Kasie Doesn't Mind...

Kasie Doesn't Mind...

Holaaa...!!!

Its Fridayyyy... kwa wale ambao mifupa yao bado haijapinda na hawapati ukakasi kuinama na kuinuka basi mida ndo hiyooo inajongea ya kujivua gamba na kuzaliwa upya... hii inaitwa asiye na mwana aeleke jiwe..

Leo nina ashiki za kucheza mziki hadi majogoo na miondoko itakuwa ya Sean Paul, it'll be swinging up and down vs sideways and pour the esophagus with water....

If you feel like the way Kasie feel right now, just join me at the club...... am happy...😉









without forgetting my boo Shaggy...🙂



Happy Friday Happy people....

Kasie.😉 (..wasn't me...)


Vunja mifupa wakati meno bado yana nguvu.


Banjuka tu!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hata sijielewi maana wizara imeniandikia barua ya promotion and transfer to Mtambaswala pori la Akiba nikawe mkuu wa pori Wakati mimi ni mtu wa sales and purchases

Aaaaahahahahahahahahaa loooh mbavu zangu jamani eehehehehehehheeeee...
 
No no... Nataka unidediketie wimbo mmoja mzuri wa taratibu, ili niusikilize weekend yote

Hello STUNTER sorry nimechelewa kukudediketia wimbo kamba ulivyoomba kutokana na majukumu niliyokuwa nayo. Ila wahenga wanasema kawia ufike.....

Basi leo twende club tukacheze hili songi la Sean..... Oooh Oooh...



 
Hello STUNTER sorry nimechelewa kukudediketia wimbo kamba ulivyoomba kutokana na majukumu niliyokuwa nayo. Ila wahenga wanasema kawia ufike.....

Basi leo twende club tukacheze hili songi la Sean..... Oooh Oooh...




Ohooooo mambo ya kuruka majoka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom