Kasie..,
Kila mwanaume anapenda mwanamke wa "flavor " yake..
Mimi nitakwambia ya kwangu ..
Mimi ninapenda mwanamke wa makamo au mtu mzima, 35-60 yrs .
Wanawake wa aina hiyo niliyotaja wanajitambua.., ni wakweli zaidi kihisia .., na wana enjoy sex zaidi kuliko vitoto.. Mwanamke mtu mzima hata akikukataa, hafanyi hivyo kishamba, hakukatai na kukuchukia, bado mkishindwana mnaweza kufanya mambo mengine nje ya mapenzi bila kinyongo wala msuto..
Wanawake watu wazima, hawana tabia ya kuachia wanaume wapenzi wao majukumu yote wanapokuwa pamoja..
Ukiwa nae chumbani, anashiriki kikamilifu, ukiwa nae ktk mtoko, anaweza kulipa au kuchangia bills..
Wanawake watu wazima pia wana mvuto wake.., they also enjoy life to the fullest..
So, most of the time I am happy to be around a matured woman.. ! [emoji23]
Nafurahi kukufahamu Kassie.. [emoji39] [emoji8]