua ndani yao akiingia kwenye mahusiano asiingie kama sehemu ya shida aingie kwa sababu yupo tayari na anahitaji kuwa na mwenza

Nimechoka kutype beer ina poa 😆
 
Kati ya uzi takataka niliokutana nao leo ni huu..
Mtoa mada haujui lolote ..!
Uyo malaya ulienae saivi unajiona ushamaliza maisha sio.!
Maisha hauyajui mkuu subiri kuna kitu kinakuja soon…
 
Back
Top Bottom