Kasi ya Prof. Muhongo kuondoa umasikini Musoma Vijijini inatisha

Nakuunga mkono waliowengi wanaona eti hapo MBUNGE ni mchapa kazi, kazi iko kwenye miswada na budget ya serikali itakayoletwa bungeni, kazi ni kuibana serikali kutekeleza iliyoyaahidi na kuwabana watumishi wabovu.watu badala ya kuangalia hi yo badala yake wanamshangilia MBUNGE kama kasuku kwa kupereka eti vitabu shuleni.

Ndiyo maana mtoa mada kasema Muhongo ameanza vizuri, Vikao vyenyewe vya Bunge havijaanza ulitaka uone mchango Wa mbunge kwenye mswada IPI?. Sio kila msaada anaotoa mtu pesa ni ya mfukoni kwake, kuhamasisha wenye uwezo kuchangia kusaidia Huduma za kijamii pia ni moja ya wajibu Wa Kiongozi sawa na wanaohamasha maandamano kudai haki.
 
Nakuunga mkono waliowengi wanaona eti hapo MBUNGE ni mchapa kazi, kazi iko kwenye miswada na budget ya serikali itakayoletwa bungeni, kazi ni kuibana serikali kutekeleza iliyoyaahidi na kuwabana watumishi wabovu.watu badala ya kuangalia hi yo badala yake wanamshangilia MBUNGE kama kasuku kwa kupereka eti vitabu shuleni.
Huyu aliyeleta hii habari sijui anaisemea Musoma vijijini ipi.Kama ni ile ninayoijua mimi maendeleo yanayotajwa si lolote.Musoma vijiji ni eneo la pembezoni ambalo tangu Mungu alivyoumba dunia hii wananchi wake na mifugo yao wananyang'anyana Maji,hakuna huduma za afya zaidi kituo cha afya Murangi kilicho umbali mrefu kwa baadhi ya Kata,barabara ni mbovu na vile vile ni eneo ambalo sehemu kubwa ya ardhi yake imechoka na haifai kwa kilimo cha kienyeji.
 
Ili andiko ata kuwa ameliweka mwenyewe muhongo anapenda kusifiwa kweli atakuwa anatangaza kila siku bunge jimbo langu litatowa raisi 250 maana litakuwa linaongoza kwa ma prof wenge Tanzania
 
Hizo sio kazi za mbunge, na.hapo ndipo watz tunapokosea. Kwa kutathimini utendaji wa mbunge kwa mambo Hayo Mtaandelea kutawaliwa na matajiri na wala rushwa

Umenena vema, kazi yake ni kwenda kuisimamia serikali bungeni ili ilete hivyo vitu na siyo yeye kwa pesa yake eti afanye...matokeo yake hivi vitu vinakuwa siyo endelevu na ktk baadhiya majimbo kama bukoba mjini mbunge akishindwa uchaguzi ujao anawanyang'anya vitu vyake.
 
Keep moving mzee tunataka tz mpya na ynye maendeleo coz co chma ktakacholeta maendeleo bali ni kiongoz thabit mwnye nia na mzalendo wa nchi yke
 
Nawashangaa sana watanzania kwa kusahau mapema--watu wote waliondolewa kwenye uwaziri kwa tuhuma na kashfa za kifisadi kipindi cha JK wasahau uwaziri. Alafu huyu jamaa kawapa bei gani mbona mnampa promo for nothing? Mnasahau huyu ndio alisema pesa za escrows sio za umma? Hatumtaki kama mmekula pesa ili kumpigia kampeni awe waziri rudisheni tu hiyo pesa. Mbona kuna watanzania wengi tu wanaofaa--kwanini Muhongo? Ukiona Mtu kang'ang'ania gari bovu ujue kuna mzigo wake
 
Kasi ya mbunge mpya wa musoma vijijin Prof. Muhongo kuondoa umasikini Musoma Vijijin inatisha.Kasi hii ambayo Prof Muhongo ameanza nayo inaweza kufananishwa na mwendo kasi wa sauti.

Katika kudhibiti hilo tayari Prof Muhongo ameshanunua gari la wagonjwa toka Japan,tayari ameleta vitabu kwa ajili ya shule za sekondari mbalimbali kwa ajili ya wanafunzi wa sekondari ktk kata za Musoma Vijijin.

