Kataa kabisa urafiki au mahusiano ya kawaida na Askari Polisi

Askari polisi wa Tanzania wamekuwa chanzo cha maumivu ya watu na familia nyingi sana hapo bongo , ni ajabu iliyoje kuona chombo cha dola ambacho ndio kilipaswa kuwa mstari wa mbele kulinda raia na Mali zao kinageuka na kuwa upanga mkali, tena usio na huruma kwa raia

Polisi wengi wa Tanzania ni binadamu wakatili sana, wananjaa kali, wivu wa kimaendeleo kwa raia, bila kusahau wengi wao ni mbumbumbu na bongo lala, walioshindwa shule na biashara hivyo wakaamua kuukimbilia upolisi ambako huko wamejitwika ubabe kutokana na nguvu kubwa waliyopewa na serikali ovu ya ccm ambayo imekuwa ikiwatumia kutekeleza unyama juu ya raia wenye itikadi tofauti na zile za chama chao.

Hatuwezi kukwepa kukutana na polisi katika maisha yetu ya kila siku na kuna wakati nilazima tushirikiane nao ili jamii iwe katika mstari mnyoofu, lakini kamwe usimfanye askari polisi wa Tz kuwa rafiki yako, wala usitengeneze ushkaji na polisi, kataa kabisa kuwa na mahusiano ya aina yoyote yasiyo ya kikazi baina yako na polisi, hao ni Viumbe wenye tamaa na udumavu wa akili, kwao bundiki ndio suluhisho la mizozo yao na bahati mbaya hawawajibishwi ipasavyo, NARUDIA jiwekeni mbali na polisi, na hata akija kama mpangaji katika nyumba uliyopanga wewe hama, na mshkaji wako akiwa polisi mkatae mazima, dada yako au mwanao akitaka kuolewa na polisi vunja uchumba .

#POLISI SIO RAFIKI, POLISI SIO NDUGU, MKATAE POLISI
Kwani kumetokea nini tena huko! Au wewe ndiyo yule jamaa anayeitwa Ayo wa Arusha!!! Ila hapo kwenye NJAA KALI hapo, jama kuna kaukweli hivi!!
 
Ni juzi tu kuna mwana ni derev bajaj alikamatwa na ocd kufik kituon ktk majibizano yule ocd alimpiga kibao mwana mpak alipat maruerue ila uzur mwana hakua mnyonge dlimrukia ocd na kupiga utosi na kuanguka nae chini kuna polisi wengin wanaingilia kati kuamua ugomv ocd amepanic anatak mwana apelekwe mahakaman mkuu wa kituo akaingilia kati na kumlaumu ocd kwa kujichukulia sheria mkononi.
Kuanzia mda ule heshima ilipatikan kwa kila mmoja kumuheshim mwenzake.
moral ni kwamba hupaswi kuwa mnyonge na kuogopa polisi ata kama ana chego gani.
Hivi kuna tofauti kati ya OCD na Mkuu wa Kituo!! Maana ninachofahamu OCD ni mkuu wa kituo cha polisi ngazi ya Wilaya! Na mkuu wa kituo, anaweza kuwa hata katika ile ngazi ya chini kabisa (Police Post)

Sasa huyo OCD aliyekuwa anarukiana vichwa na dereva wa bajaj mpaka anakuja kuamuliwa na mkuu wa kituo! Mbona kama sielewi. Aisee OCD ni mtu mkubwa. Huwezi kupigana naye vichwa kirahisi tu.
 
OCS ni mkuu wa Polisi katika kituo kimojawapo kwenye wilaya.OCD ni mkuu wa Polisi wa Wilaya nzima.
 
Askari polisi wa Tanzania wamekuwa chanzo cha maumivu ya watu na familia nyingi sana hapo bongo , ni ajabu iliyoje kuona chombo cha dola ambacho ndio kilipaswa kuwa mstari wa mbele kulinda raia na Mali zao kinageuka na kuwa upanga mkali, tena usio na huruma kwa raia

Polisi wengi wa Tanzania ni binadamu wakatili sana, wananjaa kali, wivu wa kimaendeleo kwa raia, bila kusahau wengi wao ni mbumbumbu na bongo lala, walioshindwa shule na biashara hivyo wakaamua kuukimbilia upolisi ambako huko wamejitwika ubabe kutokana na nguvu kubwa waliyopewa na serikali ovu ya ccm ambayo imekuwa ikiwatumia kutekeleza unyama juu ya raia wenye itikadi tofauti na zile za chama chao.

Hatuwezi kukwepa kukutana na polisi katika maisha yetu ya kila siku na kuna wakati nilazima tushirikiane nao ili jamii iwe katika mstari mnyoofu, lakini kamwe usimfanye askari polisi wa Tz kuwa rafiki yako, wala usitengeneze ushkaji na polisi, kataa kabisa kuwa na mahusiano ya aina yoyote yasiyo ya kikazi baina yako na polisi, hao ni Viumbe wenye tamaa na udumavu wa akili, kwao bundiki ndio suluhisho la mizozo yao na bahati mbaya hawawajibishwi ipasavyo, NARUDIA jiwekeni mbali na polisi, na hata akija kama mpangaji katika nyumba uliyopanga wewe hama, na mshkaji wako akiwa polisi mkatae mazima, dada yako au mwanao akitaka kuolewa na polisi vunja uchumba .

#POLISI SIO RAFIKI, POLISI SIO NDUGU, MKATAE POLISI
Ninachojua mimi polisi ni sehemu ya jamii. Ni kweli Kuna polisi ni wasumbufu kupita kiasi. Kiuhalisia hao wanaenda kinyume na kanuni za utumishi wa umma. Lakini pia kuna polisi ni wastaalabu na wana utu hata zaidi ya baadhi ya raia wenzetu.

Nakumbuka mwaka juzi mwzi wa 7 Kuna askari polisi walikuja kwangu kwa lengo la kupekuwa. Kwa maelezo kwamba nauza dawa za kulevya aina ya bangi. Mimi kwa kujiamini 100% kwamba sifanyi biashara hiyo niliwaruhusu askari hao wapekuwe. Walimwita kiongozi wa mtaa wakapekua ndani ya nyumba hawakupata kitu chochote.

Kijana mmoja ambae walikuja nae ambae badaae niligundua kuwa alikuwa ndiye mtoa taarifa kwa hao askari aliwambia hao askari kwamba afande hatujapekua kwenye ile stendi ya tenki la maji lililopo nyuma ya nyumba. Askari hao tuliongozana nao mpaka nyuma ya nyumba na chini ya stendi hiyo walitoa mfuko ambao waliufungua na ndani yake kulikuqa na bangi.

Sikuamini macho yangu kuona bangi ipo nyumbani kwangu tena ndani ya gate!! Kiongozi wao aliamuru form za upekuzi zikajazwa na mashahidi wawili ambao ni kiongozi wa mtaa na jilani yangu wakaaandikwa maelezo. Kisha afande huyo akasema ""ndugu endelea na shughuli zako kesho asubuhi uje kituoni" na akanipa namba yake ya cm

Kesho yake nilienda kituoni afande huyo akanihoji kwa kina na kuniuliza Nina ugomvi na nani nami nikamwambia. Kisha akaniambia kwa mazingira waliyoikuta hiyo bangi na jinsi ilivyowekwa ni wazi kwamba imewekwa na mbaya wangu. Hivyo niendelee na shughuli zangu wakinihitaji wataniita. Lakini sikuwahi kuitwa na askari hao. Lakini mbaya wangu nilimjua na malipo niliyomlipa kwa ubaya huo ni Mungu anajua

Lakini nikiwa wilaya ya Bunda mkoa wa Mara nilikutana na askari mmoja nadhani ni mtu wa arusha kwa cheo ni inspector. Askari huyo sintamsahau maishani. Ni mnyanyasaji wa kiwango cha kutisha nadhani halipwi mshahara kwa njaa aliyonayo. Hivyo ndiyo maana nasema polisi ni jamii na ndani ya jamii yao kuna polisi wema na wabaya
 
Tatizo la polisi ni kuendekeza njaa mpaka kujiondoa ubinadamu. Polisi akiona una Mali,gari zuri,nyumba nzuri wakati yeye anapigika basi mkiwa na ukaribu lazima utavuna la kuvuna.

Kuna baadhi ya familia na Wazee wanachukulia kazi ya polisi kama kazi ya laana ambapo haiiruhusiwi Kwa mwana familia kuingia kazi hiyo.

Polisi ya Tanzania weledi mdogo sana.

Kwa hapa Afrika mashariki kwa waliotembelea nchi ya Rwanda nadhani wanaweza kuona tofauti kubwa ya akili na weredi na utendaji wa kazi kati ya polisi ya Rwanda na polisi ya kwetu. Rushwa ya polisi wa barabarani inaonekana ndio upolisi wenyewe.

Yawezekana ni mishahara midogo wanayolipwa hawa watu ndio maana wengi wao kama si wote wamegubikwa na tamaa ya kupata pesa kupitia njia haramu Kwa kutumia nafasi zao.

Siku uwe na jambo lako polisi uhitaji msaada wa askari kanzu, trafiki no hapo ndipo utaijua njaa ya polisi.

