Kashifa..............

Kashifa kwangu inaingilia sikio hili na kutokea sikio lingine
na naisahau tena sitaikumbuka tena milele.
 
Silence means "YES"

mtu akijibu shutumakwa kukataa au kukubali (or in any other way) ni rahisi kwa wasikilizaji kutwist maneno na kuunda mengine mapya!
Silence can never be misquoted!!!!
 
Hii topic ni so serious napendekeza ihamishwe MMU.
Reaction to kashfa inaweza kua silence au kujitetea.
Kama unaweza take a platform and say your version
Then piga kimya kama maji mtungini vile
But kwa kashfa za kijinga kabisa dawa ni kupuuza

Kashfa sio only ya mapenzi Mwali
Kuna kashfa za wizi, udowezi,ulevi,uvivu,umbea na mengineyo. So humu ni muafaka kabisa.
Btw nakusalimu.
 
Last edited by a moderator:
Ulisomea wapi English kozi mkuu Judgement??
Kiinglish chako huwa kinaniacha hoi!

Mkuu, au ndiyo unanipiga madongo kitafsida! Nikapige tena tuition?
Mi Mwalimu wangu YNNAH.
Either she taught me various languages, includin blind brail language!
 
Last edited by a moderator:
KASHIFA mweeee kiswahili hiki balaa
 
Dena Amsi

Haya mambo yapo mpendwa ..mie huwa naona silaha ni kukaa kimya na kupuuza unaweza kuongea binadamu wakatafsiri vingine
Wanadamu si wema siku zote ..
 
Last edited by a moderator:
Bora kuonekana mpumbavu kwa kukaa kimya kuliko kuwa mjuaji wa kutojua kitakacho tokea.
 
Kashfa sio only ya mapenzi Mwali
Kuna kashfa za wizi, udowezi,ulevi,uvivu,umbea na mengineyo. So humu ni muafaka kabisa.
Btw nakusalimu.
Nakusalim pia kaka Erick, long time
Kwani nimesema kashfa ni ya mapenzi?
Nilisema ihamishwe MMU kwa sababu
Kashfa inahusu mahusiano ya binadam
 
Duh hiyo kali lakini Mwali mfano ofisi wamesema unatembea na MD na wakati sio kweli unahaja ya kueplain kweli?
Sasa hizo si ndio kashfa za kijinga zenyewe? hapo ni kupuuza
But wanaweza kusema katika familia kua una mahela ila hausaidii jamaa
Hapo lazimma ujieleze kua sio ubahili, you will only help sustainable projects
you will not allow people to treat you like a milking cow, then kimyaaaa
 
dena amsi leo nilikukumbuka kule jukwaa la siasa. Kuna kiongozi fulani kaamua kuvunja ukimya kwa kutoa kauli ya maneno machache ili kuweka mambo wazi na kumaliza kashfa inayo sakama chama chake.
These are the circumstances i was talking about.
 
Last edited by a moderator:
Nakusalim pia kaka Erick, long time
Kwani nimesema kashfa ni ya mapenzi?
Nilisema ihamishwe MMU kwa sababu
Kashfa inahusu mahusiano ya binadam

Oooh sawa madame Mwali nimekusoma.
Mi mzima kabisa sema mambo mengi.
Msalimie Saint Ivuga
 
Last edited by a moderator:
Dena Amsi!

Kusingiziwa ni jambo linaloumiza moyo sana hasa unapokanusha na aliyekusingizia akasisitiza kuwa anachosema ni sahihi na utetezi wako si lolote kwake.

My take: Kanusha na akilazimishia nyamaza, ili usije ukaendelea kujiumiza moyo wako.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…