Kasi yako Mwita Waitara nimeipenda!!

Kasi yako Mwita Waitara nimeipenda!!

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,936
Reaction score
51,055
Sidhani kama iko siku utakuja kuwa "Henchman" wa Bwana mkubwa. Lakini kasi yako ya kuonesha kwamba umerudi "kisawasawa" CCM nimeipenda na uliowaacha na kuwakuta tena CCM nadhani wanaona "Mwanampotevu" unavyoleta makeke ya kuonesha uko bega kwa bega na Jemedari Mkuu.

Jinsi ulivyotoa "makombora" dhidi ya John Mnyika pale kwenye kuweka jiwe kwenye ule mradi wa njia nane, bila shaka umeshakuwa mlokole kweli kweli. Sasa hili la leo na bango lako ndiyo umetia fora sana. Hivi wabunge wenzako wamedharau ama hawaoni kama ni jambo kubwa sana la kupongezwa?

Na ulivyo mweledi umeliweka bango wewe mwenyewe ukiwa umevalia Suti imekukaa hovyo hovyo ili msifanane!! Safi sana Waitara.

1545571717416.png
 
View attachment 975446
Ingekuwa kipindi cha mwalimu Nyerere huyu bwana hafai kuaminiwa, ila kwa sababu tupo na utawala usiojali maadili ndo maana kapewa hiyo nafasi. Ikiwa amewasaliti ccm akaenda upinzani na baadaye kasaliti upinzani karudi ccm atashindwa nini kuisaliti nchi ili tu apate mkate wake?
 
Eti Tanzania Mpya! Baba anavaa suti, watoto hawapati hata mlo mmoja kwa Suki. Hii ni serikali ya wendawazimu.
 
Ingekuwa kipindi cha mwalimu Nyerere huyu bwana hafai kuaminiwa, ila kwa sababu tupo na utawala usiojali maadili ndo maana kapewa hiyo nafasi. Ikiwa amewasaliti ccm akaenda upinzani na baadaye kasaliti upinzani karudi ccm atashindwa nini kuisaliti nchi ili tu apate mkate wake?
Huwezi jua! Labda alienda upinzani kwa kazi maalum na ameitumikia vyema na sasa amerudi home baada ya kumaliza kazi yake kwa weledi wa hali ya JUU!!
 
Kavaa hiyo suti shaghalabhaghala kama zuga asionekane anajifananisha na rais[emoji3]
Haswaaa rejea suti za mwanzo za mzee baba, sasa akuteuwe alafu we uanza na masuti makali makali. Utakutana na bwana Pepsi mara 1.
 
Lakini mwenzako waziri akula kiyoyozi kama kawaida

Wacha ushamba wewe kwani sisi tusio mawaziri hatuna viyoyozi majumbani kwetu tena kwa kutumia akili zetu na siyo kubebwa, kama wewe huna wewe tu na balaa lako na joto hili la Dar mpaka utababuka ngozi.
 
Back
Top Bottom