Kataa au kubali lakini ukweli ndiyo huu!

usiwe kama mlevi kama habari ya mjini gesi kale hiyo gesi, huyu jamaa ameamua kufunguka na kuacha uchama pembeni me binafsi naipenda chadema japo sina gani ya chadema naipenda Cuf Japo sina kadi ya Cuf lakini kinachonisikitisha me na huwa nafkria nakuona kuwa CCM itaendelea kushinda ni hiki alichokisema huyu jamaa, kiukweli kuiangalia Chadema bila hata darubini Unaona Ni chama kinachosimamia Udini(Ukristo) Ukanda Na Ukabila Nakipenda Chadema sikisemei mabaya bali nasema ukweli uliopo na hii ni mbaya sana CUF nao ivo vio ndo kinachowafanya wasishinde Unajua Watanzania Tunawaona wajinga lakin n watu wanaopima sana unaweza ukaona wanakushangilia sana lakini mwisho wa siku kura wanampa mwingne kama alivyoshangiliwa Wababa kwenye Epiq den kura hawajampgia ni vizuri Chadema iondoe taswira ya Udin/ukabila/ukanda na kiwe chama ambacho kipo kipo hakina muonekano wa hayo mambo, Na si kusema kwamba CCM ndo wanayasema haya no bali namna klvyo Chadema na Cuf CCm wanacho hicho kitu cha Udini lakin Wanakificha tena mpaka ukipekua sana lakini wa macho huoni mpaka utumie darubini.

Tusiweke ushabiki mbele tutumie akili zetu
YES! Mie ni mlevi, ulevi wangu wala usikusumbue, naona unajifunza kupost, utaelewa tu muda si mchache..
 
kWELI KAMAND WANANCHI WANATAKA HAKI YAO YA UKWELI NAWAUNGA MKONO KUHUSU GASI MTWARA NA LINDI KOMAENI
GASI IBAKI HAPO.

we nawe usiwe kama Mlevi hivi unadhani kila Mkoa ikitaka chao kibaki kwao unadhani nani ataweza kuishi ivo?? Mtwara na Lindi hawakatai gesi kuja dar wanataka viwanda vitengenezwe pale Mtwara endapo kifanywa ivo basi Ajira watapata wakazi wa hapo na Mazingira yataboreshwa na watu kutoka pande zote wanakwenda Mtwara, endapo kiwanda kikiwekwa Dar wao watafaidika na nn??? Hicho ndo wasichotaka, ila sio unavyosema ww gesi ibaki mtwara lazima isambae bwana me Nakubaliana nao Viwanda vijengwe kwao huku ije ikiwa tayari mpango mzima kama Ice cream ya Azam yatengenezwa dar mtwara yaenda tayri kwa kuliwa ndo Gesi hiwe ivyo
 
Tatizo la kutumia mat*ko kuwaza
huwa sipendi kuzungumzia udini lakini lisilobudi hutendwa. nchi yetu imekua na mfumo wa vyama vingi toka 1992. ni miaka 20 sasa tukiwa katika mfumo wa vyama vingi. kinacho nisonnesha ni ukweli kwamba baadhi ya vyama vinaelemea kwenye ukanda, ukabila na udini. hali hii haitotufikisha popote. hali hii itaifanya CCM iendelee kutawala milele.

nizungumzie uchaguzi wa 2010 huku nikiuoanisha na ule wa 2015. katika uchaguzi wa 2010, ccm waliibuka washindi wakifuatiwa na chadema na cuf wakashika nafasi ya tatu. nccr walishika nafasi ya nne. mgombea wa ccm alikua Muislamu. mgombea wa chdm alikua Mkristu. mgombea wa cuf alikua Muislamu na yule wa nccr alikua Muislamu pia.

meseji chafu zilizoegemea kwenye udini ziliwasihi Wakristu kutumia fursa ya kuwepo kwa wagombea wengi Waislamu. Walitanabahisha kuwa kura za Waislamu zitagawanyika kwa wagombea Waislamu. vile mgombea Mkristu ni mmoja (Slaa), basi ni neema kwa Wakristu.

