100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,702
- 38,357
Yani hukunielewa ila nimefanya uchambuzi au nilikua nakuelewesha ndoa ni kitu gani, sijalalama, kwani kina Billgate, Ekon Musk, Bezos waliachana na wake zao kukimbia majukumu?Wewe unataka ndoa iweje??
Unajua sometimes kataa ndoa hamjui mnachokikataa hasa ni kipi!!
Mleta uzi kasema #kataa 50/50 at the same time mnalalamika kumhudumia mwanamke.
Kwa mimi ninavyoamini wanaume tumumbwa hivyo, watafutaji, hata ukiwa na mke wewe ndio utakua kiongozi wake, yeye kazi yake ni kukusaidia majukumu ya kulea, faraja na ushauri pale unapouhitaji toka kwake.
Ukiingia kwenye ndoa na mindset ya kua ndoa ni tatizo basi hutopata faida yoyote ile. Huko mtaani unakohonga, utakakozalisha na kuanza kumlea mwanao kwa vizinga vya huyo singo maza, huenda gharama ikawa kubwa zaidi ya kama ungeoa.
Unaruhusu vipi mwanao alelewe na baba mwingine na wewe upo, kataa ndoa ni waoga sana aisee. Na mna sonona.
Narudia tena ndoa ni kwa wale wenye akili timamu.When People make a threat, I just laugh. Couse to me you will never be a threat..
Naweza mkuu.Kwani bila huwezi kupika hivyo
Elon, bill gates, Jeff bezos, Mimi, ko una hisi una Akili kutu zidi 🤒🙄Narudia tena ndoa ni kwa wale wenye akili timamu.
Mzee kwani huwezi kulinda mali zako??Yani hukunielewa ila nimefanya uchambuzi au nilikua nakuelewesha ndoa ni kitu gani, sijalalama, kwani kina Billgate, Ekon Musk, Bezos waliachana na wake zao kukimbia majukumu?
Nimekuelezea ndoa ni nini na huo ndio ukweli, taratibu za ndoa zilishawekwa tika zamani na ipo hivyo.
Ni kama kuwa askari na kwenda front vitani, nikisema kazi yako ni kuua binadamu nakuwa nimekosea?
zile definition zenu mnazodanganywa kuhusu ndoa huwa ni kuipamba tu na kuipa lugha tamu.
Kuelezea ndoa mwanaume anakamuliwa si kukimbia majukumu bali ndio ukweli, wanawake wenyewe sasa hivi wanataka haki sawa.
Mi nimesimama hapa kuzungumzia ndoa katika asilimia kubwa.Mzee kwani huwezi kulinda mali zako??
Sheria za kulinda kibunda chako zipo, ila tatizo ni kua pale mwanzo mkitawaliwa na hisia zaidi ya kutumia akiki ndo hayo hutokea.
Na sio mwanaume unatakiwa kukamuliwa, unakamuliwa nini?? Unataka kusema kina Bill gates wamekua matajiri kabla ya ndoa na walipoingia kwenye ndoa utajiri ukadorola??
Hao hap matajiri si tunao hata hapa Tz na wameoa, kina Dwej, kina Bakhresa si wameoa hao, vipi ndoa zao zinawafilisi kisa wake zao ni wa kupokea tu??
Bado sijaona hoja sahihi za kukataa ndoa, kunyonywa sio sababu kwasababu na wewe unapata kitu toka kwa huyo Ke, labda kama wewe unaona pesa yako na upatacho kwake hakikutoshi ni haki yako kukataa ila sio kufanya conclusion kua ndoa ni mbaya.
Mi naona ninyi ni waoga mkuu, si ajabu mnaogopa mahusiano na wanawake kwa namna nyingi.
Ninapo zungumza akili sio ya kugundua vitu unayo akili timamu ya kuishi na mwenza au siku mbili kichwa kichawaka.Elon, bill gates, Jeff bezos, Mimi, ko una hisi una Akili kutu zidi 🤒🙄
Wenzagu wenyewe ndo Hawa🙄🤔, aisee bado huja sema hoja nzitoNinapozungumza akili sio ya kugundua vitu unayo akili timamu ya kuishi na mwenza au siku mbili kichwa kichawaka.
Kuwa kwanza utaelewa ndoa ina umuhimu gani?
Sasa huo uzi una kipi cha ajabu mbona ni kawaida acha uwoga wa maisha sio mbaya kuanza moja😁Wenzagu wenyewe ndo Hawa🙄🤔, aisee bado huja sema hoja nzito
View attachment 2926302
Ndio hawa kila siku tunasikia wanalalamika humu na wengine kukatana shingo au kuna wengine [emoji849]Narudia tena ndoa ni kwa wale wenye akili timamu.
DuuuhHii Sera ya kataa ndoa ni Sera ya msingi na muhimu mno.
Itasaidia kuonyesha ukweli na njia ambazo vijana Wanazo Ingia Chaka.
swaga nyingi, michango, Picha kibao, halafu mwishobwa siku una Baki una Lia Lia.
maigizo, kilio, Kisi kudanganye kijana.
Mwenyekiti wa kataa ndoa ni, Liverpool VPN,
02 katibu wa kataa ndoa, dronedrake,
03. Mjumbe ni Loading failed,
04, Mimi ni katibu mwenezi wa Sera za chama Cha kataa ndoa.
KATAA NDOA LINDA MAISHA
YAKO.
KATAA NDOA LINDA UHURU WAKO.
KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKo.
KATAA UNAFIKI WA 50/50
View attachment 2926176
Mhh, yaani uvuje jasho. Afu mtu akwambie hiyo mizigo tugawane🙄🤔. Tena ukute katamani vichenchi vyako, toka kitambo.Sasa huo uzi una kipi cha ajabu mbona ni kawaida acha uwoga wa maisha sio mbaya kuanza moja😁
Mc pili pili ameshanyonyolewa huko , amebaki analia Lia tu .Hii Sera ya kataa ndoa ni Sera ya msingi na muhimu mno.
Itasaidia kuonyesha ukweli na njia ambazo vijana Wanazo Ingia Chaka.
swaga nyingi, michango, Picha kibao, halafu mwishobwa siku una Baki una Lia Lia.
maigizo, kilio, Kisi kudanganye kijana.
Mwenyekiti wa kataa ndoa ni, Liverpool VPN,
02 katibu wa kataa ndoa, dronedrake,
03. Mjumbe ni Loading failed,
04, Mimi ni katibu mwenezi wa Sera za chama Cha kataa ndoa.
KATAA NDOA LINDA MAISHA
YAKO.
KATAA NDOA LINDA UHURU WAKO.
KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKo.
KATAA UNAFIKI WA 50/50
View attachment 2926176
Kaka uko sahihi, ndoa ni JEHANAMUTena kijana akija kukuomba ushauri kwamba amempenda singo maza wala usishughulike nae vingine, ni kumtia mitama tu mpaka akili imsogee
Na unaweza ukawa ndani ya ndoa na bado yote uliyoyataja yakakupata piandoa si garantiiUnaweza kukataa ndoa na ukafa masikini totoro.
Unaweza kukata ndoa na ukafa na gono.
Unaweza kukataa ndoa na usiwe huru
Uko sahihi mjumbeNa unaweza ukawa ndani ya ndoa na bado yote uliyoyataja yakakupata piandoa si garantii