mbona sasa waniimbia mie wallahi?! hivi ulipatia wapi hio coincidence?
Kweli naona ulipenda gari maana jana nilibadili gari nikawa kwenye IST nikakutupia jicho kama nilivyoahidi hata hukunijali, any way naomba nikija ofisini na Nissan tena usiitamani maana nimegundua uliipenda gari sio mimi.
Bana sikuimbii wewe nilikuwa namemorise the crash
On the way home jana kuanzia barabara inayoelekea maktaba kutokea posta town hadi mbuyuni.... natamani na leo itokee tena
lol! kwa hiyo angekupa namba si mngegegedana leo na mvua hii?
ulilala salama lakini kasinde?
asante yaani natamani niruke nimfikie alikopeperukia....
wakaka wa mujini wanakamataga wadada wengi kwa staili hiyo hiyo. halafu wakiwa kwenye gari ndio wanazidi kuonekana mahb, angekuwa anatembea kwa miguu pengine hata moyo usingestuka.
Hahahaaaa jamani nijibu basi maana swali ndo nshaliuliza hivoo
Hahahaaa mwandiko tena umekufanya unicrash jamani nissan guy atasikia wivu looh au ndo wewe unajikausha tuu hapa....??
Hahaha jibu ni kwamba ndio nishawahi kupata crash and this time imeangukia kwako...
Kutokana na madoido yako kuna haiba naifikiri kuwa unayo na naiona inaishi katika namna uandikavyo...
Waaaa.......hii huwa inatokea sana.......cha kufanya.......kwa sababu unayo namba......nenda TRA.......dakika unampata......
Mind that am talking from experience........
Mmmhhh watu8 otherwise uniambie wewe ndo yule tuliokuwa tukipungiana njiani kwenda home kwenye foleni. Sasa umenicrash mie tena mmmhhh we si tayari unae wako humu? Haiba gani hii niliyonayo hata mie siifahamu?
Huo ni uchokozi tuu nshaanza kuuona...
Asante umenipa idea nzuri, ila naogopa nikishamjua kisha nikakuta he is occupied.... natamani itokee tuje kukutana tena without expectingambako tutapata muda wa kuongea labda harusini, msibani....
Hahahah!!
Miye watu8 hata nisingeishia kukupungia mkono tu bali ningekuja kujumuika nawe kwa ndinga yako...
Wa humu ni wa humu na wewe ni wa kwenye foleni huko nje ya jeiefu hivyo hakuna lililoharibika atii...
Hata sio uchokozi bali nikuambiayo ni kweli na ndio maana nimethubutu kukueleza