Kashfa nzito ya Katibu Mkuu wa CHADEMA

Hahaha. Kwa wasiomjua, ni mtaalamu wa kuuwa kwa sumu hasa sumu ya Vermon. Maadui wa Mbowe wakae chonjo.
 
Hivi mbona una wivu hivyo we mwanamke? Mara Mbowe kafanya hiki,mara Lema kafanya hivi...sasa umekuja tena kwa katibu mkuu,tulia na umwombe Mungu akupe mume wako aliyetulia dada yangu na uache kujipendekeza hivyo.
 
Msaada kwa wafuasi wa chama chakavu ambao definately watakua wanaona "mapichapicha" kwenye elimu ya Katibu Mkuu mpya wa CHADEMA. Ili kuwasaidia wanaweza kukariri kwamba GS mpya wa CHADEMA ana degree 1, Masters 3, Certificate 2, Diploma 1 na PhD 1.

Dr.Mashingi ndiye Katibu Mkuu wa chama cha siasa msomi kuliko wote duniani.
 
Na vipi Kinana wa CCM mkuu?
 
Bora hizo za kuungaunga, mbona rais mstaafu alipewa na hatukulalamika. Udokta na uprofesor
 
"Home of intellectual" wakati kuandika hujui, unapaswa kurudi shule ukajifunze kuandika....
 


We ulitaka tufanyeje au upewe wewe ukatibu mkuu??

Africa buwana huwa mingombe haiishi
 
Mleta uzi kajifunze kwanza kuandika
 
What a stupid post, CCM propaganda wing kwisha kazi yenu.
 
Cheap convincing, kajipange upya,hadithi yako imepoteza mvuto.
 

Mkuu hili bandiko mpelekee KHADIJA KOPA, linafaa sana kwa Mipasho!
 
Leteni nyingine hii ya kitoto sn, kama hakuna fungeni mabakuli yenu
 
Nilifundishwa kwenye Saikolojia mtu anayendika kwa herufi kubwa tu anakuwa na matatizo ya kiakili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…