Kashfa ya usaili: Utumishi yavunja rekodi ya Uhamiaji

Kashfa ya usaili: Utumishi yavunja rekodi ya Uhamiaji

Tatizo la muhimu ni udini naona wachangiaji wanalikwepa hilo wanaangalia Wakirsto walivyozidiana ujanja.

Jiulize kwenye watu 70 Waislam walikuwa 15 tu waliobakia ni Wakirsto.

Ukihoji wanakuambia Wakirsto ni wasomi.

Kama nilivyokuambia kwenye ile thread nyingine udini ni sehemu ya undugunisation. Au unabisha?

Maana hata hao Waislam 15 wamechaguliwa kwa sababu wana ndugu Waislamu Uhamiaji au kwingineko kama ilivyokuwa kwa Wakristu waliochaguliwa kwa kuwa na ndugu Wakristo

Mfano, Abdulhaq Amin Mandemla ni mtoto wa afisa Uhamiaji Amin Mandemla na Asha Burhani Idd ni ndugu ya Afisa Uhamiaji Tatu Burhani Idd unless wawe wanatumia haya majina wakati siyo Waislam.

Hivyo basi, inawezekana kabisa kuwa kama kungekuwa na Waislamu wengi wanafanya kazi Uhamiaji basi kwenye hiyo list kungekuwa na Waislamu wengi kwa sababu hiyo hiyo ya undugunisation unless uniambie kuwa Waislamu hawaendekezi undugunisation.
 
Huyu Malisa Godlisten yuko Chama Gani? ana cheo? ... One of the best brains, uchambuzi wake mzuri sana ...

Hivi kuwa na best brain au kufanya uchambuzi mzuri ni lazima uwe kwenye chama cha siasa au ni lazima uwe na cheo?

Uchamanisation na ulevi wa kuamini kuwa aliye na cheo ndiye mwenye best brains na anayeweza kufanya uchambuzi mzuri unawaangamiza kama undugunisation unavyowaangamiza.
 
Jukwaa la Siasa tunajadili siasa ndugu, Nilitaka confirmation kama ni Yule Malisa wa Bavicha ama wa UVCCM... Otherwise Best Brains nyingi hazijishughulishi na Siasa....!!!
Hivi kuwa na best brain au kufanya uchambuzi mzuri ni lazima uwe kwenye chama cha siasa au ni lazima uwe na cheo?

Uchamanisation na ulevi wa kuamini kuwa aliye na cheo ndiye mwenye best brains na anayeweza kufanya uchambuzi mzuri unawaangamiza kama undugunisation unavyowaangamiza.
 
Tatizo la muhimu ni udini naona wachangiaji wanalikwepa hilo wanaangalia Wakirsto walivyozidiana ujanja.

Jiulize kwenye watu 70 Waislam walikuwa 15 tu waliobakia ni Wakirsto.

Ukihoji wanakuambia Wakirsto ni wasomi.

sister kule watu hawaend kushndana kukariri quran au juzuu .kuchaguliwa kazin hakuangaliw nan kavaa min trouser au kibandiko.wenzenu wanasoma wakt nyie mnagombea kuchinja,kujilipua,kukariri quran n.k
 
Tatizo la muhimu ni udini naona wachangiaji wanalikwepa hilo wanaangalia Wakirsto walivyozidiana ujanja.

Jiulize kwenye watu 70 Waislam walikuwa 15 tu waliobakia ni Wakirsto.

Ukihoji wanakuambia Wakirsto ni wasomi.

Sasa wewe umeanza ile tabia ya ccm kuhamisha watu kwenye hoja ya msingi! Ni kwel wakristo ni wengi labda kwasababu tusizozijua ikiwemo uliotaja lakini lililothibitika kirahisi ni undugu lkin pia hoja iliopo mezani ni uwiano. Sasa haya ya udini umeyetaje hapa au kile kichaa chako kimeanza!!
 
Tatizo la muhimu ni udini naona wachangiaji wanalikwepa hilo wanaangalia Wakirsto walivyozidiana ujanja.

Jiulize kwenye watu 70 Waislam walikuwa 15 tu waliobakia ni Wakirsto.

Ukihoji wanakuambia Wakirsto ni wasomi.


wachaga wamejaa sana uhamiaji na ndio wanaongoza kwa vitendo vya ukabila,wakifuatia wapare baada ya wahaya. this is seriuos issue,najua atakuja mtu wa kabila hizo nilizozitaja atakanusha kwa kutumia makalio yake makubwa. ukweli ndio huo. kama kusoma kwa sasa makabila yote yamesoma.
 
mkuu acha na sisi tutambe kwenye rekodi kama hizi , maana kwenye michezo ya jumuiya ya madola tumeng'olewa mapema sana !
 
