Going Concern
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 1,071
- 1,213
jamaa muuza kasuku akawa anamuelezea kasuku wake lugha anazo ongea!
muuzaji: uyu kasuku akinyanyua mguu wakushoto anaongea English , akinyanyua mguu wa kulia anaongea kichina.
mnunuzi akauliza: je akinyanyua miguu yote?
kasuku akadakia: acha useng** nikinyanyua yote si ntaanguka sasa!