Pia Prof Muhongo ametayarisha andiko linaloitwa Musoma Rural Development Fund,MREF,ambalo litasaidia wanafunzi mbalimbali wa Musoma Vijijini kusomeshwa na pia kusomeshwa walimu wa sayansi,kiingereza ,kifaransa ,hali ambayo itasaidia kiwango cha elimu kuwa juu.

Kwa hiyo unataka kutuaminisha kuwa mbunge mwenye hela ndo anafaa? Hilo ndilo jukumu la mbunge au ni kusimamia serikali kutoa hizo huduma? Je itakuwa endelevu? Hebu soma kazi ya mbunge vema
 
Kuna watu wabishi!!

Mnahoji prof muhongo kapata wapi pesa za kununua vitabu na ka gari ka wagonjwa hahahaha. Shame
 
kuwa mbunge hakuna maana ya kutoa pesa zako za mfukoni na kutoa misaada bali mbunge bora ni yule anayeibana selikari yake pamoja na watendaji wake ili wayasimamie maendeleo ambayo yanatokana na kodi za wananchi,hivyo kutoa pesa zake za mfukon haina tija nataka aibane selikar ipeleke maendeleo tu ndo chamuhimu hicho ayo mengine ni mbwembwe tu!!
 
Hivi kwa nchi kama marekani, uingereza,canada n.k ambako hakuna 'kero' za maji,barabara,elimu na afya, mbunge ana kazi gani? Ina maana hawa watu hawahitaji mbunge? Tunapaswa kujua kwa undani kazi za mbunge, siyo kutoa huduma za jamii (japo hakuna ubaya akifanya hivyo).

Kuna misconception kubwa ya kazi za mbunge kutokana na jinsi tulivyozoea. Lakini kazi ya kutoa huduma za jamii inatakiwa kufanywa na yule anayekusanya kodi. Kama mbunge hakusanyi kodi halazimika kufanya haya yote. Hapa ndiyo naunga mkono hoja kwamba tukiruhusu utaratibu huu, basi kazi za ubunge na udiwani zitakuwa za matajiri pekee ambao ndio wanaweza 'kudhamini miradi ya maendeleo'. Let's think beyond!

Ndg yangu nchi hii inawajinga wengi kuliko wenye uelewa mbaya zaidi wanao sifu hayo mambo utakuta wamepata elimu hata chuo kikuu ni aibu kubwa kwa tifa letu
 
Mbona kawaida sana sis huku Hai tushazoea hivyo vitu ......hiyo ni sehem ndogo sana......
 
kuwa mbunge hakuna maana ya kutoa pesa zako za mfukoni na kutoa misaada bali mbunge bora ni yule anayeibana selikari yake pamoja na watendaji wake ili wayasimamie maendeleo ambayo yanatokana na kodi za wananchi,hivyo kutoa pesa zake za mfukon haina tija nataka aibane selikar ipeleke maendeleo tu ndo chamuhimu hicho ayo mengine ni mbwembwe tu!!

We juha kafulila kapiga kelele sasa hivi kiko wapi?
Watu wanataka maji, huduma za Afya, kipato kiongezeke sio porojo.
Tunataka wabunge wabunifu wanaoweza Shawishi na kuandika Proposal kuboresha maendeleo ya wananchi.
 
Nawashangaa sana watanzania kwa kusahau mapema--watu wote waliondolewa kwenye uwaziri kwa tuhuma na kashfa za kifisadi kipindi cha JK wasahau uwaziri. Alafu huyu jamaa kawapa bei gani mbona mnampa promo for nothing? Mnasahau huyu ndio alisema pesa za escrows sio za umma? Hatumtaki kama mmekula pesa ili kumpigia kampeni awe waziri rudisheni tu hiyo pesa. Mbona kuna watanzania wengi tu wanaofaa--kwanini Muhongo? Ukiona Mtu kang'ang'ania gari bovu ujue kuna mzigo wake

We ulikumbuka Lowasa alitimuliwa kwa tuhuma gani?
Muhongo Ikulu ilimsafisha.
 
Back
Top Bottom