Kataa au kubali lakini ukweli ndiyo huu!

wewe ndio mtu wa kwanza kuleta udini nchini acha ujinga leta hoja za msingi humu ukishinda tulia
 
soma vizuri. nafanya tathmini ya 2010 kuelekea 2015. kama umezoea mabishano ya vijiweni kaa kimya! naomba great thinkers peke yake ndiyo wachangie.

unasubiri great thinker achangie ushuzi kama huu! Jinga kwel na siwezi kumalizia kusoma ujinga kama huu, we are tired of this udini!
 
kwa taarifa yako mimi siyo mwanachama wa ccm. nahitaji chama mbadala lkn vilivyopo vinanitia mashaka kwa kuelemea kweye udini ukanda na ukabila. soma vizuri thread yangu ili uielewe

Mkuu scramble, wewe si ndiye muasisi wa CHAUMWA,au umeshapoteza imani na chama chenu mkuu? Tafadhali usikimbie mjadala, lakini usilete mikwara ya mende kusukuma kabati, hili ni jukwaa la great thinkers karibu tuendelee.
 
huwa sipendi kuzungumzia udini lakini lisilobudi hutendwa. nchi yetu imekua na mfumo wa vyama vingi toka 1992. ni miaka 20 sasa tukiwa katika mfumo wa vyama vingi. kinacho nisonnesha ni ukweli kwamba baadhi ya vyama vinaelemea kwenye ukanda, ukabila na udini. hali hii haitotufikisha popote. hali hii itaifanya CCM iendelee kutawala milele.

nizungumzie uchaguzi wa 2010 huku nikiuoanisha na ule wa 2015. katika uchaguzi wa 2010, ccm waliibuka washindi wakifuatiwa na chadema na cuf wakashika nafasi ya tatu. nccr walishika nafasi ya nne. mgombea wa ccm alikua Muislamu. mgombea wa chdm alikua Mkristu. mgombea wa cuf alikua Muislamu na yule wa nccr alikua Muislamu pia.

meseji chafu zilizoegemea kwenye udini ziliwasihi Wakristu kutumia fursa ya kuwepo kwa wagombea wengi Waislamu. Walitanabahisha kuwa kura za Waislamu zitagawanyika kwa wagombea Waislamu. vile mgombea Mkristu ni mmoja (Slaa), basi ni neema kwa Wakristu.

Meseji chafu nyingine zilisambazwa na Waislamu wakiwaomba wana cuf kumpa jk kura ili kumzuia Slaa kuchukua nchi! baadhi ya wana cuf licha ya kuichukia ccm, walimpa jk kura! baadhi ya wana ccm licha ya kuipenda ccm, walimpa slaa kura kwa misingi ya udini!

kule kigoma waliamua kuipa nccr kura nyingi kwa sababu mgombea wa nccr alikua mtoto wao wa kigoma! walipata wabunge 4!

ukubali ukatae huu ndiyo ukweli kuhusu uchaguzi wa 2010.

2015 mambo yatakuaje?

uwezekano wa ccm kumpitisha mgombea Mkristu ni mkubwa. kwa mbali nahisi mama asharose migiro na dkt salim wanaweza kuchukua fomu japo siyo Wakristu. Iwapo ccm watampitisha mgombea Mkristu, maaskofu na mapadri waliompigia Slaa debe 2010, wote watakua nyuma ya mgombea wa ccc. ikumbukwe kuwa kuna mikatba minono kati ya makanisa na serikali ya ccm. japo baadhi ya maaskofu waliipigia debe chadema, 2015 watakua upande wa ccm kama mgombea atakua Mkristu.

kwa upande wa chdm, nahisi mgombea atakua Mkristu. Zitto ajue kuwa Mtei hawezi kumpa uenyekiti au kumruhusu abebe bendera ya chdm 2015. bila shaka mgombea wa chdm atakua Mkristu. iwapo kama wagombea wa ccm na chdm watakua Wakristo pana uwezekano mkubwa kura za Wakristu zitagawanyika kwa wagombea ho wawili.

kwa upande wa cuf, wanaweza hubahatika kupata kura za Waislamu wengi kwa kuwepo mgombea Muislamu anaepambana na wagombea Wakristu wawili (ccm na chdm). hali hii inaweza kukirudisha cuf kwenye nafasi ya pili.

kutokana na maradhi ya ukanda, ukabila na udini yanayovitafuna cuf na chdm, ukiongezea migogoro na unafiki vilivyopo chdm, ccm ina nafasi nzuri kushinda 2015. ujenzi wa barabara, visima na shule vitatumiwa na ccm mwaka 2015. licha ya umaskini mkubwa tuliyonao Watanzania, propaganda za ccm zitatufanya tusahau umaskini tuliyonao.

nimeamua kueleza ukweli. naomba wachangiaji wajenge hoja siyo kuongea kama wapo kijiweni.

Masaburi kazini
 
NI KWELI UNACSRAMBLE, kutumiwa kubaya sana
unalipwa sh ngapi?

Ebu uwe unatafakari mada zako unazoweka hap JF. Namashaka na upeo wako. Achana na mawazo yako ya kizembe
 
Scramble

Ninakushangaa sana. Analysis yako ndiyo inaonyesha jinsi ulivyo mdini. Bahati mbaya inaonyesha hujui unalolipalilia. You are disgusting Na nafikiri wanaojadili mada yako wanakupa hesima usiyostahili.
 
soma vizuri. nafanya tathmini ya 2010 kuelekea 2015. kama umezoea mabishano ya vijiweni kaa kimya! naomba great thinkers peke yake ndiyo wachangie.

Mimi naona anaeleta habari za kijiweni ni wewe!
 
kule kigoma waliamua kuipa nccr kura nyingi kwa sababu mgombea wa nccr alikua mtoto wao wa kigoma! walipata wabunge 4!

Mkuu hapa sijakusoma vizuri,je unaweza kufafanua kidogo?
 
Muumini mkubwa wa udini Tanzania ni CCM na ndio wanaopandikiza haya yote kwetu.2005 CUF ndicho kilikuwa chama kikuu cha upinzani na CCM wakakibatiza chama cha waislam,2010 CHADEMA walipochukuwa nafasi ya pili CCM wakawabatiza kuwa ni chama cha wakristo na wachaga.Hizi propaganda wanazozipandikiza nzinaenda tofauti kabisa na waasisi wa hiki chama na labda ni kutokana na utoto wa viongozi wa sasa.Madhara yake ni ya haya yanayotokea sasa Dumila,Rufiji,Mtwara na Masasi.
 
what do you mean unaposema maaskofu watakua nyuma ya CCM endapo mkristo atapitiswa? mbona bado hatujafika huko? wkikuita mtabiri utachukia?
 
Huu ni ukosefu wa busara na umeonyesha jinsi wewe na kundi lako mlivyo wadini! Analysis sio ya kweli hata kwa 1%! Poor u
 
huwa sipendi kuzungumzia udini lakini lisilobudi hutendwa. nchi yetu imekua na mfumo wa vyama vingi toka 1992. ni miaka 20 sasa tukiwa katika mfumo wa vyama vingi. kinacho nisonnesha ni ukweli kwamba baadhi ya vyama vinaelemea kwenye ukanda, ukabila na udini. hali hii haitotufikisha popote. hali hii itaifanya CCM iendelee kutawala milele.

nizungumzie uchaguzi wa 2010 huku nikiuoanisha na ule wa 2015. katika uchaguzi wa 2010, ccm waliibuka washindi wakifuatiwa na chadema na cuf wakashika nafasi ya tatu. nccr walishika nafasi ya nne. mgombea wa ccm alikua Muislamu. mgombea wa chdm alikua Mkristu. mgombea wa cuf alikua Muislamu na yule wa nccr alikua Muislamu pia.

meseji chafu zilizoegemea kwenye udini ziliwasihi Wakristu kutumia fursa ya kuwepo kwa wagombea wengi Waislamu. Walitanabahisha kuwa kura za Waislamu zitagawanyika kwa wagombea Waislamu. vile mgombea Mkristu ni mmoja (Slaa), basi ni neema kwa Wakristu.

