Kashifa..............

Mkuu Dena Amsi binafsi sibabaishwi na kashfa za kupikwa,kuzaniwa,kuhisiwa bali huwa ni vizuri kuwapa nafasi wale watakao kuwa wanakukashifu wajitukuze kwa nafasi na baadaye ukweli unabainika,kama ilivyo Mungu huwa hawafichi wanafiki.

kukaa kimya pi husaidia kupunguza nia ya wanao kukashifu,maana mtu napo anza kukuchokonoa anakua amelenga kitu mahala flani,kwamba ukifanya hivi apate sababu;kwa hiyo endapo utakaa kimya unakua unapunguza upana wa njia ya kufanya mambo aliyoyakusudia

 
Last edited by a moderator:
Oooh sawa madame Mwali nimekusoma.
Mi mzima kabisa sema mambo mengi.
Msalimie Saint Ivuga
Jamani umenikumbusha mbaliiii. lol Saint Ivuga hata sina habari yake toka muda uleeeee.
Unakumbuka kipindi kile JF ilienda down for days? Basi toka hapo nadhani hatujawasiliana tena
But as they say kama hakunna habari maana yake habari ni nzuri tu. Nikimuona nitamsalimia.
 
Last edited by a moderator:

Dah yaan nikikumbuka enzi zile naumia kuwamiss wadau km klorokwini @uporoto1 Lizzy
Yan kweli siku hazijirudii. Lilikuwa company kweli
 
Last edited by a moderator:
inategemea na kashfa, ikiwa wanasihasa hawa, kikwetu hata ikiwa ni kweli mfano mwalimu hamimu dawa ni kukaa kimya! na kashfa zingine inategemea na mazingira yake, vinginevyo ni kuwajibika kadiri ya kasha ilivyo...
 


Salute!!
 
Kukaa kimya ni jibu la mjinga,mara nyingi kujibu kashifa toka kwa mtu mwenye wigo mdogo wa mawazo ni kama kukifix kitu ambacho hakina kasoroni hayo tu!
 
Dena Amsi kukaa kimya ni solution ya mambo kama haya. Haina haja ya kujibizana wala kujibu maana unaweza jibu ukazusha mengine. Bora kukaa kimya wengine wataongea na mwisho watakaa kimya watakapokuona haubabaishwi na yale waliyoyazusha.
Za asubuhi mke wa zamani wa Mr Rocky hujambo Dena Amsi
 
Last edited by a moderator:
Dena Amsi unajua kashfa kama zilivyo zipo za aina nyingi. Zipo ambazo zitakulazimisha kujibu na zipo ambazo zitakulazimisha kukaa kimya.
 
Last edited by a moderator:
Dena Amsi unajua kashfa kama zilivyo zipo za aina nyingi. Zipo ambazo zitakulazimisha kujibu na zipo ambazo zitakulazimisha kukaa kimya.
 
Last edited by a moderator:
... Dena Amsi kwanini haupo JF siku hizi..

Sijui na mwenzio Lizzy yuko wapi..

My beloved afrodenzi nae huja kwa kubip siku.. I miss her flowers
 
Last edited by a moderator:
Arushaone huo ndiyo ukweli wenyewe. Na siku zote ukishutumiwa lazima ujue ni kiasi gani anayekushutumu anaushahidi ili ujue majibu sahihi ya kutoa vinginevyo..??

YEAH!!!! I hope Dena Amsi shall overcome this.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…