josephatswitbert
Member
- Aug 26, 2016
- 19
- 6
Tanzania nizaidi yauijuavyo, wanaojifanya wanajua HAWAJUI ,wanaojua ukiwapa WANAHARIBU.Mtakumbuka kuwa NSSF imegubikwa na ufisadi mkubwa uliopelekea Dau kuondolewa na kupewa ubalozi wakati akisubiri kupelekwa Kisutu na pia wakurugenzi na mameneja kusimamishwa.
Katika kituko kipya ni Mkurugenzi wa utawala kuajiri dereva ambaye hajui kuendesha gari na alipopelekwa Shinyanga alishindwa kuendesha gari hivyo kurudishwa Dar, baade Chiku Matesa alimpangia kazi nyigine NSSF Ilala.
Haitoshi huyu Matesa aliajiri office attendant ofisi ya Kibaha (darasa la saba) na baade kumpangia kazi ya kupanga stoo kazi ambayo hufanywa na Idara ya uhasibu, bila aibu aliajiri wafanyakazi 8 na kupelekwa NSSF Tanga (wote std seven) kama wahudumu na baadae kuwapangia kazi zingine, hao ni pamoja na ma house girl wake.
Mungu ibariki Tanzania.
DadaHilo neno aunt hapo umekusudia nini?
Ndo mwisho sasa,kwani wangapi walikula mshahara hewa na wanshughulikiwa,hapa ni kuwashughulikia wote wanaoajiri vi.lazaWew no mjinga,sio vitu vya kutuandikia humu,wew kama unabifu na hao NSSF we kamalizane nao kwa namna unavyojua,kwani wangapi wamepeana ajira kienyeji lakini hatusemi
Duh! Kweli lakini au fitina tu?Mtakumbuka kuwa NSSF imegubikwa na ufisadi mkubwa uliopelekea Dau kuondolewa na kupewa ubalozi wakati akisubiri kupelekwa Kisutu na pia wakurugenzi na mameneja kusimamishwa.
Katika kituko kipya ni Mkurugenzi wa utawala kuajiri dereva ambaye hajui kuendesha gari na alipopelekwa Shinyanga alishindwa kuendesha gari hivyo kurudishwa Dar, baade Chiku Matesa alimpangia kazi nyigine NSSF Ilala.
Haitoshi huyu Matesa aliajiri office attendant ofisi ya Kibaha (darasa la saba) na baade kumpangia kazi ya kupanga stoo kazi ambayo hufanywa na Idara ya uhasibu, bila aibu aliajiri wafanyakazi 8 na kupelekwa NSSF Tanga (wote std seven) kama wahudumu na baadae kuwapangia kazi zingine, hao ni pamoja na ma house girl wake.
Mungu ibariki Tanzania.
Mi nashangaa ukizungumzia nssf tu udini unaanza kuzungumzwa. Jamani tuache mambo ya udini hayatupeleki popote zaidi ya kuchochea utenganoYaani Mada yoyote inayohusu NSSF ikiletwa hapa ,Agenda inabdilika kuwa udini ,hivi hamna vingine vya kuchangia ?
Mbona mkurugenzi ni mtu mkubwa sana kuajiri dereva na mfuta vumbi?Mtakumbuka kuwa NSSF imegubikwa na ufisadi mkubwa uliopelekea Dau kuondolewa na kupewa ubalozi wakati akisubiri kupelekwa Kisutu na pia wakurugenzi na mameneja kusimamishwa.
Katika kituko kipya ni Mkurugenzi wa utawala kuajiri dereva ambaye hajui kuendesha gari na alipopelekwa Shinyanga alishindwa kuendesha gari hivyo kurudishwa Dar, baade Chiku Matesa alimpangia kazi nyigine NSSF Ilala.
Haitoshi huyu Matesa aliajiri office attendant ofisi ya Kibaha (darasa la saba) na baade kumpangia kazi ya kupanga stoo kazi ambayo hufanywa na Idara ya uhasibu, bila aibu aliajiri wafanyakazi 8 na kupelekwa NSSF Tanga (wote std seven) kama wahudumu na baadae kuwapangia kazi zingine, hao ni pamoja na ma house girl wake.
Mungu ibariki Tanzania.
Yaani pamoja na DAU kukaa pembeni bado mnalia tu.. nyingi watu hatari sanaMie NSSF nalia nao kwa udini katika sekta ya ajira
Kwani wa sasa siokafiriH
Hakuna chuki ktk ukweli aunt,dau aliharibu na mbaya zaidi alidharau kila mtu,hebu fuatilia ujue alivyomtoa singili pale azania benki kisa tu kafiri
Ungemuita babaoko hivyo. We chokoDada
Kumbe unajua dau ndio alikuwa kinara wa hicho unachojaribu kukiteteaYaani pamoja na DAU kukaa pembeni bado mnalia tu.. nyingi watu hatari sana
We mbishie kwa kusema unachoju weweAajiriwe darasa la saba!!!madai ya kitoto kabisa hayana kichwa wala miguu!
Ndio fikra zenu butu zilikoelekea na ntalia sanaKumbe unajua dau ndio alikuwa kinara wa hicho unachojaribu kukitetea
Ok sijui ana uhusiano na prof Tolly Mbwette au nn ok anyway ndio hivyo tena, nae ahakikiwe basi kuanzia la saba, form four, form six na chuo alichosomaDominic Mbwette aka Mr Fake Degrees
Huyu abbas ni dau anajiyeyusha humuOk sijui ana uhusiano na prof Tolly Mbwette au nn ok anyway ndio hivyo tena, nae ahakikiwe basi kuanzia la saba, form four, form six na chuo alichosoma