Meseji chafu nyingine zilisambazwa na Waislamu wakiwaomba wana cuf kumpa jk kura ili kumzuia Slaa kuchukua nchi! baadhi ya wana cuf licha ya kuichukia ccm, walimpa jk kura! baadhi ya wana ccm licha ya kuipenda ccm, walimpa slaa kura kwa misingi ya udini!

kule kigoma waliamua kuipa nccr kura nyingi kwa sababu mgombea wa nccr alikua mtoto wao wa kigoma! walipata wabunge 4!

ukubali ukatae huu ndiyo ukweli kuhusu uchaguzi wa 2010.

2015 mambo yatakuaje?

uwezekano wa ccm kumpitisha mgombea Mkristu ni mkubwa. kwa mbali nahisi mama asharose migiro na dkt salim wanaweza kuchukua fomu japo siyo Wakristu. Iwapo ccm watampitisha mgombea Mkristu, maaskofu na mapadri waliompigia Slaa debe 2010, wote watakua nyuma ya mgombea wa ccc. ikumbukwe kuwa kuna mikatba minono kati ya makanisa na serikali ya ccm. japo baadhi ya maaskofu waliipigia debe chadema, 2015 watakua upande wa ccm kama mgombea atakua Mkristu.

kwa upande wa chdm, nahisi mgombea atakua Mkristu. Zitto ajue kuwa Mtei hawezi kumpa uenyekiti au kumruhusu abebe bendera ya chdm 2015. bila shaka mgombea wa chdm atakua Mkristu. iwapo kama wagombea wa ccm na chdm watakua Wakristo pana uwezekano mkubwa kura za Wakristu zitagawanyika kwa wagombea ho wawili.

kwa upande wa cuf, wanaweza hubahatika kupata kura za Waislamu wengi kwa kuwepo mgombea Muislamu anaepambana na wagombea Wakristu wawili (ccm na chdm). hali hii inaweza kukirudisha cuf kwenye nafasi ya pili.

kutokana na maradhi ya ukanda, ukabila na udini yanayovitafuna cuf na chdm, ukiongezea migogoro na unafiki vilivyopo chdm, ccm ina nafasi nzuri kushinda 2015. ujenzi wa barabara, visima na shule vitatumiwa na ccm mwaka 2015. licha ya umaskini mkubwa tuliyonao Watanzania, propaganda za ccm zitatufanya tusahau umaskini tuliyonao.

nimeamua kueleza ukweli. naomba wachangiaji wajenge hoja siyo kuongea kama wapo kijiweni.
you are absolutely right mkuu. huo ndo ukweli ulioundika ambao wengi hawataki kuusikia, kuuona na hata kuusoma.
 
Na hapa napo unahitaji posho au umejitolea tu?
 
Great thinkers wa siku hizi matatizo matupu.! Hivi umesahau kwamba ni ccm ya mkapa iliyokuwa inaeneza udini kwa cuf? Walipopata muislamu wakageukia kuwaomba muslims wamchague mwenzao? 2005 mbowe mbona hakuwa na mambo hayo? Mbona cuf na ccm hawakugawana kura za waislamu na kuiachia cdm za wakristo 2005? Ukweli ni mchungu lakini zama zinabadilika na watu wanafanya maamuzi kwa upeo. Hii ndo inafanya mgome kuandaa sera ya taifa na kubaki na sera za kipuuzi za vyama vyenu kwani mnajua mtashindwa kunadi na kutekeleza vitu visivyo na loop holes za wizi.
 
Jamani co watu wote walio humu ndani wanaelimu kama unayoweza kudhan ww,wengine ni vilaza zaidi ya mwez unavyocopy mwanga wa jua.Nadhan mleta hoja atakuwa anatumiwa pia kama ile mifuko ya marekan,cdhan kama mtu na elimu yake anaweza kupoteza mda kuandika pumba kama hizi.Kuchanganya siasa na udini ni upuuz ucopimika
 
huwa sipendi kuzungumzia udini lakini lisilobudi hutendwa. nchi yetu imekua na mfumo wa vyama vingi toka 1992. ni miaka 20 sasa tukiwa katika mfumo wa vyama vingi. kinacho nisonnesha ni ukweli kwamba baadhi ya vyama vinaelemea kwenye ukanda, ukabila na udini. hali hii haitotufikisha popote. hali hii itaifanya CCM iendelee kutawala milele.

nizungumzie uchaguzi wa 2010 huku nikiuoanisha na ule wa 2015. katika uchaguzi wa 2010, ccm waliibuka washindi wakifuatiwa na chadema na cuf wakashika nafasi ya tatu. nccr walishika nafasi ya nne. mgombea wa ccm alikua Muislamu. mgombea wa chdm alikua Mkristu. mgombea wa cuf alikua Muislamu na yule wa nccr alikua Muislamu pia.

meseji chafu zilizoegemea kwenye udini ziliwasihi Wakristu kutumia fursa ya kuwepo kwa wagombea wengi Waislamu. Walitanabahisha kuwa kura za Waislamu zitagawanyika kwa wagombea Waislamu. vile mgombea Mkristu ni mmoja (Slaa), basi ni neema kwa Wakristu.

Meseji chafu nyingine zilisambazwa na Waislamu wakiwaomba wana cuf kumpa jk kura ili kumzuia Slaa kuchukua nchi! baadhi ya wana cuf licha ya kuichukia ccm, walimpa jk kura! baadhi ya wana ccm licha ya kuipenda ccm, walimpa slaa kura kwa misingi ya udini!

kule kigoma waliamua kuipa nccr kura nyingi kwa sababu mgombea wa nccr alikua mtoto wao wa kigoma! walipata wabunge 4!

ukubali ukatae huu ndiyo ukweli kuhusu uchaguzi wa 2010.

2015 mambo yatakuaje?

uwezekano wa ccm kumpitisha mgombea Mkristu ni mkubwa. kwa mbali nahisi mama asharose migiro na dkt salim wanaweza kuchukua fomu japo siyo Wakristu. Iwapo ccm watampitisha mgombea Mkristu, maaskofu na mapadri waliompigia Slaa debe 2010, wote watakua nyuma ya mgombea wa ccc. ikumbukwe kuwa kuna mikatba minono kati ya makanisa na serikali ya ccm. japo baadhi ya maaskofu waliipigia debe chadema, 2015 watakua upande wa ccm kama mgombea atakua Mkristu.

kwa upande wa chdm, nahisi mgombea atakua Mkristu. Zitto ajue kuwa Mtei hawezi kumpa uenyekiti au kumruhusu abebe bendera ya chdm 2015. bila shaka mgombea wa chdm atakua Mkristu. iwapo kama wagombea wa ccm na chdm watakua Wakristo pana uwezekano mkubwa kura za Wakristu zitagawanyika kwa wagombea ho wawili.

kwa upande wa cuf, wanaweza hubahatika kupata kura za Waislamu wengi kwa kuwepo mgombea Muislamu anaepambana na wagombea Wakristu wawili (ccm na chdm). hali hii inaweza kukirudisha cuf kwenye nafasi ya pili.

kutokana na maradhi ya ukanda, ukabila na udini yanayovitafuna cuf na chdm, ukiongezea migogoro na unafiki vilivyopo chdm, ccm ina nafasi nzuri kushinda 2015. ujenzi wa barabara, visima na shule vitatumiwa na ccm mwaka 2015. licha ya umaskini mkubwa tuliyonao Watanzania, propaganda za ccm zitatufanya tusahau umaskini tuliyonao.

nimeamua kueleza ukweli. naomba wachangiaji wajenge hoja siyo kuongea kama wapo kijiweni.

Habari yenyewe hii ni ya kijiweni sidhani kama ina mashiko unataka kututoa kwenye habari za sasa tusahau. ah wapi
 
Hatimaye JAMII FORUMS IMEDHIHIRISHA KUCHOSHWA NA PROPAGANDA ZA UDINI... CCM ILICHOKIFANYA 2010 NDICHO MLETA MAADA ANACHOKISEMA.. HIZO COMMENTS NI WAZI VYAMA VYA SIASA HAVIJAWA REGISTERED KATIKA MISINGI YA UDINI BALI NI PROPAGANDA. POLE SANA MLETA MAADA
 
huwa sipendi kuzungumzia udini lakini lisilobudi hutendwa. nchi yetu imekua na mfumo wa vyama vingi toka 1992. ni miaka 20 sasa tukiwa katika mfumo wa vyama vingi. kinacho nisonnesha ni ukweli kwamba baadhi ya vyama vinaelemea kwenye ukanda, ukabila na udini. hali hii haitotufikisha popote. hali hii itaifanya CCM iendelee kutawala milele.

