Kasi yako Mwita Waitara nimeipenda!!

Kasi yako Mwita Waitara nimeipenda!!

Sidhani kama iko siku utakuja kuwa "Henchman" wa Bwana mkubwa. Lakini kasi yako ya kuonesha kwamba umerudi "kisawasawa" CCM nimeipenda na uliowaacha na kuwakuta tena CCM nadhani wanaona "Mwanampotevu" unavyoleta makeke ya kuonesha uko bega kwa bega na Jemedari Mkuu.

Jinsi ulivyotoa "makombora" dhidi ya John Mnyika pale kwenye kuweka jiwe kwenye ule mradi wa njia nane, bila shaka umeshakuwa mlokole kweli kweli. Sasa hili la leo na bango lako ndiyo umetia fora sana. Hivi wabunge wenzako wamedharau ama hawaoni kama ni jambo kubwa sana la kupongezwa?

Na ulivyo mweledi umeliweka bango wewe mwenyewe ukiwa umevalia Suti imekukaa hovyo hovyo ili msifanane!! Safi sana Waitara.

View attachment 975446
Amualike Rais aende Kivule kupitia Barabara ya Banana-F/Kumi ndo utajua kuwa Jimbo lake Bado Lina Hali mbayaaaaa
 
Sidhani kama iko siku utakuja kuwa "Henchman" wa Bwana mkubwa. Lakini kasi yako ya kuonesha kwamba umerudi "kisawasawa" CCM nimeipenda na uliowaacha na kuwakuta tena CCM nadhani wanaona "Mwanampotevu" unavyoleta makeke ya kuonesha uko bega kwa bega na Jemedari Mkuu.

Jinsi ulivyotoa "makombora" dhidi ya John Mnyika pale kwenye kuweka jiwe kwenye ule mradi wa njia nane, bila shaka umeshakuwa mlokole kweli kweli. Sasa hili la leo na bango lako ndiyo umetia fora sana. Hivi wabunge wenzako wamedharau ama hawaoni kama ni jambo kubwa sana la kupongezwa?

Na ulivyo mweledi umeliweka bango wewe mwenyewe ukiwa umevalia Suti imekukaa hovyo hovyo ili msifanane!! Safi sana Waitara.

View attachment 975446
Sija kuelewa hata kwakutumia akili zangu za kuvukia barabara
 
Atueleze tu, hela za kutengeneza bango..katoa fungu lipi..😎
 
Sidhani kama iko siku utakuja kuwa "Henchman" wa Bwana mkubwa. Lakini kasi yako ya kuonesha kwamba umerudi "kisawasawa" CCM nimeipenda na uliowaacha na kuwakuta tena CCM nadhani wanaona "Mwanampotevu" unavyoleta makeke ya kuonesha uko bega kwa bega na Jemedari Mkuu.

Jinsi ulivyotoa "makombora" dhidi ya John Mnyika pale kwenye kuweka jiwe kwenye ule mradi wa njia nane, bila shaka umeshakuwa mlokole kweli kweli. Sasa hili la leo na bango lako ndiyo umetia fora sana. Hivi wabunge wenzako wamedharau ama hawaoni kama ni jambo kubwa sana la kupongezwa?

Na ulivyo mweledi umeliweka bango wewe mwenyewe ukiwa umevalia Suti imekukaa hovyo hovyo ili msifanane!! Safi sana Waitara.

View attachment 975446
mkewe anaitwa lucy, alimpata kwakuwa anajua hesabu sio swaga.
 
J

Kwa hiyo umependa alivyoweka bango kwa kuwa uko karibu nae mwambie barabara bado mbovu huku majohe maji najua hawezi kuleta atayapata wapi ?Aanze kutekeleza ahadi sisi wengine hatuna vyama ila tunajua vidaraja vingi vilijengwa na wao wakati yuko Chadema. Mvua zinakuja yetu macho.
 
Ingekuwa kipindi cha mwalimu Nyerere huyu bwana hafai kuaminiwa, ila kwa sababu tupo na utawala usiojali maadili ndo maana kapewa hiyo nafasi. Ikiwa amewasaliti ccm akaenda upinzani na baadaye kasaliti upinzani karudi ccm atashindwa nini kuisaliti nchi ili tu apate mkate wake?
Hivi kuna aliesoma hii
 
Jamani ninachekaga kwa hasira nikimuona huyu mtu..ukute na mtoto wa kike kamfanan balaa😂😂😂hv huko uson amevimba au makonyagi?😂😂😂😂 koti sasa hahahaha 😂😂😂😂
 
Sidhani kama iko siku utakuja kuwa "Henchman" wa Bwana mkubwa. Lakini kasi yako ya kuonesha kwamba umerudi "kisawasawa" CCM nimeipenda na uliowaacha na kuwakuta tena CCM nadhani wanaona "Mwanampotevu" unavyoleta makeke ya kuonesha uko bega kwa bega na Jemedari Mkuu.

Jinsi ulivyotoa "makombora" dhidi ya John Mnyika pale kwenye kuweka jiwe kwenye ule mradi wa njia nane, bila shaka umeshakuwa mlokole kweli kweli. Sasa hili la leo na bango lako ndiyo umetia fora sana. Hivi wabunge wenzako wamedharau ama hawaoni kama ni jambo kubwa sana la kupongezwa?

Na ulivyo mweledi umeliweka bango wewe mwenyewe ukiwa umevalia Suti imekukaa hovyo hovyo ili msifanane!! Safi sana Waitara.

View attachment 975446
Watu wamegundua njia ya kufika ni unafiki kwenda mbele.
 
Akiwa anafanya mbwembwe hizo akumbuke tu barabara za jimbo lake ,kivule mvua kidogo tu hii ya juzi hakufai
 
Mwita Waitara kachagua fungu lililo bora, kachagua chama kubwa la ushindi. Kachoka kufanya siasa za fitina na ulaghai wa kaka macho manne.
 
Malaya wa kisiasa
Yap, naona mwenzake Mpendazoe hakubahatika pamoja na kuwa kabila moja na Mkubwa. Hivi kwanini huwa hawarudi kimya kimya ? Sasa huyu Waitara ana mtihani wa kufanya zaidi ya alikotoka, angalau Chuo Rada kunapitika kale kadaraja walikojenga walipokuwa Chadema.
 
Back
Top Bottom