Kasie's new habits ni shida

Kasie's new habits ni shida

Hiyo tinted iwe ya ukweli Kasinde.
Mpaka side mirror iwe pia tinted!
 
Last edited by a moderator:
Habari za kutwa pipoz,

Poleni na majukumu ya kutwa mzima, najua watu wako busy huku na kule kati ya team Lowasa na team CCM bin Magufuli, hii unaitwa endless movie hadi October 25, 2015 na pale majibu yatakapotoka au kutangazwa nani anaingia Ikulu.

Tuyaache hayo maana sio yaliyonileta.Rejea rekebisho la Mentor kuwa nitumie lugha ya kiswahili inapobidi hasa kwa jamii kubwa kama hii haya wacha nijitahidi kutiririka.

Hivo karibuni haijatimia hata mwezi nimejistukia nimeanzisha katabia la kuendesha nikiwa nimevaa blouse kama kawaida ila chini nakuwa na kyupi tuu.

Hii ilianza kuna siku nilichelewa kuamka sasa ile nataka ya kuvaa asubuhi sketi ikakatika zipu maana sketi yenyewe ni tite kwelikweli halafu kimini.

Nikaona nikianza kutafuta nguo nyingine niinyooshe ntachelewa zaidi, nikaona bora nijifunge mtandio mzito nikabeba sketi yangu nikairekebishie mbele kwa mbele.

Nilipofika kwenye Gari mtandio ukawa loose mapaja yakawa wazi, njia nzima hadi nafika ofisini mtandio pembeni niko na kakyupi tuu yaani mtandio nakuwa kama nimeukalia tuu.

Kufika ofisini nikajifunga mtandio na kumpa cleaner akanishonee baadae nikavaa sketi yangu. Tangu siku hiyo asubuhi nakuja na mtandio sketi naenda valia ofisini tena nikinyoosha usiku naiweka kwenye Gari kabisa ili asubuhi navaa blouse na mtandio wangu.

Nikifika kwenye Gari mtandio loose mapaja wazi mziki mkubwa nasikia raha.Ila kinachonisaidia ni tinted maana kwenye foleni watu wangenipiga picha, tinted iko hadi kioo cha mbele kwa hiyo wa nje haoni ndani.

Ila siku nikikamatwa na Traffic gafla nitakomaje. Natamani na jioni niwe loose na mtandio ila nashindwa kuondoka nimeuvaa watu wanaweza waza yao bure ila raha sana kuendesha tukiwa umevaa kyupi na blouse. Sharti full tinted tena tinted haswaa.

Usiku mwema

Kasie

kasinde face to face sikujui ila kiasi nakujua kupitia maandishi yako jf.

Ivi kweli na akiri zako timamu unaweza andika kitu kama hiki? Ofice ya namna gani iyo unafanyia kazi? Only words can describe what kind of a person.

Anyway naendelea kuamini kuwa mtu kaiba id yako. Coz hata insane person asinge andika kitu kama hii. Naomba unisamehe kwa kusema ukweli.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom