Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dkt. Msabaha Wajiuzulu

Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dkt. Msabaha Wajiuzulu

Hizi ndizo lugha ya kuzungumza siyo mijihabari am Sick and sijui Shut up?

Ohoooooooo! Kama huna pesa piga Mbizi?.

Mkuu Pasco you must take the lead behind the screen if by any chance ukawa karibu na Mhe. -Show goes on!.

 
Lowassa:"Nilimpelekea documents mwanasheria mkuu ambaye alikuwa Johnson Mwanyika kwamba inaonekana Richmond siyo halali. Ila baada ya siku tano nilipoona kuwa mwanasheria mkuu hatekelezi maoni yangu nikaamua kuitisha kikao ambacho kiliongozwa na katibu mkuu kiongozi pamoja na makatibu wakuu wahusika wa Richmond. Grey Mgonja akaomba hudhuru wa saa moja akatoka nje kuongea na simu. Aliporudi ndani akasema kuwa mamlaka ya juu imeagiza kuwa kila kitu kuhusu Richmond kiendelee kama ilivyopangwa na mkataba ni halali. Mimi Lowassa ningeongea tena nini? "
 
Mlitaka aseme alihusika ili akatwe tena? kashfa aliyotuhumiwa sio ya siasa ya chama bali ni maslahi ya umma na alipaswa kuulizwa na mamlaka ya serikali(mahakama) ikizingatiwa kuwa wanaomuuliza ndio waliomtuhumu kuhusika! au chadema wamekuwa mahakama?

Kaulizwa na waandishi wa habari wewe mburula. Tumia akili kujadili na sio mihemko. Kumbe jizi letu ni libabu kipum....
 
Kwahiyo wenye Richmond ni Mamlaka ya Juu? Mbona kama Sielewi Baada ya Miaka Nane? tena Baada ya Kukatwa?
"Nilitaka kuvunja mkataba wa Richmond baada ya kugundua kuna mashaka ya Upatikanaji wake, Alie husika kuingia mkataba aliomba Lisaa limoja na alipo rudi alisema haya nimeambiwa na mamlaka ilio juu ya ofisi ya Waziri Mkuu nisivunje" .

"Mwenye ushahidi aende mahakamani kama huuna ushahidi plz shut up and keep quite.

#Edward Lowasa
#zuiaGoliLaMkono2015

Mkiendelea kuuliza tunamwaga ugali wote.
 
hamna kitu apo! Lowasa anahusika direct, kwani sahihi ni ya nani? sheria inambana 1 kwa 1.
ni sawa na wewe umuue mtu afu useme mamaako ndo alikwambia uue tena bila ushaidi! nan atahukumiwa?
 
Kwa maneno haya ya lowassa nina uhakika leo system haitolala kumtafakari.na leo kamwaga maji ya kunawa tu je siku akimwaga ugali na mboga?
 
Ndio ujue uongo mwingine ni wakitoto kwan waziri mkuu na mwanasheria mkuu ni nan mwenye kuongea na mamlaka za juu zaid ya mwenzie ?asitufanye watoto wadogo na Kama angepitishwa angesema yote hayo, yeye aseme atatufanyia nn sio kujibu vitu kitoto namna lie alafu Watu mnachekelea
 
Ngoja tufufue ila issue ya mtoto wake mamvi ya SFO kuhusu maghorofa aliyonunua UK bila kueleza chanzo chake cha pesa! Nimechukia sana Dr. Slaa kutoswa kihuni hivi. Natamani Dr ajitoe CDM
 
Back
Top Bottom