Meseji chafu nyingine zilisambazwa na Waislamu wakiwaomba wana cuf kumpa jk kura ili kumzuia Slaa kuchukua nchi! baadhi ya wana cuf licha ya kuichukia ccm, walimpa jk kura! baadhi ya wana ccm licha ya kuipenda ccm, walimpa slaa kura kwa misingi ya udini!

kule kigoma waliamua kuipa nccr kura nyingi kwa sababu mgombea wa nccr alikua mtoto wao wa kigoma! walipata wabunge 4!

ukubali ukatae huu ndiyo ukweli kuhusu uchaguzi wa 2010.

2015 mambo yatakuaje?

uwezekano wa ccm kumpitisha mgombea Mkristu ni mkubwa. kwa mbali nahisi mama asharose migiro na dkt salim wanaweza kuchukua fomu japo siyo Wakristu. Iwapo ccm watampitisha mgombea Mkristu, maaskofu na mapadri waliompigia Slaa debe 2010, wote watakua nyuma ya mgombea wa ccc. ikumbukwe kuwa kuna mikatba minono kati ya makanisa na serikali ya ccm. japo baadhi ya maaskofu waliipigia debe chadema, 2015 watakua upande wa ccm kama mgombea atakua Mkristu.

kwa upande wa chdm, nahisi mgombea atakua Mkristu. Zitto ajue kuwa Mtei hawezi kumpa uenyekiti au kumruhusu abebe bendera ya chdm 2015. bila shaka mgombea wa chdm atakua Mkristu. iwapo kama wagombea wa ccm na chdm watakua Wakristo pana uwezekano mkubwa kura za Wakristu zitagawanyika kwa wagombea ho wawili.

kwa upande wa cuf, wanaweza hubahatika kupata kura za Waislamu wengi kwa kuwepo mgombea Muislamu anaepambana na wagombea Wakristu wawili (ccm na chdm). hali hii inaweza kukirudisha cuf kwenye nafasi ya pili.

kutokana na maradhi ya ukanda, ukabila na udini yanayovitafuna cuf na chdm, ukiongezea migogoro na unafiki vilivyopo chdm, ccm ina nafasi nzuri kushinda 2015. ujenzi wa barabara, visima na shule vitatumiwa na ccm mwaka 2015. licha ya umaskini mkubwa tuliyonao Watanzania, propaganda za ccm zitatufanya tusahau umaskini tuliyonao.

nimeamua kueleza ukweli. naomba wachangiaji wajenge hoja siyo kuongea kama wapo kijiweni.
 
Mara Mtei, oh Zitto. wewe kama si masalia basi ni wale wanaofadhili masalia kutoka Magamba party, huna hoja, shut up.

ndomana siasa ya Tz itakuwa hivi kuanzia baba yenu mpaka mtoto na Demu wenu.Kinachonikera humu JF watu wanapenda kila siku CDM isiwe na kasoro hiki hakiwezekani, mwenye mapz na Chadema kama mm au mwngne ni yule atayesema kweli japo chungu, hili hapa JF wanalo watu wachache sana, wengi ni Ushabiki na Kushindwa kusema kwenye Ukweli, Licha ya Propaganda za CCM kuna Muonekano ambao hawitaji Darubini.

Tubadilike tuseme kweli ili CDM iwe bora, kwa mtindo huu hatutapata Mafanikio
 
kwa taarifa yako mimi siyo mwanachama wa ccm. nahitaji chama mbadala lkn vilivyopo vinanitia mashaka kwa kuelemea kweye udini ukanda na ukabila. soma vizuri thread yangu ili uielewe

me n mmoja kati ya watu niliyokuelewa ndugu
 
Kweli JF imevamiwa na hawa waliotumwa kutekeleza kauli ya JK kuwa "tutapambana hukohuko kwenye mitandao ya kijamii".
 
soma vizuri. nafanya tathmini ya 2010 kuelekea 2015. kama umezoea mabishano ya vijiweni kaa kimya! naomba great thinkers peke yake ndiyo wachangie.

