Kashfa nzito ndani ya Benki ya NMB

Very weird bank aina universal investment policies ata kama decentralisation surely not to cause variation of their services and brand reputation. Na humu ndio tumeweka wazungu kaazi kweli kweli.
 
Gud. Kwa mfano tawi lina wafanyakazi 15, ni ngumu sn mkaomba ruhusa watu 3, hta kma department tofauti, kwa muda mmoja na wote mkapewa. Why? Kwa sababu kazi za benki zinategemeana sn, yan kuna transaction zingine hazitapita kwa mfano customer service manager asipokuwepo. Na mkiwa department moja ndo kabisa hamuwezi kuondoka watatu. Kwa mfano tellers, madirisha ma3 bila mtu ni ngumu, loan officers wa3, haiwezekan mkaondoka wote, back office wa3, hapana. Pia, ni ngumu sn nyie wote wa3, mkawa mnauguliwa na mtoto, mkaomba ruhusa pamoja, mkawa mnakaa Tabata, na mkawa na biashara karibu na ATM. What a coincidence...!!!!
 
Chama tawala shida(tuhuma za wabunge kuhongwa,n.k),watendaji serikalini shida,n.k sijui tukimbilie wapi!!!
Kimbilia ahera mzee. Hufai kuishi duniani. Manake hata basi ukikimbilia upinzani mafisadi wamo watuhumiwa kibao. Akili mukichwa. Wahi ahera
 
Vijana wa IT NMB makao makuu wana njaa sana... Ila kwenye hili sina comment najua hatua zitachukuliwa...
 
Nikichofurahi ni kuwa ktk majibu yao NMB Tanzania hakuna walipobisha wala kukanusha,zaidi ya kusema wamezipokea tuhuma na watazifanyia kazi.Hii ni maana kuwa sasa habari hizi ni za kweli na wanachofanya ni kuchunguza tu.Hongera mtoa maada.
 
Mnb imejaa madudu....nilisha fungaga Account yangu kitambo
 
Miaka minne iliyopita nliomba kazi NMB...nikafaulu interview ila wakataka niwatoe laki 3 ili wanipe mkataba(jamaa walikua wanazikusanya kwa watahiniwa)...issue ikabuma...ila Mungu si athumani mlango mmoja unafungwa mwingine unafunguliwa...
Haka ka bank kameoza...
 
Huo ndio uozo unaolelewa na serikali ya CCM miaka na miaka
 
Nina issue na hawa jamaa. Hii ndio Benki mbavu kuliko zote humu nchini. Urasimu na ufisadi umezidi pale makao makuu
 
Chama tawala shida(tuhuma za wabunge kuhongwa,n.k),watendaji serikalini shida,n.k sijui tukimbilie wapi!!!
Kijana hili la Ben unafurahia? tutumie taarifa hizi kuanza upelelezi ikitokea 'makamanda' na wenzake wanahusika tuwasulubu tu hamna jinsi.
 
Mimi kama mwana jamii forums na mteja wa beki ya NMB, naomba usisahau kuleta mrejesho hatua mtakazo zichukua ikiwa mtabaini wahusi wa tukio hili lililo ripotiwa na mzalendo. Na tunatarajia mtamlinda msiri huyu mzalendi alie leta taarifa hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…