Mbona hawahimizi serikali itengenezi barabarA kiwango Cha LAMI kwenda vijijini ili kuongeza root za magari ili gar zifanye biashara maeneo mengi.
Ila hao wangese,wanajikita kwenye nafasi ya KUNGUNI kazi kunyonya tu.
Shwaini,hapo watu bila KUJIKARIAKOO warahi tutaendelea kuwalisha hao mbweha mpaka kufa kwao na vizazi.
Kazi zenyewe Kama huna uncle kule,utasikilizia magazetini tu
Wewe ambaye huna hata baiskeli ya mbao leo unazungumzia kwa authority just ya usafirishaji wa mabasi.Mbona hawahimizi serikali itengenezi barabarA kiwango Cha LAMI kwenda vijijini ili kuongeza root za magari ili gar zifanye biashara maeneo mengi.
Ila hao wangese,wanajikita kwenye nafasi ya KUNGUNI kazi kunyonya tu.
Shwaini,hapo watu bila KUJIKARIAKOO warahi tutaendelea kuwalisha hao mbweha mpaka kufa kwao na vizazi.
Kazi zenyewe Kama huna uncle kule,utasikilizia magazetini tu
Hata Kama,sie tunaumizwa na nauri za mizigo yetu.Wewe ambaye huna hata baiskeli ya mbao leo unazungumzia kwa authority just ya usafirishaji wa mabasi.
Unajua hata basi moja linauzwa bei gani?
Labda umenielewa vibaya ndugu,me nawasema hao LATRA.Tatizo kubwa la mtanzania ni wivu wa kijinga na chuki dhidi ya wanayemdhani ana vitega uchumi.
Kwamba mwenye basi ni kunguni anaye kunyonya wewe? Anakumyonya nini ndugu huyo. Hao mbona ni waganga njaa kama wengine tu? Mwenye mabasi gani kadumu akiwapo?
Yako wapi Scandinavia, Dar Lux au fresh ya shamba?
Kuwaongezea tozo watu hawa unaona ni sawa ila wahimize serikali kujenga barabara? Kwani kunguni serikali hao hawana macho hadi kusubiria kuhimizwa tu huku wakiongeza Kodi na tozo kila uchao?
Tuko pamoja ndugu. Ulichokuwa umeandika hakikuwa wazi. Ilikuwa tungo tata kwa ujumla.Labda umenielewa vibaya ndugu,me nawasema hao LATRA.
Maana hawaangalii upande wa wenye magar either changamoto gani wanapitia
Hata Kama,sie tunaumizwa na nauri za mizigo yetu.
Maana hizo ghalama sisi walaji was mwisho ndo tunazibeba.
Hii spirit ya migomo naona kama inaanza kuingia kwenye DNA za mtanzania taratibu, leo anagoma huyu, yule akiona mwenzake aligoma akapewa haki yake, nae anagoma atapoona haki yake imekandamizwa, mwishowe tutaamka wote kwa umoja wetu kufanya ule mgomo mkubwa wa kitaifa kuwakataa waliotuletea matatizo yasiyokwisha miaka zaidi ya 60 baada ya uhuru.
Wanaume wa mikowani siku hizi mnatuangusha sana,mkishindwa kufanya mgomo Kama ule wa Kariakoo basi inabidi wote muhamie Burundi!!Mbona hawahimizi serikali itengenezi barabarA kiwango Cha LAMI kwenda vijijini ili kuongeza root za magari ili gar zifanye biashara maeneo mengi.
Ila hao wangese,wanajikita kwenye nafasi ya KUNGUNI kazi kunyonya tu.
Shwaini,hapo watu bila KUJIKARIAKOO warahi tutaendelea kuwalisha hao mbweha mpaka kufa kwao na vizazi.
Kazi zenyewe Kama huna uncle kule,utasikilizia magazetini tu
Ukitaka kuishi Nchi hii kwa amani bila haya Makodikodi,wwe usimiliki chochote kile lakini ukimiliki hata baiskeli hao watoza ushuru wako mlangoni kwako wanataka Kodi ya baiskeli yako!!Tatizo kubwa la mtanzania ni wivu wa kijinga na chuki dhidi ya wanayemdhani ana vitega uchumi.
Kwamba mwenye basi ni kunguni anaye kunyonya wewe? Anakumyonya nini ndugu huyo. Hao mbona ni waganga njaa kama wengine tu? Mwenye mabasi gani kadumu akiwapo?
Yako wapi Scandinavia, Dar Lux au fresh ya shamba?
Kuwaongezea tozo watu hawa unaona ni sawa ila wahimize serikali kujenga barabara? Kwani kunguni serikali hao hawana macho hadi kusubiria kuhimizwa tu huku wakiongeza Kodi na tozo kila uchao?
Kusubiri kila siku kuwaamsha usiojua wataamka lini ni kujipotezea muda, ngoja kwanza waamke wenyewe ndio wengine wajiunge nao.Ni aibu kama CDM wataamka mwisho baada ya watu wote kuamka.
Walisema usimwamshe aliyelala!
Bila shaka nyie chadema ndo tatizo mnapenda vurugu vurugu Sana...mna usela usela mwingi Sana....,Sasa mnapinga tozo wakati mnachukua Ruzuku, hzo hela za ruzuku mnadhani zinatoka wapi si kwenye tozo hzohzo. Mnafkir Kama watoto🚮
Ukitaka kuishi Nchi hii kwa amani bila haya Makodikodi,wwe usimiliki chochote kile lakini ukimiliki hata baiskeli hao watoza ushuru wako mlangoni kwako wanataka Kodi ya baiskeli yako!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Kusubiri kila siku kuwaamsha usiojua wataamka lini ni kujipotezea muda, ngoja kwanza waamke wenyewe ndio wengine wajiunge nao.
Mkuu kwani wale wa pale ufipa st. ni wa mikoani pia? Kwani na chachandu ya mgomo Katiba mpya isingekuwa imepatikana Hadi leo?Wanaume wa mikowani siku hizi mnatuangusha sana,mkishindwa kufanya mgomo Kama ule wa Kariakoo basi inabidi wote muhamie Burundi!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Bila hzo tozo nyie chadema mngekuwa mnajeuri ya kuzunguka na chopa? Juz tu hapa kabla hamjaanza kupata ruzuku mlikuwa mnazunguka na NOA, baada ya ruzuku sahz nimwendo wa chopa... matapeli wa kisiasa nyieKwa akili yako fupi unadhani tozo hizi wewe hazikuhusu. BIla shaka hata jamaa wa kariakoo waliposimama imara hadi Makalla kunzishwa mbele kwa mbele Bado huelewi unadhani haikukuhusu.
Kingine ni kuwa ni kawaida kwa walamba asali, wahuni na wale vijana wa hovyo kuita jitihada zozote za kudai haki kuwa ni vurugu. Kwaninkatika utatu huo mtakatifu wewe ni yupi?
Unajua tofauti ya tozo na kodi japo zile za hovyo? Au unajua tofauti ya kodi au tozo na japo angalau matumizi yake?
Au wewe unadhani hizi ni ni pesa za Biko ndugu?
View attachment 2629445
View attachment 2629447
Au hadi mcharazwe vibao ndipo muamke?
View attachment 2629450
Bila hzo tozo nyie chadema mngekuwa mnajeuri ya kuzunguka na chopa? Juz tu hapa kabla hamjaanza kupata ruzuku mlikuwa mnazunguka na NOA, baada ya ruzuku sahz nimwendo wa chopa... matapeli wa kisiasa nyie