Habari ya NJINI ni NTWARA tu
 
soma vizuri. nafanya tathmini ya 2010 kuelekea 2015. kama umezoea mabishano ya vijiweni kaa kimya! naomba great thinkers peke yake ndiyo wachangie.
Mrs Mwigulu,ama wa Shekhe Yahaya!? unatuita watu wavijiweni? Mwenzio alisema vyama ya msimu, Membe. Alisema ni wahuni tu wa Benghaz(Libly)issue ya EPA mlisema ni mambo ya kwenye mtandao, Mwakyembe JFf anasema ni wahuni... Pole pole tu.. Utajua watu wa kijiweni tunakuwaje...
 
Sasa wewe coco,kama CCM udini umejificha ilikuwaje mahakama ya kadhi ikaingia kwenye ilani ya magamba?,tena radio za kiislamu ndio zilionesha umagamba wa kupindukia,mimi nilitegemea kwa kuwa wanaume mliingizwa choo cha kike mngechukua hatua lkn zero.
 
inaelekea unajaribu kuziba jua kwa kiganja cha mkono. kuhusu uchaguzi wa 2010 ukweli ni huo niliyouandika. udini ulitawala sana. labda kama ulikua bado shule ya msingi hapo unaweza kuwa hukuyaona ninayo yasema

Mkuu scramble by ze way who are you? kutaka kutuaminisha upumbavu, ujinga, unafiki na uongo wako ukidhani kwamba Wana JF wote ni hamnazo kama hao walio kutuma. Kwa taarifa yako aliye shinda uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 katika nafasi ya urais ni DR. Slaa, Mh.Jeikei alibebwa na tume ya uchaguzi na ndo' maana watanzania tunataka tuwe na tume huru ya uchaguzi. Post yako inadhihirisha kiwango chako cha elimu hakina tofauti na cha Mulugo, nani ambaye hajui ya kuwa JK ndiye muasisi wa udini nchini Tanzania? Pitia hii mifano michache uweze kutoa tongotongo kwenye macho yako;

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ni JK- Muislam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr.Bilal-Muislam
Rais wa Zanzibar Dr.Shein - Muislam
Makamu wa Rais -Zanzibar wote wawili ni -waislam
Mkuu wa jeshi la polisi Said Mwema(Shemeji yake Kikwete) - Muislam
Mkurugenzi mtendaji wa NSSF -Dr. Dau - Muislam
Jaji mkuu wa Tanzania-Chande -Muislam
Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa- Muislam
Na wengine wengi hata wasiokuwa na sifa wamemilikishwa vitengo nyeti katika serikali ya mh. Dhaifu.

Mkuu scramble kwa hiyo mifano michache unataka umdanganye nani? kwani hata kipofu anaona.
Mkuu scramble utatumika kama toilet paper hadi lini?

Kwa taarifa yako kama bado unategemea mtaandelea kutawala kwa kuchakachua matokeo nachelea kukupa pole. In short wewe na waliokutuma hamna jipya tofauti na kumaliza Tembo wetu. Jiandaeni psychologically kuwa wapinzani ifikapo 2015.
 
