Kasisi basha aishtaki kanisa kumbagua

Kasisi basha aishtaki kanisa kumbagua

Status
Not open for further replies.

Pol Pot

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2012
Posts
983
Reaction score
487
http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/375...taki_kanisa_kumbagua_624x351_bbc_nocredit.jpg

Kasisi mmoja ambaye alinyimwa leseni ya kufanya kazi kama mhudumu katika zahanati ya afya kwa misingi ya kuwa katika ndoa ya jinsia moja ameishtaki kanisa kwa kumbagua.
Kasisi Jeremy Pemberton alikuwa amewasilisha pendekezo la kutaka kuhudumu kama Kasisi katika kanisa lililoko ndani ya hospitali.
Aidha kasisi Pemberton anadai kuwa maombi yake yalipingwa kwa kinywa kipana na kaimu askofu wa Southwell na Nottingham nchini Uingereza.
Rt Revd Richard Inwood alimkashifu kasisi Pemberton kuwa katika ndoa na mwanaume mwenza ambaye ni kinyume na mafundisho ya kanisa la Church of England.
Tume inayosimamia utoaji kazi nchini Uingereza inatazamia kuanza kuisikiza kesi hiyo leo.
Wadau wa maswala ya ajira wanasema kesi hiyo inatumiwa kama funzo na mtihani kwa tume hiyo ya ajira ya uingereza iwapo itazingatia haki za wafanyikazi ama zile za mwajiri.
Kasisi Pemberton alikuwa mhudumu wa kwanza kanisani kuoa nchini Uingereza.
Pemberton alifunga pingu za maisha mnamo mwezi wa Aprili mwaka wa 2014.
Askofu Inwood, alimnyima kazi kasisi Pemberton, na kisha akaiandikia barua bodi inayosimamia hospitali hiyo ya Sherwood Forest akiwashauri wasimpe kazi kasisi Pemberton.

Sources BBC swahili.
Kasisi basha aishtaki kanisa kumbagua - BBC Swahili
 
Dunia inamalizwa na hawa Watu.
Mungu atusaidie.
 
Dunia inaangamia tena kwa kasi ya ajabu....sodoma na gomora ya pili haiko mbali maandalizi yameshakamilika
 
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa! Binadamu amezidiwa na anasa mpaka anamkufuru muumba wake!
 
Mkuu hivi kweli unadhani hawa makasisi wanaofanya vitendo hivi vya kisodomi Wamekosa Maarifa?

Mi nadhani maarifa wanayo lkn uzalendo umewashinda wakaamua kula tunda bovu.
 
http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/375...taki_kanisa_kumbagua_624x351_bbc_nocredit.jpg

Kasisi mmoja ambaye alinyimwa leseni ya kufanya kazi kama mhudumu katika zahanati ya afya kwa misingi ya kuwa katika ndoa ya jinsia moja ameishtaki kanisa kwa kumbagua.
Kasisi Jeremy Pemberton alikuwa amewasilisha pendekezo la kutaka kuhudumu kama Kasisi katika kanisa lililoko ndani ya hospitali.
Aidha kasisi Pemberton anadai kuwa maombi yake yalipingwa kwa kinywa kipana na kaimu askofu wa Southwell na Nottingham nchini Uingereza.
Rt Revd Richard Inwood alimkashifu kasisi Pemberton kuwa katika ndoa na mwanaume mwenza ambaye ni kinyume na mafundisho ya kanisa la Church of England.
Tume inayosimamia utoaji kazi nchini Uingereza inatazamia kuanza kuisikiza kesi hiyo leo.
Wadau wa maswala ya ajira wanasema kesi hiyo inatumiwa kama funzo na mtihani kwa tume hiyo ya ajira ya uingereza iwapo itazingatia haki za wafanyikazi ama zile za mwajiri.
Kasisi Pemberton alikuwa mhudumu wa kwanza kanisani kuoa nchini Uingereza.
Pemberton alifunga pingu za maisha mnamo mwezi wa Aprili mwaka wa 2014.
Askofu Inwood, alimnyima kazi kasisi Pemberton, na kisha akaiandikia barua bodi inayosimamia hospitali hiyo ya Sherwood Forest akiwashauri wasimpe kazi kasisi Pemberton.

Sources BBC swahili.
Kasisi basha aishtaki kanisa kumbagua - BBC Swahili

Ishmael njoo umsaidie basha mwenzio huku
 
@Ishmael njoo umsaidie basha mwenzio huku

Teh teh teh.
Hatari sana hawa makasisi.
Sijui vipi binaadamu mwanamme amtamani mwanamme mwenzake!
Haya mbwa mchezo huu hawafanyi.
Dah!...
 
