educator2025
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 403
- 465
Je unateseka na kitambi sugu/manyama uzembe na umetumia dawa kadhaa na haijsaidia? Basi usihofu jiunge nasi saa 12:15 asubuhi pale mlimani city mall (geti la kuelekea Survey/Chuo Kikuu kwa ajili ya jogging mpaka uwanjani UDSM/Chuo na kurudi mlimani city muda ni kati ya dakika 30 mpaka 45. Hakuna kiingilio cha pesa ni kwa ajili ya kuimarisha afya zetu.