usiwe kama mlevi kama habari ya mjini gesi kale hiyo gesi, huyu jamaa ameamua kufunguka na kuacha uchama pembeni me binafsi naipenda chadema japo sina gani ya chadema naipenda Cuf Japo sina kadi ya Cuf lakini kinachonisikitisha me na huwa nafkria nakuona kuwa CCM itaendelea kushinda ni hiki alichokisema huyu jamaa, kiukweli kuiangalia Chadema bila hata darubini Unaona Ni chama kinachosimamia Udini(Ukristo) Ukanda Na Ukabila Nakipenda Chadema sikisemei mabaya bali nasema ukweli uliopo na hii ni mbaya sana CUF nao ivo vio ndo kinachowafanya wasishinde Unajua Watanzania Tunawaona wajinga lakin n watu wanaopima sana unaweza ukaona wanakushangilia sana lakini mwisho wa siku kura wanampa mwingne kama alivyoshangiliwa Wababa kwenye Epiq den kura hawajampgia ni vizuri Chadema iondoe taswira ya Udin/ukabila/ukanda na kiwe chama ambacho kipo kipo hakina muonekano wa hayo mambo, Na si kusema kwamba CCM ndo wanayasema haya no bali namna klvyo Chadema na Cuf CCm wanacho hicho kitu cha Udini lakin Wanakificha tena mpaka ukipekua sana lakini wa macho huoni mpaka utumie darubini.
Tusiweke ushabiki mbele tutumie akili zetu

unajua msituchezee akili! hebu semeni wazi udini (ukiristo)wa cdm uko vipi na wapi? kwa kuwa mwenyekiti na katibu ni wakristo au kwa kuwa katibu wake alikuwa padri? waislam waliopo cdm wanatengwa? waislam wanazuiwa kujiunga cdm? au sera za cdm ni za kikikristo au zinapinga imani ya kiislam? hivyo hivyo kwa ukanda. kwanza ni kanda gani hiyo mnayozungumza? halaf hatuwaelewi mara ukanda, mara uchaga, mara ukiristo, mara ukatoriki! sasa tushike lipi? hata propoganda hamwezi? kweli nyie mmeshindwa kuongoza nchi, pisheni kabla nguvu ya umma haijawapitisha
 
Wewe na Jk mlihubiri udini 2010,na sasa unaendelea kunadi Udini na Mdhaifu wako
 
MTAZAMO WANGU

1.Huu ni utabiri, kama alivyokuwa anafanya Sheikh Yahya.

2. Kuhusu udini, naona unalenga kutujulisha kuwa CDM ni chama cha WAKRISTO, whereas CUF ni chama cha WAISLAMU, na CCM hakina mlengo wa DINI...!!

Number 2 above, disqualifies your myopic assessment ya siasa za Tanzania.
 
huwa sipendi kuzungumzia udini lakini lisilobudi hutendwa. nchi yetu imekua na mfumo wa vyama vingi toka 1992. ni miaka 20 sasa tukiwa katika mfumo wa vyama vingi. kinacho nisonnesha ni ukweli kwamba baadhi ya vyama vinaelemea kwenye ukanda, ukabila na udini. hali hii haitotufikisha popote. hali hii itaifanya CCM iendelee kutawala milele.

nizungumzie uchaguzi wa 2010 huku nikiuoanisha na ule wa 2015. katika uchaguzi wa 2010, ccm waliibuka washindi wakifuatiwa na chadema na cuf wakashika nafasi ya tatu. nccr walishika nafasi ya nne. mgombea wa ccm alikua Muislamu. mgombea wa chdm alikua Mkristu. mgombea wa cuf alikua Muislamu na yule wa nccr alikua Muislamu pia.

meseji chafu zilizoegemea kwenye udini ziliwasihi Wakristu kutumia fursa ya kuwepo kwa wagombea wengi Waislamu. Walitanabahisha kuwa kura za Waislamu zitagawanyika kwa wagombea Waislamu. vile mgombea Mkristu ni mmoja (Slaa), basi ni neema kwa Wakristu.

Meseji chafu nyingine zilisambazwa na Waislamu wakiwaomba wana cuf kumpa jk kura ili kumzuia Slaa kuchukua nchi! baadhi ya wana cuf licha ya kuichukia ccm, walimpa jk kura! baadhi ya wana ccm licha ya kuipenda ccm, walimpa slaa kura kwa misingi ya udini!

kule kigoma waliamua kuipa nccr kura nyingi kwa sababu mgombea wa nccr alikua mtoto wao wa kigoma! walipata wabunge 4!

ukubali ukatae huu ndiyo ukweli kuhusu uchaguzi wa 2010.

