Hiyo mipasho sasaNa ndiye rais ajaye mtake msitake
Tunatoa mitazamo kwa nia ya kujenga.
Aina ya uongozi wa Majaliwa ni funika kombe mwanaharamu apite. Anagomba gomba hapo halafu yamekwisha. He is playing to the cameras.
Majaliwa ana msururu wa maagizo ya kuunda tume za uchunguzi.
Nini hatma ya hela zilizopotea zilizoundiwa tume alizowahi kuagiza?
Nini hatma ya watumishi waliondiwa tume alizowahi kuagiza?
Nini hatma ya policy recommendations zinazotokana na tume hizi? Hili la kuwaambia waachane na kandarasi, kwa nini asiliseme kwenye cabinet na bungeni liwe national policy ?
Kwa hiyo Majaliwa anawaambia wakurugenzi wa mashirika na Halmashauri na wizara waachane na taratibu za kisheria za manunuzi na zabuni, kwa azimio lipi na serikali, toka lini ????