Kashfa ya Ngono: Tigo/Ison Customer Care

Hahaa daah hapo tu ndo watu wanafeli kujiuliza maswali kama haya...
 
Tanzania ngono makazini ni jipu kila sehemu. ....wengine wanajifanya kukemea humu wakati ni wazoefu wa Kukwichi kwichii na Mabinti wa kazi. !
 
Ilo swala la kawaida hata hapa kazini Petu TeamLeader wetu ana mtaka kijisichana Fulani hivii.
Life is not fair!
 
ww ukashamruhusu mkeo kufanya kszi bac ujue mambo hayo nikawaida lazima uyakubali kwani kazini kunavishawishi vingi sana sasa hayo ndio matokeo yake na sio ofisi za tigo ila maeneo mengi ya kazi mambo hayo ndio kipaumbele.
 
Hao askari nao wanatizama tu? Kwa nini wasiwakamate? Mjadala ulioletwa bado unamaswali mengi. Huyo Mhindi kama wanamjua ndio tabia yake waweke mtego, au uongozi unamuogopa.
 
Ati umesema ni wafanyakazi wa TIGO
 
Hahaaa ni sheedah nyingine hii, ndo maana ukipiga simu customer care usiku hawapokei, wanakua kwenye dozi
 
nawakemeaa tigoooo wooooteeeee katikaaaaa jinaaaaaaa la Yesuuuuuuuuuu washindweeee
 
Kweli kaka
Kweli kaka namnukuu mugabe aliwahi sema "When God gives you beauty without brains private parts suffer the most"
 
Tigo, no wonder hata hilo jina linaashiria ngono mbaya, zembe.
Cha kufanya ni kuachana na hufuma zakembaya, zembe.
 
Yani we umeandika majungu tu, story umehadithiwa na ww ukaamua kuihadithia jf, namna hii hatuwez kuendelea
 
Mtoa mada inaonekana una demu anayefanya kazi ofisi hizo kwa hiyo inakuuma,unajaribu kutafuta huruma za wana jf.
 
Ngono kazini hasa za shift za usiku ni kitu cha kibinadamu na kawaida hata US na Europe watu wanabanduana tuu. Cha muhimu kinga na makubaliano
 
wawekezaji at work! Hawalipi kodi, wanalipa mishahara kiduchu, wanatumia madaraka yao kupata ngono, wanawanyanyasa wafanyakazi kijinsia, ...
Utimwa unakuja kwa kasi, ila kuna maduwanzi hawaoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…