Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,924
- 50,999
- Thread starter
- #41
Lini CCM iliwahi kushinda zaidi ya kupewa ushindi na kina Jecha?... kachagua chama kubwa la ushindi.
Lini CCM iliwahi kushinda zaidi ya kupewa ushindi na kina Jecha?... kachagua chama kubwa la ushindi.
Acha upimbi! Kwani kuhama chama ni kusaliti au ni demokrasia?Ingekuwa kipindi cha mwalimu Nyerere huyu bwana hafai kuaminiwa, ila kwa sababu tupo na utawala usiojali maadili ndo maana kapewa hiyo nafasi. Ikiwa amewasaliti ccm akaenda upinzani na baadaye kasaliti upinzani karudi ccm atashindwa nini kuisaliti nchi ili tu apate mkate wake?
ukonga nimeshudia kwa macho yangu kwenye uchaguzi shahada zikinunuliw kw 10 000. ili mwita ashinde wa marudio. chama la ushindi linanunua shahada? kuna maana nyingine ya chama la ushindi?Lini CCM iliwahi kushinda zaidi ya kupewa ushindi na kina Jecha?
Kuhama chama bila ya sababu za msingi ni usaliti. Na ndiyo maana hutumika nguvu nyingi kila mara kulazimisha wahamaji kushindi chaguzi!Acha upimbi! Kwani kuhama chama ni kusaliti au ni demokrasia?
Jibu hoja, acha kujivua nguo hadharani mkuu. Hata demokrasia ina maadili yake. Acha kurukaruka.Acha upimbi! Kwani kuhama chama ni kusaliti au ni demokrasia?
Ikiwa ndivyo, hatuwezi kusema chochote. Ni yeye na matarajio yakeHuwezi jua! Labda alienda upinzani kwa kazi maalum na ameitumikia vyema na sasa amerudi home baada ya kumaliza kazi yake kwa weledi wa hali ya JUU!!
Na hilo koti la suti alinunua pale KarumeSidhani kama iko siku utakuja kuwa "Henchman" wa Bwana mkubwa. Lakini kasi yako ya kuonesha kwamba umerudi "kisawasawa" CCM nimeipenda na uliowaacha na kuwakuta tena CCM nadhani wanaona "Mwanampotevu" unavyoleta makeke ya kuonesha uko bega kwa bega na Jemedari Mkuu.
Jinsi ulivyotoa "makombora" dhidi ya John Mnyika pale kwenye kuweka jiwe kwenye ule mradi wa njia nane, bila shaka umeshakuwa mlokole kweli kweli. Sasa hili la leo na bango lako ndiyo umetia fora sana. Hivi wabunge wenzako wamedharau ama hawaoni kama ni jambo kubwa sana la kupongezwa?
Na ulivyo mweledi umeliweka bango wewe mwenyewe ukiwa umevalia Suti imekukaa hovyo hovyo ili msifanane!! Safi sana Waitara.
View attachment 975446
Siyo vizur kugusia maisha binafsi ya mhusika...mkewe anaitwa lucy, alimpata kwakuwa anajua hesabu sio swaga.
Mswalie Mtume!!Ofisi ya mbunge inakosa kuwa na graphic designer? Tangazo la hovyo kabisa