Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,025
- 107,520
wewe ni mtu wa wapi? hivi vimemo ndo vinaua nchi kama Dau alikataa vimemo basi namuona ni shujaa! Na kama amefukuzwa kwa vile alinyima binamu wa JPM msaada basi ni ndo inavyotakiwa hatutaki unduguzation!Umemjibu vema mkuu,wanadhani dau ni mtakatifu,huyu dau ni madharau yalimzidia ange keep low profile wasingemshugulikia ila aliona mtu pekee ni jk na kujibu hovyohovyo hata waziri wake alikuwa anamdharau hamshirikishi mambo ya nssf na hata pm pinda hakumjali,jpm ndo kabisaaaa nakumbuka kuna insidence binamu wa jpm alieda na kimemo amsaidie ishu fulani ila alivyojua tu ni kafiri alimnyima msaada,na ile ishu ya daraja na majibu ya kunya alopata toka kwa mzee wa azimio,dau dauuuuu ole wakooo
Yeye mbona ndg zake wote walihamia nssf baada ya kuteuliwa,hakumyima sababu ni jpm il sababu ni kafiri,sasa ndo ataijua vema ccmwewe ni mtu wa wapi? hivi vimemo ndo vinaua nchi kama Dau alikataa vimemo basi namuona ni shujaa! Na kama amefukuzwa kwa vile alinyima binamu wa JPM msaada basi ni ndo inavyotakiwa hatutaki unduguzation!
simo...!Yeye mbona ndg zake wote walihamia nssf baada ya kuteuliwa,hakumyima sababu ni jpm il sababu ni kafiri,sasa ndo ataijua vema ccm
Bora ukae kando maana hujui yaliyojificha ndani ya huyu jibwana,amenifundisha chuo na nimefanya nae kazi TPA kabla hajasimamishwa kwa mambo haya haya ya kijinga na baadae kurudi kusoma magazeti kabla kk hajampigia debe nssfsimo...!
simo...!
sijadoa madai hayo hili swali mpelekee shinyangakwetuTaja ndg zake Dau unaowajua wew kwa majina pale Nssf ,, tupe majina japo 7 tu,, kuthibitisha madai yko ili tuwafuatilie wiki hii,,
Abdalallah,fatuma,nuraziz,chiku,musa,ramadhani,khalfan,mariam,kiluwasha,masimngo,nkTaja ndg zake Dau unaowajua wew kwa majina pale Nssf ,, tupe majina japo 7 tu,, kuthibitisha madai yko ili tuwafuatilie wiki hii,,
Nikusaidie zaidi,Abdalallah,fatuma,nuraziz,chiku,musa,ramadhani,khalfan,mariam,kiluwasha,masimngo,nk
ROHO NGUMU NA CHUKI TUYaani huo utitiri wa viongozi wa NSSF waliosimamishwa kazi ni Majungu ? Kama yatakuwa Majungu basi itakuwa ni maajabu ya Dunia .
Mkuu ni kweli subirini zoezi la vyeti ndo mtaaminiKama hilo linaukweli basi hali inatisha sana.
Ipo siku tutaheshimiana tuu.
Akiingia madarakani rais muislamu hakuna kashfa hatapewa. Barua za kichungaji kila Siku.
Mawaziri wanaofuata kikamilifu dini yao mnawasingizia ubaya.
Sasa mmehamia hata kwa watendaji wakawaida.
Ila ipo siku
Alikuwa anachunga nini vileBila ya kumsahau Mkuu wa Usalama wa Taifa NI Mchungaji.
Hiyo ni surbotage iliasisiwa na pro dau na sasa imethibitiwaNa sasa hivi wanachama zaidi ya elf 6 washajitoa na kwenda PSPF na mifuko mingine
Dar ana influence ipi na members zaidi ya 10,000??Hiyo ni surbotage iliasisiwa na pro dau na sasa imethibitiwa
Wanavuta mpungaDar ana influence ipi na members zaidi ya 10,000??
Mkuu hii ndio huwezi amini, hii ndio naiona leo.Kimya cha pascal mayallah kinatia shaka
maana ndiye unofficial PR officer wa NSSF humu JF kuja kutetea uongozi mpya wa NSSF sijui kalipwa kiasi gani
maana alifikia hatua ya kulazimisha uongozi wa JF kufuta au kuhamisha threads ambazo zilikuwa critical kwa NSSF
nashangaa hii bado ipo humu