Kashfa nzito ya Katibu Mkuu wa CHADEMA

Hivyo hatuwezi acha kusema kwamba mgomo ulisababisha maisha ya watu wasio na hatia kusitishwa.
 
mkuu babu wa loliondo alijengewa barabra hadi kwake ndani ya week........
ndo shida ya kuwa na viongoz(ccm)wanaoamini ktk ushirikina..
 
we gebwe kweli elimu ya kuunga unga ndio lakini umeona alivyosomea? wewe unayo hata hiyo ys kuunga unga? huyo ni msomi tosha usituletee ujinga wako hapa
 
muuaji kajitaja kule ni waziri wa serikali ya Magufuri, ndugu Hamis KIngwangala, kwa hiyo kama ni kutumbua majipu muanze na hamis then Mwigulu maana wote hao walikuwa wagomaji na waendesha migomo sana uwakishirikiana na makonda, dendegu, MAKALA, kwa hiyo mwandishi hapa huna hoja tafuta ingine
 
Hivi umeshindwa kuandika kwa herufi ndogo? Yaani uzi mzima unaonekana kama ndio kichwa cha habari au tangazo fulani. Infact hauvutii kuusoma! Mimi nimeona tu maandishi nikiaacha!
 
Hivi kwani kutokuwa na akili ni lazima?
Maana wengine kukosa akili ni mateso makubwa sana.
 
Uzi wako umekaa kama TANGAZO,sijaelewa lengo lako ni nini?au ndio kutumbua kunaendelea?
 
Ukweli ni kwamba, mgomo huu uliongozwa na Dr. Ulimboka na Dr. Kigwangala.

Kigwangala amesema yeye mwenyewe facebook

 
Kigwangalla atupa la moyoni kuhusu Katibu Mkuu wa CHADEMA Vincent Mashinji
 
Inaonekana mmetumwa.. Na hiyo kazi mnaifanya kwa ufanisi mkubwa...
Hakuna hoja hapo maneno mengi hakuna point
 


Mbona unatokwa na povu na mambo ya jirani, sidhani kama mambo ya CDM yanakuhusu, au wewe ulitaka hiyo nafasi?
 
Uandishi kwa herufi kubwa unaboa sana kusoma
 
Safi sana kama alishiriki Mgomo anzeni Na huyu hapa
Anawatibu hao unaodai walisababisha wakafa _;vinginevyo Mnajidhalilisha sasa
 
Nimeisoma Curriculum Vitae yake. Jamaa elimu yake ni ya kuunga unga sana.

Ana certificates nyingi balaa.
Kwani Akina Kawawa Walikuwa Na ELIMU Kubwa Kiasi Hicho!!? Mbona Walishika Mamlaka Makubwa Ya Nchi!!?? Itakuwa Huyo Kushika Ukatibu Mkuu Wa Chama!!!?? Hivi Katibu Mkuu Wa CCM CV Yake Ikoje Vile!!!!??
 
nchi nzima, wanaCCM wanaungaunga na kuokoteza sababu za kumshambulia huyu Katibu Mkuu wa Chama. Hakuna cha maana yaani wanaokotaokota. Kashakuwa Katibu Mkuu. Hamtabadilisha uteuzi na uchaguzi wake. Mliowatarajia hawajapata. Poleni sana,interahamwe.
 
madaktari waliogoma walikuwemo washabiki wa vyama vyote (CCM, CHADEMA, CUF, ACT nk) na wasiowashabiki wa vyama. Pia wale ni wasomi tunaamini wana reasoning capacity nzuri so hakuna aliyegoma at a gun point. Waliyoyagomea pia yalikuwa kwa maslahi ya umma (mazingira bora ya kazi eg upatikanaji wa vifaa tiba na madawa). Tupo raia baadhi tuliwaelewa madaktari wale. Kama alikuwa kiongozi wa mgomo, hakujichagua bali alichaguliwa na wasomi wenzake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…