Kama kashfa ya Loliondo ilivyofichua utawala wa Mwinyi ndivyo kashfa ya shehena za meno ya ndovu zinazokamatwa nje ya nchi na ndani zinavyofichua utawala goigoi wa Kikwete. Pamoja na hili ni ile kashga ya uuzaji/ukodishaji wa maeneo makubwa ya ardhi kwa wageni. Ni kwanini kashfa hizi na nyingine lukuki zinamkabili Kikwete na utawala wake?
Hawa viongozi wengine sijui huwa wana medula oblangata ilojaa maji lol kinyaa tupu.Mzee Mwanakijiji; Nakwapia ya kwmb hakuna kinachoniumiza nafsi yangu kama uongozi wa ccm iliyoko madarakani,kwa jina la MUNGU ninayemwamini nakuapia ya kwamba hili la uongozi mbovu uliopo madarakani ni hawa member wanaweza dhibitisha hasira yangu kwa uongozi wa ccm
Filipo
Mzee wa Rula
Crashwise
Arushaone
PakaJimmy
Erickb52
sweetlady
Mungi
Asprin
IGWE
Hawa member tajwa hapo juu wanaweza kudhibitisha hasira nilionao kwa hawa majambazi wa chama tawala a,k.a ccm!
Kama kweli meno ya tembo yanayotajwa kuwa yanatoka Tanzania ni ya tembo wanaouawa nje ya Tanzania basi tuna tatizo jingine kubwa zaidi - baada ya kuwa arms trafficking corridor na drug trafficking corridor basi sasa tumeongezeka na kuwa njia ya pembe za ndovu...
Kama kweli meno ya tembo yanayotajwa kuwa yanatoka Tanzania ni ya tembo wanaouawa nje ya Tanzania basi tuna tatizo jingine kubwa zaidi - baada ya kuwa arms trafficking corridor na drug trafficking corridor basi sasa tumeongezeka na kuwa njia ya pembe za ndovu...
Asilimia kubwa ni tembo wetu. Uliza ni nani majangili wa kuua tembo hawa kwa wanavijiji wanaozunguka hifadhi za taifa na mamlaka ya Ngorongoro. Ni wakuu wa serikali, wanajeshi wakitumia magari yao, watu wa wanyama pori na wahifadhi, mara nyingi magara ya hifadhi hutumika na mara pengine ya JW. Wanavijiji hawa watakueleza nani anafanya hivyo, adha wanayopata, vichapo na idadi kubwa ya wanavijiji na hata watu wengine wameuawa na hawa majangili ndani ya serikali ya JK.
Kweli fisadi hatosheki, ameshakula nyama ya mtu JK utatufikisha?
Lol, mshikaji tafuta taarifa za kuporomoka kwa population ya tembo nchini katika muda wa miaka mitatu iliyopita. Ambapo wanakadiria kwamba kama hali ya kuuawa kwa tembo itakuwa kama ilivyokuwa katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita, basi hadi kufikia 2034 hatutakuwa na tembo hata mmoja. Sikumbuki niliisoma wapi, but tafuta hata kwenye google unaweza kuipata report hiyo ya mambo ya population ya tembo Tanzania. Kwa hiyo ni ukweli usiopingika kwamba katika muda wa miaka mitatu iliyopita uuaji wa tembo nchini umeongezeka kwa kasi ya kutisha mno.Mkuu MMM mbona siku hizi unamwandama Muungwana? Hakuna uthibitisho wa moja kwa moja kuwa hao Tembo wameuawa Tanzania, Wanatoka DRC...Tanzania ni njia tu. Kiasi cha wanyama wanaotoroshwa na kuawa kwetu ni wachache sana ukilinganisha na idadi kubwa mungu aliyotujaalia, isitoshe vibali vya kuwindia tunatoa wenyewe na kiasi cha mapato kinaingia katika pato la Taifa kiasi Makada CCM wanagawana...
Wasipo gawa maeneo kwaajili ya wawekezaji tutawekezwa vipi? si itakuwa hatutekelezi kwa vitendo ilani ya CCM ya kuvutia uwekezaji? Wazungu washamba sana hawa! wanawawekea madola kibao huko uswis halafu wanang'ang'ania eti wapewe maeneo ya hifadhi waangalie wanyama! walivyokuwa hamnazo hawa wazungu eti wanatupa fedha za uchaguzi nyingii ili tuwaruhusu wasafirishe Udongo!...
Mkuu nakuomba usitimize kile ulichotuapia kuwa wataka kukifanya. Mungu apitishe mbali kuleeee!Mzee Mwanakijiji; Nakwapia ya kwmb hakuna kinachoniumiza nafsi yangu kama uongozi wa ccm iliyoko madarakani,kwa jina la MUNGU ninayemwamini nakuapia ya kwamba hili la uongozi mbovu uliopo madarakani ni hawa member wanaweza dhibitisha hasira yangu kwa uongozi wa ccm
Filipo
Mzee wa Rula
Crashwise
Arushaone
PakaJimmy
Erickb52
sweetlady
Mungi
Asprin
IGWE
Hawa member tajwa hapo juu wanaweza kudhibitisha hasira nilionao kwa hawa majambazi wa chama tawala a,k.a ccm!
Mzee Mwanakijiji; Nakwapia ya kwmb hakuna kinachoniumiza nafsi yangu kama uongozi wa ccm iliyoko madarakani,kwa jina la MUNGU ninayemwamini nakuapia ya kwamba hili la uongozi mbovu uliopo madarakani ni hawa member wanaweza dhibitisha hasira yangu kwa uongozi wa ccm
Filipo
Mzee wa Rula
Crashwise
Arushaone
PakaJimmy
Erickb52
sweetlady
Mungi
Asprin
IGWE
Hawa member tajwa hapo juu wanaweza kudhibitisha hasira nilionao kwa hawa majambazi wa chama tawala a,k.a ccm!