Tathmini nzuri sana mkuu! Uchambuzi ulio makini! Mh. Ghasia yupo TAMISEMI sio utumishi!
 
Ha ha ha ha ha ha mimi mwenyewe nilikuwemo pale taifa cha kushangaza ni kwamba hata second interview sikuitwa npamoja na masters yangu ya Naturar resource management sijui na jina nalo lilichangia
 
Jukwaa la Siasa tunajadili siasa ndugu,

Kwani siasa zinahusiana na vyama tuu?

Nilitaka confirmation kama ni Yule Malisa wa Bavicha ama wa UVCCM...

It doesn't matter whether ni Malisa wa Bavicha au UVCCM.

Otherwise Best Brains nyingi hazijishughulishi na Siasa....!!!

Sasa swali lako lililenga nini hasa?
 
Ha ha ha ha ha ha mimi mwenyewe nilikuwemo pale taifa cha kushangaza ni kwamba hata second interview sikuitwa npamoja na masters yangu ya Naturar resource management sijui na jina nalo lilichangia

Uliomba pia na TBS?
 
wachaga wamejaa sana uhamiaji na ndio wanaongoza kwa vitendo vya ukabila,wakifuatia wapare baada ya wahaya. this is seriuos issue,najua atakuja mtu wa kabila hizo nilizozitaja atakanusha kwa kutumia makalio yake makubwa. ukweli ndio huo. kama kusoma kwa sasa makabila yote yamesoma.

Udini na ukabila yote ni undugunisation.
 
watanzania tuna shida sana; wakiitwa kumi tunalalamika kwamba wamebana, wakiita alfu mkabanjuane kwenye written, tunalalmika wametuita wengi

kuhusu hili la usaili, labda nakosea lakini ninachojua kilichfanyika uhamiaji na utumishi ni kufanya mchujo wa kwanza kwa wote waliokidhi vigezo na kisha baada ya mchujo huo ndio wanaita wale cream for the second interview ambayo ni oral (i dont think nimekosea

Anyway, ngoja tusikie maelezo yao ila kwangu nadhani mfumo mzima wa ajira mbado ni mgumu kwasbabu ya idadi ya wasio na kazi ni kubwa sana utaratibu wowote ule utakaotumika bado utasumbua

naomba nitofautishe vitu viwili, utaratibu, na results... i am not supporting selection ya wale viajan wa uhamiaji through nepotism kabisa, ila si ajabu utaratibu kwa kukusanya watu uwanja wa taifa ndio ungekua pekee wa kuweka transparency kwenye zoezi zima... baada ya hapo wangetangaza waliopitishwa na maksi zao, au wanapublish scores za wote tu walioshiriki then wanadraw a line kabisa yupi anaenda awamu ya pili na hapo pia wanatoa results

procurement yoyote ile ni kizungumkuti
 
Kama vile demokrasia ina gharama hata kufanya usaili kuna gharama zake, cha muhimu kuepo fairness.
BTW: Kujitambua manake ni ku-agree na wholesale statements?
Nakubaliana nawe, cha msingi fairness vinginevyo sijaona serikali iliyoajiri watu wote. Japo najua kuwa Serikali yetu imeshindwa kuwaandalia vijana miundombinu. Lakini kwa utaratibu wa kuruhusu watu elfu moja au zaidi kwa nafasi moja ni sawa kila aliyeenda hapo anajiamini yeye ni bora, tatizo linakuja mchakato ni fair? Nimefurahi sana baada ya kusikia wametengua zile ajira za uhamiaji.
 
Tatizo la muhimu ni udini naona wachangiaji wanalikwepa hilo wanaangalia Wakirsto walivyozidiana ujanja.

Jiulize kwenye watu 70 Waislam walikuwa 15 tu waliobakia ni Wakirsto.

Ukihoji wanakuambia Wakirsto ni wasomi.

hatuajiri wacheza judo na karate. hatuajiri watu wa madrasa. tunahitaji waliokwenda darasani si madrasa. mtasubir sana. pole yenu
 
Nakubaliana nawe, cha msingi fairness vinginevyo sijaona serikali iliyoajiri watu wote. Japo najua kuwa Serikali yetu imeshindwa kuwaandalia vijana miundombinu. Lakini kwa utaratibu wa kuruhusu watu elfu moja au zaidi kwa nafasi moja ni sawa kila aliyeenda hapo anajiamini yeye ni bora, tatizo linakuja mchakato ni fair? Nimefurahi sana baada ya kusikia wametengua zile ajira za uhamiaji.
nchi stable inatakiwa kuwa na sekta binafsi zenye kubeba jukuma au mzigo wa ajira nyingi zaidi na sio serikali

Hata tanzania, tutakomaa kiuchumi na kijamii tukikomaza a stable and fair private sector
 
Back
Top Bottom