Kashfa nzito ya Katibu Mkuu wa CHADEMA

Kashfa nzito ya Katibu Mkuu wa CHADEMA

Mimi ni muungaji mkono wa CCM lakini ninajua umuhimu wa kuwa na upinzani imara, ili kukifanya chama tawala kuwa makini, so ilikuwa ni muhimu kwa CDM kumpata katibu makini ili kuwa na upinzani imara kwa manufaa ya taifa letu.
 
Haya vijana wa Lumumba naona.
Mpo kazini, mnatabiri tena hahaa
Yule mtabiri wenu wa Bunda si
alisema CDM itakufa kabla ya
Mwaka huu akafa yeye

Mimi natabiri CDM wataongoza
Jiji la Dar. Na lkulu na Lumumba
Itakuwa chini ya utawala wa
CDM ukibisha basi una kipaji
cha ubishi.
 
Kwa mwana ccm hata angeteuliwa malaika angeponda tu kwahiyo haishangazi kwa huyu jamaa. Na ukiona mwana ccm anasifia jambo linalofanywa na CDM basi hilo jambo litakua na matokeo hasi kwa CDM. Vivyo hivyo na ukiona wanaisifia ccm kwa jambo jua hilo litakua na faida kwao na hasi kwa ccm. Mi binafsi naamini bwana Vincent ni mtendaji mzuri na anafaa ila baada ya Muda ndo tutajaji utaendaji wake. Kuhusu tuhuma anazopewa tuchukulie ndivyo siasa ilivyo na tukumbuke pia hata Dr slaa alikua anapondwa na ccm vibaya mno mpaka alipojiuzuru ndipo wanaccm walipoanza kumsifia kua ni mwanasiasa makini. Hata mbowe akihama chadema atasifiwa sana na ccm Hali kadhalika akihama kinana naye atasifiwa sana na chadema. Vincent hajawahi shitakiwa popote kwa kosa lolote hivyo basi hizi tuhuma anazopewa kwa mwanachadema ni kuzipuuza tu
 
Hii vita ya uvccm na bavicha .mtasababisha media yetu ifungiwe jamaani bunguzeni basi
 
mod.. kabla ya kuverify acount ya mtu kuna haja ya kupeana interview maana nimegundua kuna wenye mtindio wa ubongo humu ndani... mtoa uzi we need ur medical status ya mwisho wa mwezi kabla cjajudge uwezo wa akili yako
 
KATIBU MKUU MPYA WA CHADEMA NI MIONGONI MWA WATUHUMIWA WA KESI YA JINAI YAKUSABABISHA VIFO VYA RAIA WASIO NA HATIA PALE ALIPOONGOXA MGOMO WA MADACTARI NCHI NZIMA AKIWA NA ULIMBOKA NA HATIMAYE WAGONJWA ZAIDI YA MIA MBILI KUPOTEZA NAISHA KUTOKANA NA MGOMO HUO,

LAKINI KATIBU HUYO ANAKASHFA YA UTAKATISHAJI DAWA ZA MSD NA KUWAUZIA WATU WA KAWAIDA NA KAZI HIYO ALIIFANYA AKIWA MUHIMBILI NA BAADA YA KUSHTUKIWA AKAKIMBIA KUKWEPA KUTUMBULIWA ILA KIAMA CHAKE KIPO.

KATIBU MKUU HUYO ANAELIMU YAKUUNGA UNGA YAANI VISETIFIKETI KIBAO KAMA VIRAKA VYA PACHA,

KATIBU MKUU HUYO WA MAJARIBIO HAUNGWI MKONO NA WANACHAMA WA CDM KWASABABU M/KITI WAO MBOWE AMELIPA FADHILA KWANI HUYO NDO MGANGA WA FAMILIA YA MBOWE KWA TAKRIBANI MIAKA ZAIDI YA MITANO.

HUYO KATIBU MKUU KILA ALIPOTITA HADI SHULE AMEKUWA NI MTU WAKUKUMBWA NA KASHFA NA TUHUMA ZA UBADHIRIFU.

