Kwa ushabiki huu kuna siku hao wahindi watawafanyisha ngono na mbwa na kwa shida zenu na nyie mtakuja hapa kushabikia uzalilishaji kama mazuzu
km hyo hr nayy niwalewale ataipeleka wapi?Hi ndyo sehemu sahih yakuleta ili hata mabosi wao waione.afu kuna wivu gani hapo kwamleta kero ngono ktk kazi inaruhusiwa?Wivu tu akuna kingine acha chuki Na wafanyakazi wenzako data taratibu za kupeleka malalamiko kiofisi kuna HR unaweza kumweleza kero zako
kwa mtazamo wako hayo yanayofanyika hapo ni halali ? je tabia kama hii ikitapakaa sehemu nyingine za kazi wewe utabaki salama ? hivi unajua kwanini ukimwi hauishi ?wewe hufanyi kazi hapo inakuuma nini chief. ni watu wazima wanafanya hivyo. wacha wagongane
Cc rubiiNadhani tungeijadili kama Great Thinkers,
Tuweke utani kando,
Je, ni sawa kufanya ngono sehemu ya kazi?
Imagine umefungua biashara yako (mf. Library ya Cd) then mfanyakazi wako akawa anaitumia kufanya ngono usiku, je ni sawa??
Au una mdada wa kazi nyumbani then unarudi unakuta anafanywa sebuleni kwako, je utawapita kwa madai kua K ni yake??
Au umemkuta mdogo wako, dada ako, aunt yako kainamishwa kwenye parking za magari halfu pembeni kuna walinzi wanakunywa kahawa na wanaona mchezo mzima, je utasema K ni yake??
Imagine mdogo wako kamaliza shule juzi anaenda kuomba kazi jioni arudi anakwambia HR amemwambia ampe K ili apate kazi, je utamruhusu aende kwa kua ndio hali halisi???
Think, Think, Think.
TABIA HIYO YA KAMPUNI YA TIGO SIO NZURI WAHUSIKA WANAPASA KUFATILIA KWA MAKINI.
Kwahiyo wawe km mbwa sababu hizo ndiyo tabia za hao wanyama. Huu ni udhalilishaji wa hao mabinti wanafanya hivyo kulinda kibarua chao na sio kingine.Genye zimewakutia hapo hapo hazikusubiri mpaka wakienda kwa madanguro
TATIZO IPO SNA hapo ngono imetumika km rushwa yakulinda vibarua vyao.jaribu kufikiri hata kidogo huyo jamaa anafanya ngono na wanawake tofouti tofouti afu hadharani huo cyo uzalilishaji?mikataba ya kaz ipo hvyo?kumbuka tigo nikampuni kubwa hatukutegemea uchafu km huoBinafsi sijaona tatizo ... as long as kuna makubaliano na wahusika haiwasumbui. Ngono ni suala binafsi sana, si rahisi kuujua ukweli wote .....
kwahyo wawe km maumbwa sbb hzo ndyo tabia za hao wanyama.hu ni uzalilishaji wahao mabinti wanafanya hvyo kulinda kibarua yao na c kingne.je hyo ni haki je mikataba ya kazi yao ndyo iko hvxo?kumbuka hao wahndi c watu ni zaidi yawanxama nawafahamu nimefanyao kazi.wao mtu mweusi wanamfananisha na mbwa ndyo mana wanafanyanao mapenz hadharani. embu jaribu kwao uone mzki wake.tgo km kampuni kubwa ilipaswa kuwa mfano kwamakampuni mengne kwakulinda haki za wafanyakaz wake.thnk big ndugu
TATIZO IPO SNA hapo ngono imetumika km rushwa yakulinda vibarua vyao.jaribu kufikiri hata kidogo huyo jamaa anafanya ngono na wanawake tofouti tofouti afu hadharani huo cyo uzalilishaji?mikataba ya kaz ipo hvyo?kumbuka tigo nikampuni kubwa hatukutegemea uchafu km huo