Kataa ndoa ni hazina ya kesho

Ndoa muhimu kwa watu sahihi.

Ukioa kisa upate utelezi au kuolewa kwa ajili ya kuwalingishia mashoga zako ujue utaula wa chuya.

Ukiingia kwenye ndoa means ni kuacha maujinga yako yote na kutulia.

Ukiendeleza ujinga kama upo single while upo kwenye ndoa hapo lazima Kivumbi kiitike.
 
Uko sahihi bro, na ya nini uji changanye.

Kazi yangu ya dukani, ooh Ina niweka matatani.
Wanao nirudisha, wengi wao majirani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…