CDM WAMEPOTEZA DIRA NA HAWAJAWAHI KUWA NA UELEKEO, KWANI MDA SI MREFU HUYO KATIBU WAO ATATUMBILIWA MAANA NI JIPU TENA NI JIPU HASWAAAAAAS

CHA AJABU USOMI WA HUYO BWANA LEVEL YAKE YA ELIMU NI SAWA NA KATIBU KATA WA UVCCM KATA YA KIHESA IRINGA UKITAKA KUMJUA JINA LAKE ULIZA WANACCM IRINGA.

HIYO NI ISHARA HICHO CHAMA KINAONGOZWA NA MAMBUGILAUTINR NA WATU WASIOJIELEWA.

USOMI UENDANI NA TIJA YAKO KATIKA JAMII MFANO MHONGO UKISEMA MSOMI WATU WANAJUA HUYU USOMI WAKE UNATIJA KWA DUNIA NA TAIFA,

SASA WEWE DACTARI WAKUTOA FUNZA FAMILIA YA MBOWE UNATUTISHIA USOMI SISI WATOTO WA MAGUFULI TOKA CCM THE HOME OF ONTELLECTUALS?

CCM IMARA

CCM MADHUBUTI

MAJIPU NA YAENDELEE KUTUMBULIWA

UPUUZI NA UPUUZWE HASWAAAAAA!!

Dah???
 
Sumu Malaika Mkuu ukoo wenu wote hakuna mwenye 1st degree ya medicine sembuse phd.Sana mna elimu ya amazon college tukionacho katika matangazo ya tv.Kwenu ninyi
Degree ya kweli ni ya huyo bosi wako aliyokabidhiwa india Nape Nnauye
 
Dah umejipendekeza kama nzi kwenye kidonda umeishia kuumbuka pombe hata kudeki chooni hawezi kukupa hata ukijipendekezaaaaaaa ukasimama juu ya sindano kweli wewe ni mjinga maana hata kichaa hawezi kuandika huu utumbo. Cdm itaendelea kuwa juu endeleeni na makatibu wenu wakuu na vyeti vya kupambana na wapinzani wakipiga mabomu anapewa cheti loh
 
Sikujua kama hawa jamaa wameshtushwa na uteuzi/uchaguzi wa Vicent kama katibu wa Chadema namna hii!
 
Hata kama siipendi chadema lakini unafiki mwingine tunaoleta humu tunaonekana vilaza wa mwisho,moja ya thread ya kipuuzi kabisa haingii akilini sababu hizi zikatosha kummaliza kisiasa jamaa cha msingi ccm tafuteni hoja kinzani zenye mantiki sio udaku was ney wa mitego
 
KATIBU MKUU MPYA WA CHADEMA NI MIONGONI MWA WATUHUMIWA WA KESI YA JINAI YAKUSABABISHA VIFO VYA RAIA WASIO NA HATIA PALE ALIPOONGOXA MGOMO WA MADACTARI NCHI NZIMA AKIWA NA ULIMBOKA NA HATIMAYE WAGONJWA ZAIDI YA MIA MBILI KUPOTEZA NAISHA KUTOKANA NA MGOMO HUO,..........
SASA WEWE DACTARI WAKUTOA FUNZA FAMILIA YA MBOWE UNATUTISHIA USOMI SISI WATOTO WA MAGUFULI TOKA CCM THE HOME OF ONTELLECTUALS?

......
MAJIPU NA YAENDELEE KUTUMBULIWA

UPUUZI NA UPUUZWE HASWAAAAAA!!
Link katibu mkuu wa chadema awatesa ccm
Link2. Ccm wamepigwa bao la kisigino
 
jamaa ana hasira huyo masikini ccm ya baba wa taifa imekosa mwelekeo. Katibu mkuu chadema watu wanafura kiasi hicho.
 
Nimeisoma Curriculum Vitae yake. Jamaa elimu yake ni ya kuunga unga sana.

Ana certificates nyingi balaa.
Kuunga unga maana yake nini?kama wewe ulisoma moja kwa moja ni kwa sababu ulizaliwa kwenye familia bora na watu kama wewe wengi huwa hamjiamini na wengi mmejaa wivu wa kike!
 
mlitegemea angekua zito au upuuzi mtupu mbowe kawabadilishia gia angani mnaanzaa majungu subirini Vincent aanze kazi akishindwa kama kinana mje hapa
 
Back
Top Bottom