Kasi yao si kubwa sana

Kasi yao si kubwa sana

high vampire

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2012
Posts
2,945
Reaction score
2,183
nimejaribu kupakua movie kasi yao si kubwa sana hawa voda kwa kifurushi cha elfu moja saizi ndio zimefika tano toka asubuhi
 
Airtel ndo kimeo kuliko mitandao yote kwenye internet.

Naomba nikukosoe mkuu, airtel ina kasi sana, me nimeunga kifurushi chao cha unlimited cha siku cha 900. Nimeunga saa nne asubuhi, mpaka sasa nimeshashusha vitu vya gb 8, na speed haishuki, inazidi kupanda. Angalia screenshot hiyo
 

Attachments

  • Airtel noma.png
    Airtel noma.png
    75.6 KB · Views: 121
Naomba nikukosoe mkuu, airtel ina kasi sana, me nimeunga kifurushi chao cha unlimited cha siku cha 900. Nimeunga saa nne asubuhi, mpaka sasa nimeshashusha vitu vya gb 8, na speed haishuki, inazidi kupanda. Angalia screenshot hiyo

Daaaahhhh. Mkuu hii nimeipenda. 8GB kwa siku? Nitaijaribu kesho hyo
 
Voda wamepunguza bei na kasi inategemea mahali ulipo
 
Naomba nikukosoe mkuu, airtel ina kasi sana, me nimeunga kifurushi chao cha unlimited cha siku cha 900. Nimeunga saa nne asubuhi, mpaka sasa nimeshashusha vitu vya gb 8, na speed haishuki, inazidi kupanda. Angalia screenshot hiyo

nakipataje hiki kifurushi mkuu!!
 
Unlimited 6000 per week alafu ukiwa dar mjini hua ipo kasi sana mpaka 2mps kwa zile gb za mwanzo.
 
Naomba nikukosoe mkuu, airtel ina kasi sana, me nimeunga kifurushi chao cha unlimited cha siku cha 900. Nimeunga saa nne asubuhi, mpaka sasa nimeshashusha vitu vya gb 8, na speed haishuki, inazidi kupanda. Angalia screenshot hiyo

Upo mkoa gani maana niko na Airtel hapa naona magumashi sana ikipanda sana ni 200KBps
 
duuh!! upi afadhali sasa mana mi natumia tigo japo na wenyewe s'time unazingua!!

kaka labda ni maeneo na maeneo. kwa hapa nilipo nawashangaa mnaoisifia voda eti ina kasi na huduma bora za mtandao wakati mimi hapa nkisema ninunue kifurushi cha voda ni sawa na nimechukua hela yangu na kutupia chooni. airtel ina kasi sana kuliko mitandao mingine, tatizo lao ni kwenye vifurushi yaani wanabana sana.
 
mkuu naomba unieleweshe hapo, hizi ni ofa ya kwenye simu tu (smart/feature phone) au waweza kujiunga na kucomoa line na kuweka kwenye modem?

Hii offer naona ni ya smartphone na tablet..ila unaweza kushare connection na pc kwa kutumia wireless. Sijajaribu kuweka kwenye modem
 
Back
Top Bottom