Kasuku noma


Mbimbinho

Mbimbinho

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2009
Messages
6,854
Points
2,000
Mbimbinho

Mbimbinho

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2009
6,854 2,000
Mwanadada mmoja mrembo alienda mjini kufanya shopping,akapita mahali flani akaona muuzaji mmoja anauza kasuku elfu 25....akaamua kuulizia:

Dem:"Mambo."

Muuzaji:"Poa sista...nikusaidie nini?"

Dem:"Nilikuwa naulizia tuh...inaonekana huyu kasuku wako ni special maana unamuuza kwa bei ghali!"

Muuzaji:"Huyu kasuku huongea ndio maana namuuza kwa hio bei."

Yule dem akaamua kumjaribu pale pale...akamuuliza kasuku,"Mmmh..hebu niambie leo nakaaje?...mi najiona nimetoklezea!"

Kasuku akajibu:"Unaonekana kama MALAYA..."

Dem akakasirika na kusema,"Siwezi kumnunua kasuku huyu maana ni mshenzi ana tabia mbaya na za kipumbavu!!"

Muuzaji akamwambia yule dada asubiri kiasi...akamchukua kasuku na kuenda nae nyuma ya duka,akamzamisha ndani ya beseni lililojaa maji kwa dakika kadhaa...kisha akamtoa na kumwambia,"Pumbavu ukirudia kuongea ushenzi mbele ya wateja kama yule dada nitakuzamisha tena na safari hio hadi ufe...mshenzi wewee!!"

Aliporudi akamkuta yule mwanadada bado yupo akamwambia,"Dada samahani kwa tatizo hilo...naomba umuulize tena kasuku swali lolote."

Dem akauliza:"Nikirudi nyumbani kwangu na mwanamume mmoja utafikiriaje?"

Kasuku:"Kwa kweli nitafikiria huyo ni MUME WAKO."

Dem:"Nikirudi na wanaume wawili?"

Kasuku:"Hapo itakuwa MUME WAKO na KAKA YAKO."

Dem:"Je nikirudi nyumbani na wanaume watatu?"

Kasuku:"Hao watakuwa MUME WAKO,KAKA YAKE MUME WAKO na KAKA YAKO."

Dem:"Vipi je nikirudi nyumbani na wanaume wanne?"

Kasuku:"Aarggh!..Kudadeki!!! Lete hilo beseni la maji....nilishakwambia huyu dada ni MALAYA...!!!"
 
Wingu

Wingu

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Messages
4,324
Points
1,225
Wingu

Wingu

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2011
4,324 1,225
Mkuu wewe noma kama huyo kasuku.Umenifurahisha sana
 
K

Kamuzu

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2008
Messages
996
Points
225
K

Kamuzu

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2008
996 225
Kudadeki, Kasuku kama sheikh Yahya (RIP)
 
Babkey

Babkey

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2010
Messages
4,621
Points
2,000
Babkey

Babkey

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2010
4,621 2,000
teheheheheheeeeeeeeeee!!!!!!
 
The Bleiz

The Bleiz

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2012
Messages
3,861
Points
2,000
The Bleiz

The Bleiz

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2012
3,861 2,000
Huyu dada nae kazidi..
 
ChaterMaster

ChaterMaster

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2009
Messages
1,448
Points
1,500
ChaterMaster

ChaterMaster

JF-Expert Member
Joined Aug 17, 2009
1,448 1,500
dada nae mcharuko mnoo...
wanaume wote hao kisa nn au ana matindu zaid ya moja???
 
Mshuza2

Mshuza2

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2010
Messages
5,876
Points
2,000
Mshuza2

Mshuza2

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2010
5,876 2,000
Huyo kasuku ni genious!
 
B

Bill le Roux

Member
Joined
Dec 12, 2012
Messages
8
Points
20
B

Bill le Roux

Member
Joined Dec 12, 2012
8 20
dah! kungekuwa na kusuku kama hao wa3 hao dada ze2 wangekoma kwa kwel...
 
A

aduwilly

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Messages
1,180
Points
1,195
A

aduwilly

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2009
1,180 1,195
tehe tehe tihi tihi toho toho Kasuku soo
 
Marry Hunbig

Marry Hunbig

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2012
Messages
1,680
Points
2,000
Marry Hunbig

Marry Hunbig

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2012
1,680 2,000
Duh!
Nimecheka sana!!
Lol!
 
Jagarld

Jagarld

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2011
Messages
1,782
Points
2,000
Jagarld

Jagarld

JF-Expert Member
Joined Apr 7, 2011
1,782 2,000
Kweli bhana atakuwa malaya huyu si bure,swali lake ye wanaume tu haa haa haa!
 
K

kimbola jr

New Member
Joined
Dec 13, 2012
Messages
1
Points
0
Age
28
K

kimbola jr

New Member
Joined Dec 13, 2012
1 0
mwanangu huyo kasuki ni mwisho wamatizo:smiling:
 
LiverpoolFC

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2011
Messages
11,017
Points
1,250
LiverpoolFC

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2011
11,017 1,250
Kha ha ha ha ha haaaaaa!

Hii nimeikuta pale jukwaa la CC na nilisema ingependezea hapa kama ilivyo hapa,

Madame B
Arushaone
Filipo
Bishanga
Asprin

Umeona jukwaa lenu mambo yanayobandikwa??

Kha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaa!! Kasuku noma!
 
Last edited by a moderator:
Asprin

Asprin

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Messages
58,452
Points
2,000
Asprin

Asprin

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2008
58,452 2,000

Forum statistics

Threads 1,284,750
Members 494,236
Posts 30,838,738
Top