Seif al Islam
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 2,156
- 640
Taarifa za kuaminika toka wizara kadhaa ambako huyo bwana amewahi kufamya kazi zinaeleza kuwa mafaili machafu na vimemo vya dili vimechukuliwa kwa "gharama kubwa" na wapinzani wake wa nje na ndani ya CCM kwaajili ya shughuli maalumu.
Msiri wangu anayefahamu mpango huo anaeleza kuwa taarifa hizo n nyingi na chafu kuliko inavyoweza kudhaniwa na kwamba zitamvua nguo muhusika oindi zitakapowekwa hadharani.
TUSUBIRI
Msiri wangu anayefahamu mpango huo anaeleza kuwa taarifa hizo n nyingi na chafu kuliko inavyoweza kudhaniwa na kwamba zitamvua nguo muhusika oindi zitakapowekwa hadharani.
TUSUBIRI