2015 mambo yatakuaje?

uwezekano wa ccm kumpitisha mgombea Mkristu ni mkubwa. kwa mbali nahisi mama asharose migiro na dkt salim wanaweza kuchukua fomu japo siyo Wakristu. Iwapo ccm watampitisha mgombea Mkristu, maaskofu na mapadri waliompigia Slaa debe 2010, wote watakua nyuma ya mgombea wa ccc. ikumbukwe kuwa kuna mikatba minono kati ya makanisa na serikali ya ccm. japo baadhi ya maaskofu waliipigia debe chadema, 2015 watakua upande wa ccm kama mgombea atakua Mkristu.

kwa upande wa chdm, nahisi mgombea atakua Mkristu. Zitto ajue kuwa Mtei hawezi kumpa uenyekiti au kumruhusu abebe bendera ya chdm 2015. bila shaka mgombea wa chdm atakua Mkristu. iwapo kama wagombea wa ccm na chdm watakua Wakristo pana uwezekano mkubwa kura za Wakristu zitagawanyika kwa wagombea ho wawili.

kwa upande wa cuf, wanaweza hubahatika kupata kura za Waislamu wengi kwa kuwepo mgombea Muislamu anaepambana na wagombea Wakristu wawili (ccm na chdm). hali hii inaweza kukirudisha cuf kwenye nafasi ya pili.

kutokana na maradhi ya ukanda, ukabila na udini yanayovitafuna cuf na chdm, ukiongezea migogoro na unafiki vilivyopo chdm, ccm ina nafasi nzuri kushinda 2015. ujenzi wa barabara, visima na shule vitatumiwa na ccm mwaka 2015. licha ya umaskini mkubwa tuliyonao Watanzania, propaganda za ccm zitatufanya tusahau umaskini tuliyonao.

nimeamua kueleza ukweli. naomba wachangiaji wajenge hoja siyo kuongea kama wapo kijiweni.
mtoa mada nakuomba,hayo yanayotokea mtwara yako upande wa dini gani?
 
usiwe kama mlevi kama habari ya mjini gesi kale hiyo gesi, huyu jamaa ameamua kufunguka na kuacha uchama pembeni me binafsi naipenda chadema japo sina gani ya chadema naipenda Cuf Japo sina kadi ya Cuf lakini kinachonisikitisha me na huwa nafkria nakuona kuwa CCM itaendelea kushinda ni hiki alichokisema huyu jamaa, kiukweli kuiangalia Chadema bila hata darubini Unaona Ni chama kinachosimamia Udini(Ukristo) Ukanda Na Ukabila Nakipenda Chadema sikisemei mabaya bali nasema ukweli uliopo na hii ni mbaya sana CUF nao ivo vio ndo kinachowafanya wasishinde Unajua Watanzania Tunawaona wajinga lakin n watu wanaopima sana unaweza ukaona wanakushangilia sana lakini mwisho wa siku kura wanampa mwingne kama alivyoshangiliwa Wababa kwenye Epiq den kura hawajampgia ni vizuri Chadema iondoe taswira ya Udin/ukabila/ukanda na kiwe chama ambacho kipo kipo hakina muonekano wa hayo mambo, Na si kusema kwamba CCM ndo wanayasema haya no bali namna klvyo Chadema na Cuf CCm wanacho hicho kitu cha Udini lakin Wanakificha tena mpaka ukipekua sana lakini wa macho huoni mpaka utumie darubini.

Tusiweke ushabiki mbele tutumie akili zetu
huna tofauti na mchemba anayesema chadema wanapanga mauaji,lakini wanashindwa kuchukua hatua yeyote ingawa serikali ni yao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom