mamba1
JF-Expert Member
- Jun 24, 2015
- 466
- 248
habari nilizopata hv punde ni kwamba mkurugenzi wa wilaya Urambo akishilikiana na maafisa elimu wanatuhumiwa kwa ufisadi wa zaidi ya milion 250 katika mradi wao kuweka pipes za ges katika maabara zote za Sekondari wilaya ya URAMBO. katika mrad huo mkurugenzi wa halmashahuri akishirikiana na maafisa elimu sekondali walitoa tenda kinyemela kwa kwa mtu mmoja wa kabila lao (NEY BRICKS) bila kuwashirikisha baraza la madiwani.Na hii imekuwa ni tabia ya huyu mkurugenzi kujiona Mungu mtu.
my takeCCB pamoja na polisi wanatakiwa wafanye uchunguzi juu ya hili kwani harufu ya ufisad na matumizi mabaya ya madaraka
my takeCCB pamoja na polisi wanatakiwa wafanye uchunguzi juu ya hili kwani harufu ya ufisad na matumizi mabaya ya madaraka