MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,881
- 5,887
EL alisema uhaba wa ajira ni bomu kubwa mkampuuza
Bomu bila kutoa nini kifanyike ni kutafuta cheap popularity, yeye kama mbunge ndio wanaoishauri serikali.
EL alisema uhaba wa ajira ni bomu kubwa mkampuuza
Bomu bila kutoa nini kifanyike ni kutafuta cheap popularity, yeye kama mbunge ndio wanaoishauri serikali.
Tatizo la muhimu ni udini naona wachangiaji wanalikwepa hilo wanaangalia Wakirsto walivyozidiana ujanja.
Jiulize kwenye watu 70 Waislam walikuwa 15 tu waliobakia ni Wakirsto.
Ukihoji wanakuambia Wakirsto ni wasomi.
Jukwaa la Siasa tunajadili siasa ndugu, Nilitaka confirmation kama ni Yule Malisa wa Bavicha ama wa UVCCM... Otherwise Best Brains nyingi hazijishughulishi na Siasa....!!!
Ahaaa! sina uhakika kama hukunielewa namaanisha wale wasiohusika na mchakato wa usaili. Maana kuprove kuwa usaili haukuwa fair ni rahisi mnachukua mnalinganisha sifa za walioajiriwa na walioachwa mtapata jibu. Lakini kuprove kuwa mfanyakazi wa uhamiaji ambaye ndugu yake kaajiriwa alihusika sio rahisi na wala sio rahisi kumbana kwa kuvuruga kwasababu yeye sio mwajiri wala hana sababu ya kujua vigezo na umuhimu wa vigezo hivyo ktk usaili. Ndio maana nilisema mtu wa aina hiyo anaonywa.Wewe sijui ukoje tu! Unaeleza vizuri halafu unaishia kusema wapigwe onyo! Onyo la nini? Hao ni nje ya utumishi mara moja! Kuna hasara kubwa wanasababisha na hiyo inatosha kuwapiga nje ya kazi.
Ahaaa! sina uhakika kama hukunielewa namaanisha wale wasiohusika na mchakato wa usaili. Maana kuprove kuwa usaili haukuwa fair ni rahisi mnachukua mnalinganisha sifa za walioajiriwa na walioachwa mtapata jibu. Lakini kuprove kuwa mfanyakazi wa uhamiaji ambaye ndugu yake kaajiriwa alihusika sio rahisi na wala sio rahisi kumbana kwa kuvuruga kwasababu yeye sio mwajiri wala hana sababu ya kujua vigezo na umuhimu wa vigezo hivyo ktk usaili. Ndio maana nilisema mtu wa aina hiyo anaonywa.
sijasema umpongeze, ni hatua zipi zimechukuliwa kukabiliana na hali hiyo? hiyo ndio hoja suala la kumpongeza ni tafsiri yako
..haidhuru wazazi wako hawakukufundisha vyema kuenenda ktk njia za busara..pu.mb.a.fu. kabisa wewe!!! huoni tatizo??!!!!
Well..sijaona cha kujibu maana it seems we are in zillions of light years apart..Sasa kwanini hao 70 waliochaguliwa wamepigwa stop.
Siku ukinitambua utajua kuwa kuna tatizo
Ndiyo fact lakini kwa TZ, private sector imetawaliwa na wahindi na misheni town. Wahindi ni watu wa kudhalilisha tu na lengo lako kuu ni kukusanya mitaji ili waelekee Canada na UK. Bahati mbaya sana wenzetu wengi ni misheni town. Utaona hata hiyo inayoitwa PPP inakwama kwa sababu kila anayeingia anawaza jinsi ya kuiba tu.
Kuna nyingine TBS nafasi moja ya kazi wameita watu zaidi ya mia mbili
http://www.tbs.go.tz/images/uploads/KUITWA_KWENYE_USAILI_JULY_2014_Sheet1.pdf