kasuku

Bellino

Member
Jan 29, 2012
65
10
Jangle: na kasuku wake ndani ya banda la makumbusho....
Jangle;"haya jiipatie kasuku wenye uwezo wa kuongea lugha 2 za kimataifa...
1.akinyanyua mguu wa kulia anaongea "kingereza"
2.akinyanyua wa kushoto anaongea kifaransa...
Mteja: je akinyanyanyua miguu yote...?
Jangle.."we ms++nge nini..si ataanguka.
 
Back
Top Bottom