Endesha gari barabarani na fuata Sheria zote lakini bado utaombwa rushwa tena hata Kwa kulazimishwa.
Utashangaa polisi haohao hawasimamishi magari aina ya V8 kwani wanapata uwoga kwa sababubu wanahisi ni ya viongozi. V8 akiogozana na IST atasimamishwa mwenye IST tu
Haya matukio tunayosikia ya polisi kuuwa wafanya biashara na kuwapora pesa ni maisha ya kawaida ya polisi wengi, na ndio maana utakuta baadhi ya polisi hawana biashara yoyoye ila wana mali isiyolingana na mshahara yao haalali.
Ukiona polisi wamekamatwa na kuchunguzwa Kwa mauaji na uporaji wa wafanyabiashara ni kwakuwa tu alieuwawa ana ndugu wenye nguvu za kiuchumi ama ushawishi wa kisasa.

Ndio maana mpaka leo vituo vya polisi kesi za kubambikiziana haliwezi kuisha maana ndio wanaapatia pesa.

Generally, polisi yetu kiuadilifu bado safari ni ndefu.
 
Ninachojua mimi polisi ni sehemu ya jamii. Ni kweli Kuna polisi ni wasumbufu kupita kiasi. Kiuhalisia hao wanaenda kinyume na kanuni za utumishi wa umma. Lakini pia kuna polisi ni wastaalabu na wana utu hata zaidi ya baadhi ya raia wenzetu.

Nakumbuka mwaka juzi mwzi wa 7 Kuna askari polisi walikuja kwangu kwa lengo la kupekuwa. Kwa maelezo kwamba nauza dawa za kulevya aina ya bangi. Mimi kwa kujiamini 100% kwamba sifanyi biashara hiyo niliwaruhusu askari hao wapekuwe. Walimwita kiongozi wa mtaa wakapekua ndani ya nyumba hawakupata kitu chochote.

Kijana mmoja ambae walikuja nae ambae badaae niligundua kuwa alikuwa ndiye mtoa taarifa kwa hao askari aliwambia hao askari kwamba afande hatujapekua kwenye ile stendi ya tenki la maji lililopo nyuma ya nyumba. Askari hao tuliongozana nao mpaka nyuma ya nyumba na chini ya stendi hiyo walitoa mfuko ambao waliufungua na ndani yake kulikuqa na bangi.

Sikuamini macho yangu kuona bangi ipo nyumbani kwangu tena ndani ya gate!! Kiongozi wao aliamuru form za upekuzi zikajazwa na mashahidi wawili ambao ni kiongozi wa mtaa na jilani yangu wakaaandikwa maelezo. Kisha afande huyo akasema ""ndugu endelea na shughuli zako kesho asubuhi uje kituoni" na akanipa namba yake ya cm

Kesho yake nilienda kituoni afande huyo akanihoji kwa kina na kuniuliza Nina ugomvi na nani nami nikamwambia. Kisha akaniambia kwa mazingira waliyoikuta hiyo bangi na jinsi ilivyowekwa ni wazi kwamba imewekwa na mbaya wangu. Hivyo niendelee na shughuli zangu wakinihitaji wataniita. Lakini sikuwahi kuitwa na askari hao. Lakini mbaya wangu nilimjua na malipo niliyomlipa kwa ubaya huo ni Mungu anajua

Lakini nikiwa wilaya ya Bunda mkoa wa Mara nilikutana na askari mmoja nadhani ni mtu wa arusha kwa cheo ni inspector. Askari huyo sintamsahau maishani. Ni mnyanyasaji wa kiwango cha kutisha nadhani halipwi mshahara kwa njaa aliyonayo. Hivyo ndiyo maana nasema polisi ni jamii na ndani ya jamii yao kuna polisi wema na wabaya
Sawa mkuu,
#POLISI SIO RAFIKI, MKATAE
 
Mbona mnapindisha, mada nyinyi polisi? Mada ni sisi raia kutokuwa na mahusiano ya kirafiki na nyie na wala hatutaki ujamaa na nyie. Kwani polisi ni lazima awe rafiki yangu ili atimize wajibu wake? Au ni lazima niwe na urafiki na polisi ili polisi anilinde? Au nilazima niwe napiga soga nyie polisi ili niende kutoa taarifa kuhusu uarifu au muarifu?.
#Polisi sio rafiki
Ninao marafiki ambao ni POLISI kibao !! Halafu usitumie neno " SISI " tumia neno ww.

Najivunia sana kuwa karibu na Polisi ,nilikuwa natoka GAIRO pale Mlandizi nilikamatwa na Trafic kwa kosa la ku - overtake , nikaomba msamaha lkn yule aliyenikamata alikuwa na nyota 1 akakataa kunipa msamaha.

Naamini angeweza kunisamehe lkn alinipiga CHETI Kosa nilifanya kweli sasa hiyo ndo iwe sababu ya kuwachukia rafiki zangu wengine?

Baadaye niliwashirikisha kwa kuwaambia leo mmeniotea pale MLANDIZI wengine walisema ningewashirikisha nikawaambia ,nimeona Acha tu ipite.

#chukia aliyekutenda sio taasisi
 
Askari polisi wa Tanzania wamekuwa chanzo cha maumivu ya watu na familia nyingi sana hapo bongo , ni ajabu iliyoje kuona chombo cha dola ambacho ndio kilipaswa kuwa mstari wa mbele kulinda raia na Mali zao kinageuka na kuwa upanga mkali, tena usio na huruma kwa raia

Polisi wengi wa Tanzania ni binadamu wakatili sana, wananjaa kali, wivu wa kimaendeleo kwa raia, bila kusahau wengi wao ni mbumbumbu na bongo lala, walioshindwa shule na biashara hivyo wakaamua kuukimbilia upolisi ambako huko wamejitwika ubabe kutokana na nguvu kubwa waliyopewa na serikali ovu ya ccm ambayo imekuwa ikiwatumia kutekeleza unyama juu ya raia wenye itikadi tofauti na zile za chama chao.

Hatuwezi kukwepa kukutana na polisi katika maisha yetu ya kila siku na kuna wakati nilazima tushirikiane nao ili jamii iwe katika mstari mnyoofu, lakini kamwe usimfanye askari polisi wa Tz kuwa rafiki yako, wala usitengeneze ushkaji na polisi, kataa kabisa kuwa na mahusiano ya aina yoyote yasiyo ya kikazi baina yako na polisi, hao ni Viumbe wenye tamaa na udumavu wa akili, kwao bundiki ndio suluhisho la mizozo yao na bahati mbaya hawawajibishwi ipasavyo, NARUDIA jiwekeni mbali na polisi, na hata akija kama mpangaji katika nyumba uliyopanga wewe hama, na mshkaji wako akiwa polisi mkatae mazima, dada yako au mwanao akitaka kuolewa na polisi vunja uchumba .

#POLISI SIO RAFIKI, POLISI SIO NDUGU, MKATAE POLISI
Kuna mstari mwembamba sana kupita kiasi unaotenganisha kati ya Polisi na Majambazi au Magaidi.
 
Hivi OCD na mkuu wa kituo nani ana cheo kikubwa kwenye jeshi la Polisi?Hizi chai zingine!Yaani OCS aingilie kati vita ya OCD na raia?
OCD ni mkubwa kwenye jeshi ila mwenye madaraka ni OCS kwenye kituo.
sas me nilete chai kwa faida gan?. Na nikujuze tu OCD baada ya kutokea ilo vurugu alitaka ampeleke mahakaman mwana ila OCS alipinga alimuliza tunampeleka mahakaman kwa kosa gan? Na alimwambia OCD hakupaswa kujichukulia sheria mkononi na mda huu mwana yupo uraian na bajaj yake
 
Ninao marafiki ambao ni POLISI kibao !! Halafu usitumie neno " SISI " tumia neno ww.

Najivunia sana kuwa karibu na Polisi ,nilikuwa natoka GAIRO pale Mlandizi nilikamatwa na Trafic kwa kosa la ku - overtake , nikaomba msamaha lkn yule aliyenikamata alikuwa na nyota 1 akakataa kunipa msamaha.

Naamini angeweza kunisamehe lkn alinipiga CHETI Kosa nilifanya kweli sasa hiyo ndo iwe sababu ya kuwachukia rafiki zangu wengine?

Baadaye niliwashirikisha kwa kuwaambia leo mmeniotea pale MLANDIZI wengine walisema ningewashirikisha nikawaambia ,nimeona Acha tu ipite.

#chukia aliyekutenda sio taasisi
Wapi nimesema nawachukia, Kwani kukataa urafiki au ukaribu na watu kutoka taasisi fulani ni chuki ndugu lufungulo?
 
Hii chai. Ocd ni boss wa mkuu wa kituo. Kumpiga ama kumdhalilisha bosi wa polisi mbele ya wale anaowasimamia ni kete tosha ya kifo chako kwa polisi wetu.
Sas mkuu nilete chai kwa faida gan ? kuna watu ni majasir bhn huwez wazingua ama ukawazalilisha kisa tu umevaa gwanda ya polisi
 
Unasemaje???
Hujawahi kusikia au kuona raia wakibambikiwa kesi za uongo ili watoe rushwa kwa Akari Polisi?
Hilo lisikuchoshe mkuu, ni afande hilo, uzi umeyashika pabaya sasa yameanza kujitokeza hadharani kutetea taasisi yao ya MAMBUMBUMBU, maana wanajua sasa muda wa kukosa mademu na utelezi wa bure unawadia baada ya katazo hili.
#KATAA URAFIKI NA POLISI
 
Back
Top Bottom