nizungumzie uchaguzi wa 2010 huku nikiuoanisha na ule wa 2015. katika uchaguzi wa 2010, ccm waliibuka washindi wakifuatiwa na chadema na cuf wakashika nafasi ya tatu. nccr walishika nafasi ya nne. mgombea wa ccm alikua Muislamu. mgombea wa chdm alikua Mkristu. mgombea wa cuf alikua Muislamu na yule wa nccr alikua Muislamu pia.

meseji chafu zilizoegemea kwenye udini ziliwasihi Wakristu kutumia fursa ya kuwepo kwa wagombea wengi Waislamu. Walitanabahisha kuwa kura za Waislamu zitagawanyika kwa wagombea Waislamu. vile mgombea Mkristu ni mmoja (Slaa), basi ni neema kwa Wakristu.

Meseji chafu nyingine zilisambazwa na Waislamu wakiwaomba wana cuf kumpa jk kura ili kumzuia Slaa kuchukua nchi! baadhi ya wana cuf licha ya kuichukia ccm, walimpa jk kura! baadhi ya wana ccm licha ya kuipenda ccm, walimpa slaa kura kwa misingi ya udini!

kule kigoma waliamua kuipa nccr kura nyingi kwa sababu mgombea wa nccr alikua mtoto wao wa kigoma! walipata wabunge 4!

ukubali ukatae huu ndiyo ukweli kuhusu uchaguzi wa 2010.

2015 mambo yatakuaje?

uwezekano wa ccm kumpitisha mgombea Mkristu ni mkubwa. kwa mbali nahisi mama asharose migiro na dkt salim wanaweza kuchukua fomu japo siyo Wakristu. Iwapo ccm watampitisha mgombea Mkristu, maaskofu na mapadri waliompigia Slaa debe 2010, wote watakua nyuma ya mgombea wa ccc. ikumbukwe kuwa kuna mikatba minono kati ya makanisa na serikali ya ccm. japo baadhi ya maaskofu waliipigia debe chadema, 2015 watakua upande wa ccm kama mgombea atakua Mkristu.

kwa upande wa chdm, nahisi mgombea atakua Mkristu. Zitto ajue kuwa Mtei hawezi kumpa uenyekiti au kumruhusu abebe bendera ya chdm 2015. bila shaka mgombea wa chdm atakua Mkristu. iwapo kama wagombea wa ccm na chdm watakua Wakristo pana uwezekano mkubwa kura za Wakristu zitagawanyika kwa wagombea ho wawili.

kwa upande wa cuf, wanaweza hubahatika kupata kura za Waislamu wengi kwa kuwepo mgombea Muislamu anaepambana na wagombea Wakristu wawili (ccm na chdm). hali hii inaweza kukirudisha cuf kwenye nafasi ya pili.

kutokana na maradhi ya ukanda, ukabila na udini yanayovitafuna cuf na chdm, ukiongezea migogoro na unafiki vilivyopo chdm, ccm ina nafasi nzuri kushinda 2015. ujenzi wa barabara, visima na shule vitatumiwa na ccm mwaka 2015. licha ya umaskini mkubwa tuliyonao Watanzania, propaganda za ccm zitatufanya tusahau umaskini tuliyonao.

nimeamua kueleza ukweli. naomba wachangiaji wajenge hoja siyo kuongea kama wapo kijiweni.

CCM hatuitaki hata kama itamsimamisha askofu. Mtwara na Lindi hawataichagua ccm kwa sababu ya gesi. na mikoa mingine hatupendi serikali ya ccm kwa sababu ya maovu yake. Ujenzi wa barabara na mashule ni wajibu wa serikali iliyoko madarakani na hata hivyo serikali hiyo inatumia hela zetu ambazo nyingi wanaziiba.
 
Ulikuwa wapi kufanya uchambuzi wako wa kitoto toka 2010? Habari ya mujini. Ni gesi jombaaaa

Kweli watu wengine wana vichwa vya samaki tunasema mambo yote ni gesi , huyu nyumbafu anatuletea video ya rais nani anataka ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom