Tatizo ukiwa pale Dodoma, ukimtokea demu yeyote atajitambulisha kuwa anasoma udom hata kama ameishia darasa la nne B na anakaa chang'ombe.

Acha uongo na uzush wewe! Kwa hyo hcho chuo hakina ma dr wala ma prof? Mbona wapo wa ndan na nje ya nchi? Uzush mwngne bhana!?.Usimsifie baba mkwe wako sifia mkeo.Uwe unatoka udsm,mzumbe,sua,muce,muccobs,makumira,saut,dit haijalishi,2nataka kujua una nin kchwani na kinasaidiaje jamii?Et ooh mim udsm ooh mim sua mara mzumbe.Ya nin hayo?.Mbona wapo weng tu wanaojiita wametoka vyuo vikongwe had sasa wanasota tu kitaa?You must thnk critically![/QUOT
Hebu jaribu kujibu hoja......Chuo gani kati ya vyuo vyote vya serikali ambacho Tutorial assistants wanafundisha undergraduate zaidi ya Udom?
una akili sana mwana! salute!Kunguru hafugiki, tatizo si fedha bali maadili kuporomoka, kwani hata watoto wa matajiri nao huenda
SHAME~~~ Wasomi sio chochote SIKU hizi?
SHAME~~~ Wasomi sio chochote SIKU hizi?
Kwa jinsi ninavyowajuwa waheshimiwa wetu (mawaziri, wabunge) lazima watalazimisha wanafunzi wasiwe wanapata hela za mikopo ili wawe na ukata matokeo yake wao wawe wanajilia kiulaiiini huku wakiwapa magonjwa. Na siku hizi waheshimiwa wetu wamekuwa mastering wa sinema za porn maana wanapenda kunyonywa na ku abuse hawa wasichana.
Acheni uzushi, mimi nimesoma Bachelor UDOM na Master UDSM, kiukweli, UDSM kimebaki jina tu, hakuna mpya lolote! Wahadhiri hawafundishi, wengi wanaofundisha wanatumia yellow material, yaani limebaki jina tu, sina mchango kwa Mzumbe, SUA na kwingineko kwani sijasoma huko!