Kassim Kayira wa BBC ahamia Azam Media

Kassim Kayira wa BBC ahamia Azam Media

KAUMZA

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2010
Posts
699
Reaction score
240
Wana Jf Salaam kwenu!

Hakika nimeamini maneno ya Mwenyekiti wa Makampuni ya Azam Group kuwa anataka kuifanya Azam Media kuwa "BBC ya Afrika"

Baada ya kufungua studio kubwa na ya kisasa kabisa na kufanya usajili wa nguvu kwa kuwachukua nguli ktk tasnia ya habari kama Tido Mhando, Charles Hilary, Baruani Mhuza na sasa Kassimu Kaila.

Ni wazi kuwa Azam Media imekuja kuleta Mapinduzi katika sekta ya habari nchini.

Hongera sana
 
Kassim Kaila si ndugu kutoka Rwanda???
Hongora kwa Azam innovative ideas
 
Ni kweli wako vizuri lakini bado wanakosa watu wa content hasa suala la news,vipindi na documentaries.

Azam wamewekeza sana katika suala la 'watangazaji' lakini issue ni je watatangaza nini? kinachouza kituo siyo watangazaji bali kinachotangazwa.

Aljazeera English ilipoanzishwa walichukua watu wengi kutoka CNN,BBC ,PRES TV nk lakini hawakuchukua watangazaji wengi bali 'wazalishaji wa content''.

Tangu kuanza kwa AZAM TV ni habari gani kubwa waliyowahi kuibua au ni kipindi gani cha nje (nje ya studio) kinachowauza mbali na kipindi cha Uchaguzi?'

Nafikiri nguvu kubwa wangewekeza katika suala la content badala ya kutafuta watangazaji maarufu duniani.

Tido alipoingarisha TBC hakuwa na watagazaji wapya au maarufu bali aliwekeza katika suala la content.

M.Byabato
Tv Journalist
 
Labda tujiulize ni kitu gani hasa kimemkimbiza Kaira kule BBC?
 
Watayafanyia kazi maoni yako.
 
Hongera azam media.mnanifurahisha sana hasa wakati huu wa uchaguzi.
 
Ni kweli wako vizuri lakini bado wanakosa watu wa content hasa suala la news,vipindi na documentaries.

Azam wamewekeza sana katika suala la 'watangazaji' lakini issue ni je watatangaza nini? kinachouza kituo siyo watangazaji bali kinachotangazwa.

Aljazeera English ilipoanzishwa walichukua watu wengi kutoka CNN,BBC ,PRES TV nk lakini hawakuchukua watangazaji wengi bali 'wazalishaji wa content''.

Tangu kuanza kwa AZAM TV ni habari gani kubwa waliyowahi kuibua au ni kipindi gani cha nje (nje ya studio) kinachowauza mbali na kipindi cha Uchaguzi?'

Nafikiri nguvu kubwa wangewekeza katika suala la content badala ya kutafuta watangazaji maarufu duniani.

Tido alipoingarisha TBC hakuwa na watagazaji wapya au maarufu bali aliwekeza katika suala la content.

M.Byabato
Tv Journalist

Byabato, salute kwako. Umeongea kitu ambacho ni cha kiutaalamu zaidi. Ninakuamini, na ninajua kazi yako
 
Kassim Kayira has been working for the BBC since 2005. He was born in Uganda to Rwandan and Ugandan parents and went on to study in both his home country as well as Kenya. He speaks 12 languages including English, Arabic and Swahili, along with nine African languages. Before joining the BBC, he worked as the news anchor on TVR, the Rwandan government TV channel.
 
Ninawapongeza sana ila wasiache kurekebisha baadhi ya maeneo yanayoshauriwa
 
Kassim Kaila si ndugu kutoka Rwanda???
Hongera kwa Azam innovative ideas
 
Kumchukua Kasim Kaira sio jambo dogo,hakika Azam wana malengo makubwa.
Ushauri wa Byabato ni mzuri sana.
 
Back
Top Bottom