Kataa kuoa mwanamke mwenye chembechembe za imani ya haki sawa

jjs2017

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2019
Posts
2,027
Reaction score
4,316
Katika maisha hakuna usawa baina ya mwanamke na mwanaume , na ijulikane wazi pia hakuna usawa baina ya mwanaume na mwanamke..

Unapo taka kuoa na ukampata mwanamwali unaetarajia kumuoa jitahidi kumchunguza sana kama ana itikadi ya uharakati wa haki sawa atakuja kukuvuruga sana na ukajutia maisha ya ndoa..

Siku zote mwanamke sio sawa na mwanamume na hii ni kwasababu mwanamume katika misingi ya kidini tokea uumbaji wa Mungu na misingi ya kijamii na kitamaduni yeye ni mtawala .. namaanisha mwanaume kaumbwa kuitawala dunia na vitu vyote viijazavyo pamoja na mwanamke tena kumtawala mwanamke kwa kutumia akili .. ndio maana tumeamriwa tuishi nao kwa akili.

Mwanamke maisha yake yote hadi mwisho wa dahali hatokuja kua sawa na mwanaume na hili walijue kabisa.. hivyo jitahidini sana enyi wanaume kuchunguza vizuri wapenzi wenu kama anaamini katika kua na haki sawa yaani usawa huyo mwanamke hafai kuolewa atakusumbua sana..cz anaona nayeye ni mtawala kama ulivyo wewe mtawala na siku zote tawala mbili haziwezi kukaa mahali pamoja kwa amani lazima mmoja akubali kuachini na kutawaliwa na mwingine awe mtawala..

Sasa shauri yenu..
 
Oshey mr [emoji383]
 
KATAA KATAKATA KUOA MWANAMKE ANAYEPIGANIA 50/50.

NARUDIA KATAA KATAKATA, HUYO NI WAKALA WA SHETANI.

MUOE, ENDAPO TU AMEAMUA KUACHANA NA HIZO PIGO.

HAWA WANAWAKE NI VYOMBO VYA STAREHE, CHOMBO CHA STAREHE NI SHARITI KIKUPE RAHA, SIO KARAHA.

CHOMBO CHA STAREHE NI LAZIMA KIKUTII.

CHOMBO CHA STAREHE NI LAZIMA KIKUHESHIM.

CHOMBO CHA STAREHE NI LAZIMA KIJUE WEWE NDO UNAKIWEKA MJINI HATA KAMA KINA MSHAHARA WAKE.

CHOMBO CHA STAREHE NI LAZIMA NI LAZIMA KIJUE CHENYEWE KIPO KUMPA MWANAUME WAKE RAHA !!.

SASA BASI, KATAAA KATAKATA KUOA MWANAMKE ASIYE CHOMBO CHA STAREHE.

NA KWA MANTIKI HIYO.. NIMEWARUHUSU MUOE MALAYA MNAOKUTANA NAO BAR.

HAWA WANAOJIFANHA KUTWA MITANDAON WANAPIGANA NA UANAUME ,WANAPIGANA NA NATURE... MUWAAACHE, NASEMA WAACHENI, ALAFU TUONE KAMA ,WATAJITONGOZA, WATAJIOA, WATAJITIA WENYEWE, WATAJIBEBESHA MIMBA WATAJITIA BABA, WATAJIPELEKEA MOTO.

NARUDIA DAWA YA JEURI NI KIBURI.. KAMA WEWE NI MWANAUME ,PIGA MAKOFI, JIONEE WEE NI BORA, HAWA WANAWAKE NI WENGI, KWAHIVO WANATUTEGEMEA SANAAA SISI WANAUME!!.
 
Nakazia ... Tena kama ukisha muoa na analeta pigo za 50/50 haki sawa.. fukuza kabisa... Huyo ni pepo
 
Dawa ya jeuri ni kiburi umeua sana mzee carlos
 
On a serious note ladies on valentines day lazima utoke out, hakuna cha huna mpenzi wa kutoka nae wewe toka tu wenda furaha yako iko huko huko. kumbuka kuna atakae toka akidhani atakutana na wewe huko sasa usipotoka atamkuta nani?

N.b hakuna mambo ya haki sawa hii wanaongeaga tu ila ki ualisia hakuna haki sawa hata bills hatulipi sawa au hatulipi kabisa.
 
Ninakazia sana hili, Vijana mnielewe hapa

kwenye maandiko ya vitabu vyote viwili vya Dini zetu, Mwanamke ni kiumbe anayeelezewa kua Mtiifu na mrembo na mnyenyekevu.

mwanamke anatakiwa ajue yeye ni sehem ya mwili tu ya Mwanaume, kwahivo anawajibika kua Mtiifu Kwa Ubongo ( Mwanaume ).

Msioeee Hawa wanaokesha mitandaoni kusambaza u feminism wao.

na ninawaambia nyie ma feminist, wanaume wamejanjaruka , shauri yako wewe unayejiita feminist alafu bado unaomba MUME BORA .

SIKU UKIJITAMBUA KUA WEWE NI CHOMBO CHA STAREHE KWA MWANAUME , BASI UTAACHA HUO UFEMINISM WAKO NA UTAOLEWA MAANA UTAKUA NI MWANAMKE BORA .
 
Aisee wenye haki sawa wapo. Yaani kakosa kadogo tu keshatukana. Humtishi kitu...na kila kitu ni mashindano. Ukimwambia kwamba hiki kitu kinanikera atakujibu we mbona uliwahi kufanya? Anadai anajitambua. She knows her worth. Mwanamke ngangari. Nusu kwa nusu...Na hapo hata uchumba bado...huko ndani kweli kutakalika? Tabia hizi ni complete turn off maana mwanamke wa hivi anakosa hata zile sifa za kuwa mwanamke. 24/7 yuko tayari kwa mashindano utafikiri unaishi na dume jenzio [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Ninakazia sana hili, Vijana mnielewe hapa

kwenye maandiko ya vitabu vyote viwili vya Dini zetu, Mwanamke ni kiumbe anayeelezewa kua Mtiifu na mrembo na mnyenyekevu.

mwanamke anatakiwa ajue yeye ni sehem ya mwili tu ya Mwanaume, kwahivo anawajibika kua Mtiifu Kwa Ubongo ( Mwanaume ).

Msioeee Hawa wanaokesha mitandaoni kusambaza u feminism wao.

na ninawaambia nyie ma feminist, wanaume wamejanjaruka , shauri yako wewe unayejiita feminist alafu bado unaomba MUME BORA .

SIKU UKIJITAMBUA KUA WEWE NI CHOMBO CHA STAREHE KWA MWANAUME , BASI UTAACHA HUO UFEMINISM WAKO NA UTAOLEWA MAANA UTAKUA NI MWANAMKE BORA .
Yani umekandamiza sana penseli.

Nakuona pia kama ingekuwa ni uwezo wako ungekataa kabisa hata kupata mtoto wa kike...........
 
Back
Top Bottom