Katika mambo hayo wako wengi tu na ni mjinga tu asiyejua mambo ndo atasingizia kanisa tu hata misikitini wamejaa tele wao huita SUNNA,kwa ujumla hali hii haiepukiki kirahisi kila mahali hakuna palipo salama hata huko wanaposema ni nchi takatifu watu wanafanya hapa si suala la kulaumu kanisa wala misikiti wewe simama kwa miguu yako kemea hali hii maana inaharibu utu wa mtu.
 
[video]https://www.youtube.com/results?search_query=Imam+sodo mized[/video]

Duu kumbe imeruhusiwa kabisa halafu ukishafanya unaomba toba
 
Katika mambo hayo wako wengi tu na ni mjinga tu asiyejua mambo ndo atasingizia kanisa tu hata misikitini wamejaa tele wao huita SUNNA,kwa ujumla hali hii haiepukiki kirahisi kila mahali hakuna palipo salama hata huko wanaposema ni nchi takatifu watu wanafanya hapa si suala la kulaumu kanisa wala misikiti wewe simama kwa miguu yako kemea hali hii maana inaharibu utu wa mtu <b><a href="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=111922" target="_blank">Pol Pot</a></b> <b><a href="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=98741" target="_blank">mshana jr</a></b>
[video]https://www.youtube.com/results?search_query=Imam+sodo mized[/video]

Kesi za makasisi wanapenda wanamme wenzao zimepita kiasi.

Wacha kutetea Uchafu.
Utapigwa na laana.
 
Katika mambo hayo wako wengi tu na ni mjinga tu asiyejua mambo ndo atasingizia kanisa tu hata misikitini wamejaa tele wao huita SUNNA,kwa ujumla hali hii haiepukiki kirahisi kila mahali hakuna palipo salama hata huko wanaposema ni nchi takatifu watu wanafanya hapa si suala la kulaumu kanisa wala misikiti wewe simama kwa miguu yako kemea hali hii maana inaharibu utu wa mtu.

Unalazimisha kubalance habari naona, japo ni tabia ya mtu binafsi lakini kanisa limekuwa linahusika moja kwa moja na upuuzi huu,
 
Usiwe mjinga hii kila sehemu wanatifuana angalia hiyo video usiwe kama zumbukuku hakuna sehemu salama ni mjinga tu ataamini kuwa misikitini ndiko salama lakini ujue huko ndo wanaliwa sana Pol Pot
Kesi za makasisi wanapenda wanamme wenzao zimepita kiasi.

Wacha kutetea Uchafu.
Utapigwa na laana.
 
Last edited by a moderator:
Hata mimi naamini hivyo hiyo ni tabia ya mtu mmoja mmoja hata kanisa haliruhusu mambo hayo.

Wacha kuropoka bila elimu we mtoto.

Tazama hapa. Hili ni kanisa au mtu mmoja?

http://www.bbc.com/swahili/habari/2015/03/150318_presbyterian_jinsia_moja
Kanisa laidhinisha ndoa za jinsia moja
18 Machi 2015

http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/375...0128234907_gay_couple_640x360_pa_nocredit.jpg

Kanisa la Presbyterian nchini Marekani ambalo lina takriban wanachama millioni 2 ,limebadilisha sheria yake ya ndoa na kuwajumuisha watu wa jinsia moja.
Kanisa hilo ambalo linashirikisha idadi kubwa ya wanachama wake duniani lilitoa tangazo hilo baada ya idadi kubwa ya magavana wa majimbo yake 171 kuidhinisha mabadiliko hayo.
Sheria yake mpya sasa itasoma kwamba ndoa ni makubaliano ya kipekee kati ya watu wawili ikilinganishwa na makubaliano kati ya mume na mke.
Sheria hiyo ilioidhinishwa na baraza kuu la kanisa hilo mwaka uliopita ilikubaliwa na zaidi ya nusu ya majimbo ya kanisa hilo.

http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/375...mages/2015/01/21/150121202704_gaypromo640.jpg
 
Acha kufunika kombe mwanaharamu apite hii iko hata misikitini kotekote wala usijiengue wajinga tu ndo wakuamini kwanza wewe @nchelegwanjingi jina lako kwa lugha ya kwetu lina maana mbaya sana na linahusu mambo haya haya inaonekana wewe unapenda kurusha mipira.
Unalazimisha kubalance habari naona, japo ni tabia ya mtu binafsi lakini kanisa limekuwa linahusika moja kwa moja na upuuzi huu,
 
Unajitahidi sana kuleta link lakini ujue hata huko misikitini watu wanaliwa sana.https://www.youtube.com/watch?v=qJAnQLGVMu0
Wacha kuropoka bila elimu we mtoto.

Tazama hapa. Hili ni kanisa au mtu mmoja?

Kanisa laidhinisha ndoa za jinsia moja - BBC Swahili

Back
Top Bottom